Tatizo la foleni barabarani limekuwa likijirudiarudia kila mvua kubwa zikinyesha. Ukiangalia, chanzo kikubwa ni baadhi ya njia za kuingia na kutoka maeneo mengi hasa mjini kutopitika kutokana na kujaa maji hivyo kufanya magari kutegemea njia chache. Ikishakuwa hivyo kila mtu anakuwa na uharaka...
Wanasiasa wa upinzani wanapotoa maoni kwamba kuna vitu vya lazima na msingi zaidi kufanyika Dar es Salaam badala ya kujenga madaraja ya kupita juu ya bahari, huwa wanabezwa sana. Hatukatai hizi flyover zinasaidia sana kupunguza adha ya foleni Dar es Salaam lakini lazima tukiri kwamba flyover sio...
Wakuu
CCM na viongozi wake wamekuwa wakijinadi kipindi cha uchaguzi kwamba jiji la Dar es salaam limejengwa kisawasawa na miundombinu yake hususani barabara iko vizuri jiji zima
Fly over za kutosha, bombadi, daraja la salenda halikadhalika Mwendokasi vyote hivi CCM inasema ni kwaajili ya...
Mamlaka ya hali ya hewa nchini imesema mvua zinazoendelea kunyesha zimesababishwa na mgandamizo mdogo wa hali ya hewa katika bahari ya hindi.
Mvua hizi zinatarajiwa kupungua sana siku ya kesho.
Chanzo: Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
CCM kupitia Mwenyekiti Magufuli, Katibu Mkuu Bashiru na Mwenezi Polepole Mimi mpaka hivi sasa nimeshajitahidi Kuongea na Mzee Mmoja kati ya Wanne ambao nawajua amekubali Kuilegeza hii Mvua kwa Kumuahidi kumpa Mbuzi baadae ila hawa Wazee wengine Watatu kiukweli siwawezi nisaidieni. Sitaki...
Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane.
Hii mvua itasaidia kupunguza vumbi kwa muda mrefu Jiji hili halikua na mvua.
Lakini pia Mvua hutuonyesha kwamba Mji wa Dar na miji mingine Mikubwa inatakiwa ipangwe hata kama Sio mji mzima lakini Maeneo yotr ya Miji hii Mikubwa Yanatakiwa kuwa Na...
Tuliambiwa kwamba awamu ya kwanza ya SGR Dar es Salaam kwenda Morogoro, kupitia Pugu, Soga, Ruvu, na Ngerengere ujenzi wake ungekamilika mwaka jana November 2019.
Mkasema ooh, kuna handaki karibu na Morogoro inabidi lichimbwe limechelewasha kazi (yaani kama vile hamkujua kuwa kutakuwa na hilo...
Wana JF,
Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo anayotaka kutuletea kawe yatatoka wapi.
Huyu ahadi zake ni nyingi watu inabidi tuzipime tusije...
Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA imetoa utabiri wa hali ya hewa kwa mwezi Oktoba, Novemba na Disemba unaonyesha kwamba maeneo mengi ya nchi yatapata mvua chache na hivyo kusababisha athari ikiwemo upungufu wa chakula.
Mkurugenzi mkuu wa TMA Dkt Agnes Kijazi amesema hayo leo jijini Dar es...
(SEE SWAHILI VERSION BELOW: SOMA CHAPISHO LA KISWAHILI CHINI)
Big earthquakes might make sea level rise worse. Here's how.
The Samoan islands are sinking faster than expected due to warming alone, and a pair of huge quakes is likely to blame.
Source: Big earthquakes might make sea level...
WATU 11, saba wakiwa watoto, wamekufa kwa kusombwa na maji na wengine kuangukiwa na kuta za nyumba baada ya mvua kubwa kunyesha katika vijiji vya Pande na Konde vilivyopo mkoani Morogoro.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa , amesema majira ya saa saba usiku katika kijiji...
Niko Arusha huku kwa sasa naona jua limezungukwa na upinde wa mvua. Kwa maoni yenu mnadhani hii inamaanisha nini?
*Stay home stay safe, wash your hands frequently with water and soap, observe social distancing measures*
Naomba mwongozo niko maeneo ya bibi Titi Nssf nataka kuelekea magomeni mwembechai, je Jangwani panapitika au nizunguke kupitia kigogo?
Nitashukuru kwa mwongozo wakuu!
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari ya kunyesha kwa mvua kubwa ndani ya siku nne kuanzia leo Aprili 17, 2020 hadi Aprili 20, 2020 katika maeneo ya Ukanda wa Pwani.
Katika taarifa yake, Mamlaka hiyo imetoa angalizo kuwa kwa siku za Aprili 17 na 20, mvua kubwa itanyesha katika...
Kama kawaida jangwani maji yanapita juu ya daraja na barabara imejifunga.
Bonde la Kinondoni mkwajuni napo maji yanapita juu ya daraja, barabara imejifunga.
Bado sina picha kwa sasa.
Tuambie kinachoendelea kwenye upeo wa macho yako.
Sijawahi kuona Pasaka ambayo Wachungaji na Makasisi wengi ' Wamenuna ' na wana ' Hasira ' hata Nyusoni mwao kama hii ya leo. Kuna Kanisa Moja Wilayani Kinondoni Siku zote Saa 2 Asubuhi huwa ' limeshafurika ' Waumini na Sadaka yake kwa Siku hufikia Shilingi Milioni hata Tatu hadi Nne ila cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.