mvua

  1. Mtondoli

    Upungufu wa Mvua Nchini: Tuwaulize Wanasayansi au tumtegemee Mungu?

    Wananzengo wenzangu tunaotegemea mpini wa jembe kuendesha maisha yetu, leo ni tar 23 desemba huku kwetu rukwa na katavi hatujaonja mvua. Nimejaribu kuwauliza wazee wameniambia haijawahi tokea mpaka tarehe hizi mvua hamna, wakati dar kulikuwa mvua kubwa mpaka mafuriko rukwa haijanyesha bado...
  2. M

    Shikamoo Simba SC kwa Uchawi nilihakikishiwa Mvua ikinyesha Asubuhi leo Yanga SC anafungwa na inanyesha kweli sasa

    Asante CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah 'Try Again' kwa Kusikiliza Ushauri wa Wanachama na Kazi imeshamalizika hivyo leo wana Simba SC tunaenda kupata Furaha ya Ushindi. Kwa Uchawi uliofanyika, Umakini mkubwa wa...
  3. Sky Eclat

    Hifadhi wa maji ya mvua

    Kuna kisima chini kinakusanya maji kutoka kwenye gutters, wakati wa kutumia yanavutwa kwa pump na kujaa kwenye mapipa. M
  4. J

    Inashangaza: Mvua zinanyesha sana lakini maji bado ni ya mgao!

    Au inanyesha Dar es Salaam tu huko mikoani hainyeshi? Bujibuji Simba nyanaume huko Mbeya inanyesha? Babati hapo Rombo hali ikoje? Mmawia tujuze kutokea huko Ntwara. Kibaha je? Kwako Mshana Jr Na Machame bwashee Daudi Mchambuzu hali ya mvua ikoje huko? Maendeleo hayana vyama!
  5. S

    Kwa viongozi wa nchi hii, kuomba mvua ni kupoteza muda tu

    Wananchi wanalia kila kona nchi hii kuhusu KUKOSEKANA KWA HAKI. Hii maana yake viongozi walioko mamlakani ama wamebariki au wameasisi udhalimu huu. Tulitegemea viongozi wa dini wawe wakali na wakemee udhalimu huu, lkn wamekaa kimya. Maana yake ni kwamba viongozi hawa wa dini pia wamebariki...
  6. Z

    Mungu ameanza kujibu maombi yetu ya mvua

    Ahsante Mungu kwa kusikia na kujibu maombi yetu ya kuomba mvua. Nimeshuhudia mvua zikiendelea karibu maeneo yote ya kanda ya ziwa. Mkoa wa Mwanza, Geita, Shinyanga, Kigoma, Musoma, Sumbawanga n.k mvua inamwagika. Sijui maeneo mengine. Tuendelee kumuomba Mungu.
  7. B

    Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

    Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana: Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine: "Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
  8. Nyankurungu2020

    Watanzania msisahau kuna watu walitaka kuleta kampuni ya kuzalisha mvua kwa kupiga mabomu angani, tuwe macho

    Kila linapotokea suala la upungufu wa mvua basi kwa wanaCCM ambao sio waaminifu basi wao huwa ni fursa ya kuwaibia na kulipora taifa la Tanzania. Huko nyuma sababu ya kujinufaisha wao na matumbo yao, kuna wanaCCM walisema wataleta kampuni ili lizalishe mvua kwa kutengeneza mawingu yanayotokana...
  9. May Day

    Viongozi wetu wa dini tumuombe Mungu Maarifa sio Mvua

    Sitaki kupuunza nafasi za Viongozi wa Kiimani lakini haizuii ukweli kuwa wana nafasi ya kuielimisha Jamii zaidi ya kujaribu kuficha tatizo. Ningetamani badala ya kufanya juhudi za kuomba mvua basi Wangechagua siku moja ya ibada watoke na Waumini wapande miti ili kutibu mazingira. Mimi naamini...
  10. RWANDES

    Rais Samia ana kila sababu za kuzuia chakula kuuzwa nje ya nchi kwa mabadiliko ya tabia ya nchi yaliyopo hivi sasa

    Kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi tunaomba Rais azuie mazao ya chakula yanayouzwa kwa kasi nje ya nchi maana naona mbeleni kuna njaa kubwa inanyemelea nchi yetu. Ikumbukwe kwamba pamoja na mambo mengine kuna baadhi ya mikoa kama Kagera, Arusha, Iringa, Kigoma n.k. kipindi kama hiki mvua...
  11. Determinantor

    Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

    Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti? Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli? Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe...
  12. N

    Tunapofunga kwa ajili ya maombi ya mvua ilete maji tunamshangaza sana Mungu

    Mungu alitupa vitu kisha akatupa akili ya kuvitumia vile vitu. Nchi hii tuna mito mikubwa sana tuna Mto Ruvuma Mto Kagera, mto Mara mto Maragarasi nk. Sanjari na hayo tuna Ziwa Eyasi, ziwa Rukwa ziwa Burigi, ziwa Nyasa ziwa Tanganyika na kubwa lao ziwa Victoria. Hizi ni baraka tayari ambazo...
  13. L

    Mwanza kiwingu cha mvua kimetanda. Rais Samia Suluhu karibu sana

    Katika kuazimisha miaka hamsini ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, tumeshuhudia ugeni mkubwa wa Mh. Rais Samia S. Hassani, watu wamejitokeza kwenye viunga vya Jiji la Mwanza kumpokea. Tunaomba uongeze nguvu katika hospitali yetu ya Bugando iweze kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi wa...
  14. YEHODAYA

    Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  15. YEHODAYA

    Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

    Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja. Mwenyewe...
  16. M

    Ewe Mwenyezi Mungu nakuomba usipokee Maombi ya Watanzania ulete Mvua, bali acha Kwanza tufe ili Akili zitukae sawa na tuache kuwa Mazuzu

    Yaani tunaharibu wenyewe Mazingira kwa Uzuzu wetu huku wengine tukikataa Kupanda Miti mingi au hata Kuitunza tu ili ije itusaidie kwa Kivuli, Upepo na hata Mvua leo tunataka Kumhangaisha Mwenyezi Mungu mwenye Majukumu Mamilioni kidogo dhidi ya Watu na Mataifa mbalimbali atusamehe na atushushie...
  17. Ngamanya Kitangalala

    Mvua za kutengeneza (mvua za Lowassa)

    Mwaka 2006, nchi yetu ilikubwa na ukame, nakumbuka waziri mkuu wa wakati huo Edward Lowassa, alikwenda nchini Thailand, kujaribu kufanya mazungumzo na serikali ya Thailand, ili walete wataalamu wao waje kuleta utaalamu wa KUTENGENEZA MVUA ikiwa ni njia mojawapo ya kukabiliana na ukame kwa...
  18. Mpinzire

    Nakukumbusha Waziri Makamba, kama tuliweza kuileta crane yenye tani 70 tushindwaje tani 26?

    Mh Janury Yusuph Makamba nakukumbusha kuwa mwezi March, 28 2021 TPA ilileta Crane yenye uzuto wa Tani 70 ila kwa Bahati mbaya ilitumbukia baharini palepale Bandarini Jijin Dar es salaam, na TPA waliahidi kuwa wanauwezo wa kuitoa, sasa kama TPA walileta mzigo wa Tani 70 iweje useme Tanzania nzima...
  19. Ferruccio Lamborghini

    Tory Lanes ategemee Mvua ya miaka 23 Jela kwa kumpiga Risasi Megan Thee Stallion

    Mwanamuziki Tory Lanez pengine akatupwa jela kwa muda usiopungua miaka 23 ikiwa atakutwa na hatia juu ya kesi inayomkabili ya kumpiga risasi rapa wa kike kutoka nchini Marekani Megan Jovon Ruth maarufu Megan Thee Stallion. Kwa sasa ni takribani mwaka mmoja, tangu mwanamuziki Tory Lanez...
  20. Sky Eclat

    Vijana mfikirie usafiri wa wake zenu kwenda na kurudi kazini hasa siku za mvua

    Siku za mvua zina vishawishi vingi sana, ukifikiria usafiri wa kufika Mbagala, mabasi yamejaa na miundo mbinu yetu ilivyo rafiki. Mvua imeanza mchana na umefika ofisini na high heels zile ulizonunua juzi kutoka Uturuki. Kuna kijana hupendi sauti yake lakini ana IST, mbona unaweza kumtafuta...
Back
Top Bottom