Mungu ni mwema, ule ukame uliotutia hofu kwamba huenda mwaka huu kukawa na njaa imetoweka, kuna mvua kubwa sana inanyesha ikiambatana na radi, japo hofu ni kwa wale waliojenga mabondeni, usalama wao huenda ukawa mdogo sana, ilitokea siku chache zilizopita baadhi ya makazi ya watu yaliingiwa na...