Kuna Jibu moja hilo nimepewa nimebakia Kuvunjika tu Mbavu ( Kucheka ) sana japo ni la ' Kisayansi ' hivyo ngoja nione na hapa Kwenu Wajuvi Wabobezi ( Pundits ) wa JamiiForums kama nitakutana nalo au hapana.
Watanzania ni Watu wa Vituko sana tu.
Shirika la kimataifa la misaada ya kibinaadamu limesema katika msimu huu mamilioni ya watu nchini Somalia hawatakuwa na chakula cha kutosha kufuatiwa na wimbi kubwa la nzige, hali mbaya ya hewa na kiwango cha chini cha mvua.
Shirika la Save the Children limesema, mimea na mazao ya mboga mboga...
Epuka nguo nyeupe, viatu virefu, kaptula, mapambao mengi kama hereni au mkufu, vilevile usivae sketi au gauni zinazomwaga.
Ni vizuri ukawa na kawaida ya kubeba mwamvuli mdogo unaoweza kuweka kwenye pochi au begi katika kipindi cha mvua.
Vaa sweta na snika. Snika ni viatu aina vyenye muonekano kama raba. Unaweza kuvaa sweta ndefu na suruali kwa mwanamke, kama utavaa sketi au gauni ni vizuri ukavaa sweta fupi ili uwe na muonekano mzuri zaidi. Kwa mwanaume vaa suruali na sweta fupi kiasi, sweta inayofika hadi shingoni ina mvuto...
Hii mvua inayopiga usiku wa leo, kama upo maeneo yanayokumbwa ma mafuriko kila mwaka jijini Dar, kesho una kibarua cha kutoa maji na tope ndani. Kudadeq hii kitu TMA hwwakutuambia hii.
Uzi ndio tayari, wacha server zijae tu.
VETIVER GRASS
Vetiver Grass ni aina ya nyasi ndefu zenye majani marefu, membamba na magumu. Vetiver Grass kwa jina la kisayansi zinajulikana kama "Chrysopogon zizanioides" na asili yake ni India.
Vetiver Grass zinauwezo wa kukua mpaka sentimita 150 ambazo ni sawa na futi tano na mizizi yake...
Nimekuona ukipambana na Wachina wanaojenga barabara ya Mwendokasi huko Mbagala , sasa Wachina wale wa Mwendokasi wana nafuu mno kuliko hawa wanaojenga mtaro wa maji ya mvua kuanzia kule kwenye kiwanda cha bia cha Serengeti, haifahamiki walipataje kazi kubwa hivi kwa viwango vyao duni...
Huwa najiuliza inakuaje kuna muda mvua inanyesha ndogo tu ambayo huitaji hata muavuli (rasha rasha)
Lakini muda mwingine hunyesha kubwa sana..kiasi kwamba mpaka mafuriko au kelele nyingi sana juu ya bati
Je, nini kinachopunguza au kuongeza hii presha ya mvua..ikiwa huko angani hakuna koki au...
Bandugu sehemu pekee ya kuambiana ukweli hapa Tanzania imebaki Jf maana sioni gazeti, radio au Tv ambayo inaweza kujilipua na kusema ukweli au kutoa wazo lenye mantiki ya ukweli ili kuiambia ukweli serikali yetu.
Mfano ni dhahiri kuwa ujenzi wa Sgr toka Dar to Morogoro ulipangwa kukamilika 2019...
Yaani wamebarikiwa sana na mwenyezi Mungu. Ukiangalia predicted rainfall patterns ya East Africa utagundua kwamba Tanzania ndio nchi pekee inayopokea mvua katika kila corner ya Tanzania. Nchi zingine hazipokei mvua katika kila kona. Lakini 100% ya Tanzania inapokea mvua. Sasa ni kwa nini...
Naweza sema hizi Barabara hasa hii inayoanzia Katumba - Mwakaleli- Rwangwa- hadi Kyela ni muhimu sana kiuchumi.
Huko ndiko inatolewa gesi ya carbon dioxide hiyo inayotumika kwenye vinywaji, mafridge nk.
Huko kuna mashamba makubwa ya chai na kiwanda cha chai. Hivyo utaona umuhimu wa eneo hilo...
Ndugu wapendwa JF!
Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!
Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!
Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4
Mungu alipokuwa anasema na...
Taarifa ya TMA iliyotolewa jana na Utabiri wa siku tano inasema mvua ya leo inaweza kusababisha athari mbalimbali pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi huku ikisisitiza wananchi kuzingatia agizo hilo pamoja na kujiandaa.
Habarini za Usiku,
Mvua zinazo shambulia Jiji la DSM linashambulia mitaa mbali mbali ya jiji, leo nilipita mitaa ya MIKOCHENI kwa WARIOBA nilichokishuhudia pale leo ni wazi serikali inapaswa ichukue jambo
Leo kwa warioba kuna bajaji ilisombwa na maji kutoka barabarani ikapelekwa ng'ambo ya...
Wilaya masikini kabisa kwa mkoa wa Dar es Salaam ni Temeke, wilaya yenye watu duni kabisa ni Temeke, wilaya iliyochelewa kabisa kimaendeleo ni Temeke.
Hata mipango na miundombinu duni kabisa ni Temeke. Inaongoza kwa uchafu pia.
Jambo la kushangaza nimepita soko Tandika kuna mitaa imepangwa...
Na kinachonishangaza ni kwamba inanyesha tu maeneo baadhi na nimeambiwa baadae itanyesha Regency Hotel kisha Jangwani Bwawani na ikifika tu Saa 10 jioni itanyesha kwa muda pale kwa Mkapa Stadium ambayo pia itaandamana na 'Nyuki' wa hapa na pale ili mradi tu leo akina Hersi na Msola baada ya Saa...
Kwa wale ambao mko barabarani muda huu tupeane taarifa ya hali ya foleni tusije kulala barabarani kama juzi.
Naomba hali ya barabarani hasa Bagamoyo road na ile Mwai Kibaki hadi kunduchi mtongani.
Ahsanteni in advance.
Maendeleo hayana vyama!
Mvua yaacha vilio Dar
WATU 13 wamefariki dunia, wakiwamo wanane ambao vifo vyao vimetokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, watu watano ambao ni wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuungua moto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.