Iran bado Inasumbuka na mvua za Fasha-rasha!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baada ya milipuko hiyo iliyoripotiwa na wakaazi wa jiji hilo, moto sasa unatanda katika milima ya Shiraz, Iran. Kwa mjibu wa taarifa za kijasusi hizo ni mvua za rasha-rasha zinazoendelea kuinyeshea iran wakati mvua za masika zikikaribia.

“Yajayo yanafurahisha sana”

Webabu mdogoye Adiosamigo na babu yao Ritz

Baada ya milipuko hiyo iliyoripotiwa na wakaazi wa jiji hilo, moto sasa unatanda katika milima ya Shiraz, Iran. Kwa mjibu wa taarifa za kijasusi hizo ni mvua za rasha-rasha zinazoendelea kuinyeshea iran wakati mvua za masika zikikaribia. “Yajayo yanafurahisha sana” Webabu mdogoye Adiosamigo na babu yao Ritz
Uwo MOTO unaufichaje adi Ujasusi ndio ugundue yani uko milimani akuna wananchi wanaishi ukweli wapo Sasa wananchi wakiwasha Moto kipindi ichi cha baridi Wajioke au kujipasha moto Ujasusi utadai kuna Moto umeanza milimani,, !!!!!!!
 
Wewe unasema huo ni moto wa kuota mimi nimekuambia hizo ni mvua za Rasha-rasha kutoka kwa wana wa Yakobo!!!!
 
Wewe kila siku ni story hizo tu, hauna jambo lingine kutoka hapa duniani ukiachana na mambo ya mayahudi?
 
Jifunze hata kuandika kwanza ndio uegemee kuwashabikia Israel na Marekani jomba!

Sum Buka ndio nini, Fasha-rasha ndio nini?

Unashabikia vita za wengine wanakufa badala ushughulikie matatizo yako uliyonayo hata kuandika kiswahili? Pengine hata ajira huna, kula kwa kuunga unga ila roho yako nyeupeee kushabikia vita mashariki ya mbali huko? Ukija kushtuka unakuja na kauli za mabeberu wanatunyonya!
 
Kama wewe unasukumiwa kitu kwa nyuma usifikiri ni wote ni wewe tu!!!
Mimi huwa siwshobokei Wana wa Yakobo feki. Hao ni Sinagogi la Shetani. Soma maandiko katika biblia yako then angalia sifa za akina Netanyahu kama zinaendana na utabiri wa Ufunuo wa Sinagogi la shetani au la! Pia pitia maandiko yako na mchungaji wako kama wana Yakobo halisi kama kwao Ushoga ni halali maana hao wa pale Isreal ya sasa wana hadi siku maalum ya paredi ya mabasha.
 
Wewe kila siku ni story hizo tu, hauna jambo lingine kutoka hapa duniani ukiachana na mambo ya mayahudi?
Mwacheni ajifurahishe hana mke hana girl friend mapenzi yake yako kwa wayahudi labda anataka wamchukue akasomee kilimo 😄 🤣 Ubaya wa myahudi anaweza kumgeuza akawa soko la kuza makopo pale Tela Aviv
 
Jifunze hata kuandika kwanza ndio uegemee kuwashabikia Israel na Marekani jomba!

Sum Buka ndio nini, Fasha-rasha ndio nini?

Unashabikia vita za wengine wanakufa badala ushughulikie matatizo yako uliyonayo hata kuandika kiswahili? Pengine hata ajira huna, kula kwa kuunga unga ila roho yako nyeupeee kushabikia vita mashariki ya mbali huko? Ukija kushtuka unakuja na kauli za mabeberu wanatunyonya!
Jombaaaa!!! Naona jiwe limekupata kichwani wewe unaposhabikia mambo ya NGONO nani anakuzuia? Au nani anakupangia cha kuposti? Kama hakuna wewe unapata wapi ujasiri wa kunipangia mimi cha kushabikia? Wewe Una shabiki a YANGA unataka kunilazimisha mimi niwe YANGA wakati mimi ni SIMBA!!!

Unajitoa ufahamu kwa kuhisi maisha ya wengine unafikiri wote tunaishi kutengeneza ajira!!! Unafikiri wote ambao wako kinyume na wewe wanakula kwa kuunga-unga mawazo ya kijinga kabisa!!!!
Jombaaa Mungu alikupa akili zitumie vizuri acha ujinga huo!!
 
Ulishawahi ona nashabikia maujinga yenu ya Yanga na Simba mimi? Hizo ngono nilishabikia na wewe kitandani au?

Acha wazimu dogo. Achana na maujinga ya wayahudi sijui wa Iran. Komaa na mambo yako acha utumwa wa nafsi
 
Mimi huwa siwshobokei Wana wa Yakobo feki. Hao ni Sinagogi la Shetani. Soma maandiko katika biblia yako then angalia sifa za akina Netanyahu kama zinaendana na utabiri wa Ufunuo wa Sinagogi la shetani au la! Pia pitia maandiko yako na mchungaji wako kama wana Yakobo halisi kama kwao Ushoga ni halali maana hao wa pale Isreal ya sasa wana hadi siku maalum ya paredi ya mabasha.
Tumia akili yako vizuri USHOGA umejaa kichwani mwako na naweza kusema wewe pia ni SHOGA maana mada iliyokuwa hapo juu si USHOGA lakini wewe umeingiza USHOGA.

Kutokana na utafiki uliofanywa inaonyesha wazi kuwa mtu anayekuwa NENO Ushoga halitoki kinywani mwake jua mtu huyu ana vinasaba vya USHOGA na mtu anayejifanya kupinga USHOGA kwa nguvu kubwa bila utaratibu basi ujue kuwa huyo ni SHOGA aliyekubuhu!!
 
Attachments

  • IMG_2705.jpeg
    IMG_2705.jpeg
    721 KB · Views: 28
  • IMG_2704.jpeg
    IMG_2704.jpeg
    823 KB · Views: 29
  • IMG_2703.jpeg
    IMG_2703.jpeg
    938 KB · Views: 27
Ulishawahi ona nashabikia maujinga yenu ya Yanga na Simba mimi? Hizo ngono nilishabikia na wewe kitandani au?

Acha wazimu dogo. Achana na maujinga ya wayahudi sijui wa Iran. Komaa na mambo yako acha utumwa wa nafsi
Mungu alikupa akili zitumie vizuri acha Ujinga!!!
 
Back
Top Bottom