Kwanza niwakumbushe ninyi CCM Iringa ndio mliogoma kumdhamini Dr Magufuli mwaka 2015 alipokuja kuomba udhamini ili agombee urais.
Pili, ni ninyi CCM Iringa mliogoma kumpa ushirikiano mchungaji Msigwa ilhali mnajua kabisa Iringa mjini na pale white house pana " ukaribu" sana.
Tatu, kila mtu...
UPEPO mkali na mvua iliyoandamana na radi imesababisha nyumba zaidi ya 20 kuezuliwa mapaa huku Kaya 50 zikikosa makazi.
Tukio hilo la aina yake limetokea masaa mawili yaliyopita ambapo katika eneo la Kimara Golani kwa 'Bibi Rosta' mwandishi wa habari hizi ameshuhudia nyumba 19 zikiwa...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza hali mbaya ya hewa kwa siku tano kuanzia leo Jumatano Februari 12, 2020.
Taarifa ya TMA imeitaja mikoa inayotarajia kunyesha mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ni mikoa ya Lindi, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma, Pwani, Dar es Salaam...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, mbali na kusababisha vifo, imeathiri barabara 73 na madaraja kwenye mikoa 18 nchini.
Picha: Baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa na mvua nchini.
Amesema reli ya Tanga hadi Arusha, na Dar es Salaam hadi...
🖐NAMI NATIA NIA🖐.
Nianze kwa kuwapa pole ndugu zetu wa mikoa ya Lindi,tabora,Dodoma na maeneo mengine ya nchi kwa maafa ya mvua zilizopita kiwango na kusababisha maafa pole sana Ndugu zangu mwenyezi Mungu awatie nguvu na kuwapa subra katika kipindi hiki kigumu.
Najitokeza hadhari mbele ya...
MVUA zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali zimesababisha maafa makubwa ikiwemo watu watatu kupoteza maisha na watu zaidi ya 661 katika vijiji zaidi ya sita wakikosa makazi ya kuishi katika mikoa ya Lindi na Iringa.
Pamoja na hayo, miundombinu ikiwemo madaraja na mashamba ikiharibiwa...
Mvua kali zilizonyesha nchini Brazil zimepelekea maporomoko ya ardhi ambayo yamesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu.
Watu 46 wafariki katika maporomoko ya ardhi yaliosababishwa na mvua kali zilizonyesha nchini Brazil.
Kiongozi wa kitengo kinachohusikana na usalama wa rais katika eneo la...
MVUA YA MAAJABU YANYESHA GAIRO
Habari za kushangaza mvua ya ajabu imenyesha Gairo na maeneo jirani kama Kibaigwa, Mlali na maeneo mengine.
Mvua hiyo iliyonyesha siku mbili mfululizo imekuwa ikitoa maji meusi kama yameoshewa mkaa haijawahi kutokea maeneo haya na inasemekana imenysesha maeneo...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ( TMA) imetoa tahadhali ya mvua kubwa itakayonyesha katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na kusini mwa Morogoro leo Jumatano Januari 22, 2020.
Pia, TMA imetoa tahadhali ya upepo mkali na mawimbi makubwa katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, Dar es Salaam...
Mwaka 2017, Shirika la hali ya hewa duniani (WMO) lilitangaza mvua kubwa ya mawe kuwahi kutokea duniani.
Baada ya uchunguzi wa kina, ilionekana mvua iliyowahi kutokea Uttar Pradesh, India, tarehe 30 April 1888 ndio mvua kubwa kuwahi kutokea duniani, na ikaingia kwenye rekodi ya dunia ya...
Unaweza kusema ndio mvua kubwa tangu tuanze mwaka 2020 na imeanza kwa kasi kubwa tangu saa kumi usiku na bado inapiga, nimepita mitaa ya Mlandizi, Kibaha, Mbezi Mwisho, Ubungo hadi nafika katikati ya Jiji mvua inatwanga tu.
Njia zote zimejaa maji na hasa pale Jangwani na maeneo mengi, hii...
Zaidi ya watu 1,000 wamekosa makazi, baada ya nyumba 237 kubomolewa na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Dodoma.
Wakazi walioathirika kutokana na mvua hizo ni wa Wilaya ya Bahi, huku miundombinu ya barabara ikiharibiwa.
Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Mwanahamisi Munkunda...
Mvua zinazoendelea kunyesha katika mkoa wa Rukwa, zimeendelea kusababisha maafa baada ya kusomba madaraja manne katika barabara kuu ya Kasansa-Kilyamatundu inayounganisha mikoa ya Songwe, Rukwa na Katavi iliyopo bonde la ziwa Rukwa wilayani Sumbawanga huku ikisababisha vifo vya watu watatu...
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa angalizo kwa mikoa ambayo itanyesha mvua kubwa leo ikiwemo Singida, Rukwa, Mbeya, Njombe, Songwe na Iringa.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa kesho Januari 11, 2019 kutakuwa na angalizo la mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Singida, Dodoma, Rukwa, Mbeya...
December 30, 2019
Tanzania
Hali ya upungufu wa mavuno tishio la Usalama wa chakula Tanzania 2020 - 2021
Changamoto kubwa baada ya mafuriko na mvua nzito zisizo koma kukumba maeneo mengi ya Tanzania ni suala la usalama wa chakula kupitia akiba ya mazao kama mahindi, mpunga, mihogo, ulezi na...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mvua kubwa katika mikoa sita bara na baadhi ya maeneo visiwa vya Unguja na Pemba zitakazodumu kwa siku tano kuanzia leo Jumamosi Desemba 28, 2019.
Akitoa taarifa kwa umma, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Wilberforce Kikwasi amesema...
Serengeti. Mvua kubwa iliyonyesha mkoani Mara nchini Tanzania imesababisha maafa ikiwamo vifo vya watu watatu wakiwamo watoto wawili wa familia moja na uharibifu wa miundombinu.
Pamoja na watoto hao, mwili wa dereva bodaboda aliyesombwa na maji wakati akivuka katika eneo la Issenye wilayani...
Sehemu ya barabara ya Mwenge - Morocco inayoendelea kujengwa imefunikwa na maturubai kuizua isilowane na maji ya mvua.
Ingekuwa ni mkandarasi mzalendo ndiye kafanya hivi ningeanza kupata mashaka juu ya ubora wa hii barabara lakini kwa sababu inajengwa na Wajapani ngoja nimtafute yule rafiki...
Msaada kwenye tuta tafadhali.
Hali ya barabara ikoje kwa wale mliobahatika kufika Mjini mapema? Nipo Madale naelekea Kariakoo.
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.