mvua

  1. P

    Kuombea mvua wakati ni huu viongozi wa dini sauti zenu zisikike

    Mwaka jana ukame ulikuwa wa kutisha kanda ya kaskazini nzima. Basi linasimama pale Bombo na ukitazama wauza matunda hali ni mbaya ya kile wanachokiuza. Nakumbuka niliuziwa machungwa ya kuvundikwa hakukuwa na matunda mengine zaidi. Mwezi kama huu mwaka jana. Hali naiona haina tofauti sana na...
  2. Replica

    Amos Makalla: Ukosefu wa maji ni kudra za Mungu wala sio ilani ya CCM. Ilani haiwezi kuleta mvua

    Leo JNICC mkuu wa mkoa wa Dar, Amos Makalla akiwa kwenye kongamano la nishati ya gesi ya kupikia linalodhaminiwa na Taifa Gas ameongelea changamoto ya maji Dar mbele ya Rais Samia. Amos Makala: Mamlaka ya hali ya hewa ilishatabiri, kwamba kutakuwa na kipindi kirefu cha ukame, kwahiyo ni kwamba...
  3. Shadow7

    Mvua inayoendelea kunyesha huko Mwanza ni hatari

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha hapo ni hatari kwa mazao na mazingira kiujumla
  4. L

    Watanzania Tufanye Maombi ya Kitaifa kumwomba Mwenyezi Mungu atupatie Mvua zenye Baraka na Neema

    Ndugu zangu Nikiwa Kama mkulima naona Hali ya hewa imekuwa siyo nzuri, inatutisha wakulima, inatupa wasiwasi, mashaka na hofu. Mpaka Leo tunapoelekea kuumaliza mwezi huu bado hatujaona mvua, bado ardhi Haijapata mvua, bado tunaendelea kuangalia angani kila kukicha kuona Hali ya mawingu, Bado...
  5. MANKA MUSA

    TMA: Sekta zijipange kukabiliana na upungufu wa mvua

    Dar es Salaam, Tarehe 26/10/2022 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi utabiri wa mvua za msimu kwa maeneo yanayopata mvua mara moja kwa mwaka. Maeneo hayo yakijumuisha mikoa ya (Tabora, Kigoma Kusini, Katavi, Mbeya, Rukwa, Soingwe,Njombe, Iringa, Ruvuma na Morogoro Kusini) katika...
  6. L

    Buibui atengenza wavu kama mwavuli wa kujikinga na mvua

    Buibui alitengeneza wavu kama mwavuli wa kujikinga na mvua iliyonyesha kwa mfululizo huko Qionghai, mkoani Hainan, China.
  7. KING MIDAS

    Mizimu inapata wapi nguvu za kuleta mvua?

    Halafu mtu akifa anageuka kuwa mzimu, kesho mnaenda kumuomba alete mvua, huu upuuzi tumeupata wapi? Mfu anapata wapi Nguvu za kuleta mvua?
  8. Titicomb

    Rais Samia, mbolea ya ruzuku ikichelewa wakulima wa kutotegemea mvua tutapata hasara kubwa

    Ombi kwa mheshimiwa Raisi Mama Samia. Mpango wa mbolea ya ruzuku ni mzuri sana na wenye tija kama utatekelezwa kwa wakati. Serikali yako imesikiliza kilio cha wakulima cha muda mrefu. Hongera sana. Pongezi pia ziwafikie washauri wako na wazira ya kilimo kwa ujumla. Mpango huu umeanza kuwa...
  9. zephania5

    SoC02 Kwanini mafanikio kupitia elimu yanaonekana kama mvua inyeshayo jangwani?

    Kwa miaka mingi kabla na hata baada ya uhuru, watanzania wengi na hata watu wengine duniani kote, wamekuwa na imani ya kuwa, elimu ndio ufunguo wa maisha. Lakini katika uhalisia wake elimu na mafanikio katika maisha vimekuwa vitu viwili tofauti kabisa. Ni kama mtu aliyeko kusini akiitafuta...
  10. D

    Wacha mvua inyeshe tuone panapovuja

    Pira la leo litatoa majibu ya viwango vya wachezaji pamoja na makocha kati ya simba na yanga.
  11. Analogia Malenga

    UAE watamba na teknolojia ya kupanda mawingu ili kuongeza kiwango cha mvua kwa mwaka

    Umoja wa Falme wa Kiarabu umezidi kuonesha umwamba katika kukuza teknolojia ya kutengeneza mvua ambapo kwa sasa wanapanda mawingu ili kutengeneza mvua. Wataalamu wa UAE wamesema teknolojia hiyo sio tu ile ya kutuma ndege na kuweka kemikali kwenye mawingu bali ku-modify hali ya hewa kwa ujumla...
  12. Lady Whistledown

    Hali ya Hewa: TMA yatoa angalizo la upungufu wa mvua za vuli nchini

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, kutakuwa na upungufu wa mvua katika kipindi cha mvua za vuli zinazotarajiwa kuanza Oktoba hadi Desemba 2022, zitakazosababisha kupungua kwa unyevunyevu katika udongo hivyo kuleta athari mbalimbali. Imeelezwa kutakuwa na vipindi virefu vya ukame na...
  13. MK254

    Ukraine wafanya mashambulizi makali kwa kutumia HIMARS, mvua ya mizinga Kherson

    Mrusi hana hamu na HIMARS, zinamtesa sana hadi leo, zimewapa jeuri Ukraine kiasi cha wao kuanzisha mashambulizi wenyewe tofauti na awali walivyokua wanapambana kuhimili mashambulizi..... Ukraine appears to have launched a major new offensive against Russian-occupied territory around Kherson, a...
  14. Lady Whistledown

    Teknolojia: Niger kuanza kutengeneza mvua kukabiliana na ukame

    TEKNOLOJIA: NIGER KUANZA KUTENGENEZA MVUA KUKABILIANA NA UKAME Niger imeanza kutumia teknolojia ya kutengeneza mvua inayolenga kupunguza athari za ukame nchini humo, ili kuongeza uzalishaji wa vyakula baada ya kukabiliwa na vipindi virefu vya ukame Mkuu wa taasisi ya kitaifa ya hali ya hewa...
  15. Allen Kilewella

    Wachina watumia mvua ya Lowassa kupambana na Ukame

    Wataalamu wa kichina kwenye jimbo la Hubei huko China wakirusha Roketi yenye Kemikali zenye uwezo wa kusababisha mawingu ya Mvua kwa lengo la kuchochea unyeshaji wa mvua kutokana na ukame unaoyakabili maeneo mengi ya nchi hiyo. Tukio hilo limefanywa tarehe 16/08/2022. Mwaka 2007 Lowassa...
  16. May Day

    Tunalalmika njaa, ukame, ukosefu wa mvua ili hali Mkaa unapatikana wa kutosha, kuni zipo tele, Yadi zimejaa mbao za kila aina.

    Imeandikwa "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"...na ndio kinachoendelea kwa sasa. Kuna wakati ukijaribu ku imagine huyu Mungu anatuchukuliaje ni ngumu sana kupata jibu. Tunachojaribu kumfanyia Mungu kwa sasa ni kama Mtu usikie kilio kikali cha Mtoto ndani alafu ukiingia unamkuta kaweka...
  17. tutafikatu

    Hivi rangi za upinde wa mvua (rainbow) ndio tumenyang'anywa hivyo

    Yaani sasa ukitumia rangi za upinde wa mvua unahesabika upande wa pili. Dah! Hawa jamaa bwana. Kwenye biblia tunasoma "Mimi nauweka upinde wangu winguni, nao utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi. Hata itakuwa nikitanda mawingu juu ya nchi, upinde utaonekana winguni, nami nitalikumbuka...
  18. Webabu

    Urusi sasa amecharuka, ni mvua za makombora kaskazini na magharibi ya Ukraine. Boris amekubali yaishe

    Kuanzia leo Urusi imeanza kutumia mbinu ya kivita ambayo haijawahi kutokea. Ameporomosha makombora ya masafa marefu na ya uhakika kupiga kambi kadhaa za kijeshi magharibi na kaskazini ya Ukraine.Hali hii imempelekea Boris Johnson wa Uiengereza kushauri Ukraine ikubali kufanya mazungumzo haraka...
  19. B

    Tafuta nyumba au kiwanja kipindi cha mvua

    Ukitaka kujua ubora wa eneo unalofikiria kuhamia kwa kujenga makazi au kupanga tafuta eneo hilo wakati wa kipindi cha mvua. Itakusaidia kujua miundombinu kama inapitika au haipitiki. Kipindi cha ukame huwezi kujua na muda huo madalali hupata nafasi ya kuwachomekea wateja maeneo mabovu.
  20. Samson Ernest

    Ombeni mvua wakati wa masika

    "Mwombeni BWANA mvua wakati wa masika, naam, BWANA afanyaye umeme, naye atawapa manyunyu ya mvua, kila mtu atapewa nyasi kondeni", Zek 10:1 SUV. Maelezo ya kina kuhusu andiko hili tunayapata zaidi kwenye kitabu cha Hosea, tutaweza kufahamu zaidi kile ambacho nabii Zekaria alikiimaanisha hapa...
Back
Top Bottom