mvuto

  1. Angelreese ni msichana pekee mwenye mvuto zaidi kwa sasa kwenye WBNA

    Dogo amefanya ushawishi Mkubwa sana kwenye WBNA kiasi ambacho amekuwa kivutio cha watu wengi sana. Hivi karibuni amechaguliwa kwenye all stars ya WBNA, licha ya mafanikio aliweza kuwashukuru wote waliofanikisha ndoto zake kutImiza. Angelreese ana kiimo flani amazing Akiwa ndani ya uwanja...
  2. BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

    Wanabodi, Hebu shuhudia Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo... 1. Nyomi!. Kiukweli kabisa watu ni wengi ajabu, sijui hata walitoka wapi, mabasi yote yalijaa, watu kwa makundi wanatembea kwa miguu, tumekaa foleni masaa 3!. Hii maana yake Bulldozer Mwamposa, ana nguvu za upako wa mvuto...
  3. M

    Ziara za Makonda hazina tena mvuto, asubiri hatma yake sasa

    Wakuu, Ziara za Makonda hazina tena mvuto na hakuna chombo kinachoripoti, ndio ajue kuna nguvu zaidi yake. Ni wakati sasa atulie aache kuzalisha migogoro na uchonganishi kwenye taasis za serikali
  4. Kwanini filamu za bongo hazina mvuto kama miaka ya nyuma wakati wa Kanumba?

    Wakuu hongera kwa wikiendi ya leo glories and praise to the LORD: Wakuu kuna jambo linanitatiza kitambo kidogo na sijawahi kuona kama limewahiletwa mezani kujadiliwa,ama mara nyingi mitaani ndio utasikia swala hili na kila mmoja analizungumzia ila chanzo haswa hakijulikani. Wakuu ni kwann...
  5. Hivi ni kweli kuna dawa ya mapenzi?

    kwamba eti kuna mganga wa kienyeji mahali Fulani, anaweza kumrudisha mpenzi wako alie potea au kukutoroka au kukufanya upendwe sana na boss wako ofisini au akupe dawa ya kupandishwa cheo kazini? Au akupe dawa ya mvuto wa kimapenzi?🐒 vipi ndugu, uliwahi kujaribu kupitia njia hii na vipi matokeo...
  6. Namna mvuto unavyo athiri maisha yetu

    Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali? Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali? Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi kali? Kuna siri gani haswa? Je, mvuto ni sura (muonekano wa nje)? Mvuto ni kitu gani? Mtu mwenye...
  7. M

    Kwa mara ya kwanza Derby ya Simba vs Yanga itakosa mvuto na mapato kwa sababu ya ulofa wa Simba

    Kila shabiki na mwanachama pamoja na viongozi wa Simba hawana tena hamu na mpira, mara ya kwanza akina Jaribu Tena walikuwa wakidanganya watu kuwa Simba ni dude kubwa, Simba ndio timu bora Tanzania, wengi wakaingia mtumbwi wa kibwengo, mara Yanga inabebwa, Yanga mbovu, cjui nini sasa leo ukweli...
  8. Tangazo la Azam Dabi ya Kariakoo halina mvuto

    Aliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga. Tangazo gani la namna ile? 1. Tangazo halina vibe lolote. 2. Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo akimfunga Yanga? Viongozi wa Yanga ingilieni kati otherwise mechi yenu uwanja utakuwa mweupe...
  9. Kwa hakika jana ni siku ambayo mpira wa Afrika umepoteza mvuto Duniani kote.

    Sina mengi ya kuandika zaidi ya hayo.
  10. Tangu waizime WhatsApp GB huduma ya WhatsApp imepoteza mvuto

    App ya WhatsApp GB ina raha yake. Ilikuwa na feature nyingi nyingi sana. Na mara kwa mara wanatoa update inavutia sana. Sasa majuzi nilishuhudia watu wakitakiwa ku download official WhatsApp app mm najua ni njama tu. Ile ilikuwa inaruhusu kuona kama mtu alituma kitu akakifuta wewe unaona na...
  11. Tatizo sio kutofika kileleni ishu ni usanii wa wanawake kukosa hisia na mvuto. Kanuni ni dakika 3-5-7 kwa wote kufika kileleni

    Shalom Wanaume bora niwachane ukweli ukiona manzi, demu, sholi, mke au mpenzi wa kike hafiki kileleni ndani ya dakika 3-5 hadi 7 ujue umepigwa za uso unatoka na mwanamke ambae analiwa sana, kila siku kazoea mwiko, ana sugu ya hatari. Binadamu hapigwi jeki. Imeisha bora upotezee tu kupigwa sio...
  12. Ujumbe wa kunyanduana ukiandaliwa na mwanamke una mvuto na vibes zaidi na kukonga nyoyo kuliko kumbe zetu sisi mabaharia

    Amani ya Mungu iwe nanyi. Ebana kuna kamanzi/kadada kammoja kameibuka huku mitandaoni anaelekeza namna ya kunyandua ndizi na apple ni mkali balaa, ana vionio kama vyote wenye video ya visa mafunzo vya ndizi na apple atupashe madesa, simbi na vizenga tafadhari. Ni hayo kwa uchache tu...
  13. J

    Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

    Mungu ni mwema Wakati wote Hatimaye Freeman Mbowe apewa nafasi ya kuzungumza Msibani kwa Lowassa. -- Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijafurahia kitendo cha kutotajwa katika historia ya Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa.
  14. M

    Ziara za Makonda hazina mvuto tena. Wananzengo wameg'amua ni maigizo ya kisanii

    Pamoja na mikwara mbuzi ya kupiga simu lakini hakuna jipya. Dhuluma na ufisadi bado vipo palepale. Polisi na Mahakamani dhuluma. Upigaji ulisharuhusiwa. Maana kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake wanaogopa kuvimbiwa tu
  15. Kwa sasa chama cha siasa ambacho kimepoteza mvuto kabisa ni CHADEMA, haipo tena kwenye mioyo ya watu

    Ni ukweli mchungu najua wafia chama watapingana na huu ukweli lakini hii ndio fact yenyewe kabisa! Chadema kwa sasa imebaki ndani ya mioyo ya wanufaika wa ruzuku tu! Ndio unawaona wanatoa povu la kupigania kipande cha mkate. Kwa Watanzania wa sasa. Hata kama chadema itatoa pesa za kuwalipa watu...
  16. Farhan Jr kauliza kwanini elimu ya sasa imepungua mvuto? Majibu aliyo pewa, wanaosomesha English Mediums hawatayafurahia👇

    Bwana mdogo Farhan Jr kupitia ukurasa wake wa instagram alianza kwa kuuliza swali kama ifuatavyo 👇
  17. Pre GE2025 Waziri Mkuu Majaliwa unadhoofishwa kimkakati ulikuwa unaheshimika ila kadiri unavyoambatana nao na kucheza mziki wao unapoteza mvuto, stuka

    Kassim Majaliwa ulijijengea heshima yako kwa muda mrefu Sana ukaonekana ni mtu usiyekuwa masihara na hauna utani lakini naona unaanza kuambatana na kundi lisilo na mvuto nakuhakikishia heshima yako hii uliyojitengenezea itapotea mithili ya mchanga wa mwambao watu wakubwa na heshima zenu mnaanza...
  18. Wanawake wenye mvuto JamiiForums 2023

    Wakuu habari za wakati huu, hopefully mko poa. Ifuatayo ni orodha ya wanawake wenye mvuto kwa mwaka huu 2023 Disclaimer: Ni kweli haiombwi hivo ila nikipewa sikatai😂😂 Hapa hamna kuwashobokea wala nini "Mwanamke ni ua lazima wavutie" Unataka na wewe dume uandikwe humu jamii forum kwa kipi? NB...
  19. M

    Watu wenye mvuto na uwezo mkubwa wa akili

    Kwa uchunguzi/utafiti nilioufanya. Mashabiki/wanachama wa SIMBA SC ni binadamu wenye mvuto,uwezo mkubwa sana wa akili,wajanja na umaarufu wenye heshima kuliko watu wengi katika Bara fulani na nchi husika. Kama unabisha fatilia wanaoiunga mkono SIMBA SC humu Jamii Forums wengi ni binadamu wenye...
  20. Hizi ndizo couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto ikiwemo couple ya Zuchu

    Hizi ni miongoni mwa couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto . 1A)Diamond Platnumz na Penniel Mungilwa(Penny): Hii ndio couple mbaya zaidi ya Diamond Platnumz iliyochukiwa na wengi. Sababu kuu ya kuchukiwa kwa hii couple ilikuja baada ya Diamond Platnumz kumpiga chini Wema Sepetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…