mwaipaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama kweli Godbless Lema amewauza Pambalu na Mwaipaya, basi huyu jamaa hafai kuwa MwanaCHADEMA ya sasa

    Taifa lipo kwenye kipindi ambacho wananchi wanahitaji ukombozi. Wamechoshwa kuibiwa mali zao za umma na wanaona kabisa CCM inaondolewa madarakani. Wasaliti kama Mbowe au Zitto Kabwe miaka ile ya nyuma hawana nafasi tena. Chadema wachukue hatua stahiki mapema dhidi ya huyu mnafiki.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa kamili atujuze. Is this Twaha Mwaipaya?

    Kuna jii kitu. Any clue?
  3. JamiiForums Tanzania Police Kenya wasema suala la Mwaipaya lipo kwenye uchunguzi waomba siku moja kuwasilisha kiapo Kinzani counter Affidavit maamuzi saa 9 mchana

    Suala la kutekwa kwa Mtanzania Jijini Nairobi bado halijapata jawabu kwani Wakili wa serikali amesema suala hilo lipo kwenye Uchunguzi hadi sasa. Suala hilo limeibua mnyukano wa kisheria Wakili Martha Karua amesema leo Mwaipaya alitakiwa kuletwa akiwa hai au amekufa mahakamani na kuiomba...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kenya: Mahakama Kuu, Kaunti ya Nairobi yaamuru Polisi kumrejesha Twaha Mwaipaya akiwa hai au amefariki

    Mahakama Kuu ya Kenya, iliyopo Milimani jijini Nairobi, imewaagiza maafisa wa serikali na Jeshi la Polisi kumfikisha Twaha Mwaipaya mbele ya mahakama hiyo akiwa hai au amefariki dunia, pamoja na hati halisi ya kumweka kizuizini, ili kubaini alipo na mazingira ya kuzuiliwa kwake. Agizo hilo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Asante Kenya Law Society et al kumpigania Twaha Mwaipaya

    Tupaze sauti kama wenzetu hawa . Sikilizà wanaothamini uhai wa binadamu TWAHA Mwaipaya nirekebishie clip hiyo
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Abdallah Mwaipaya, mdogo wako Twaha Mwaipaya katekwa lakini umekaa kimya

    DC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria. Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake. Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kutekwa Kwa Twaha Mwaipaya: Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya polisi Wala Serikali wakati ni mtanzania mwenzetu

    Kuna baadhi ya watu wanaona kama vile CCM au Serikali yao inaonewa Kwa kutumiwa kuhusika na utekaji mfano mzuri suala lile la mabinti waliomaliza form iv walivyorecord na kutoa maneno ambavyo hayana maadili Serikali ilireact haraka kupitia waziri Gwajima na Sio tu hili mambo mengi ambavyo...
  8. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo Mwaipaya alivyotoa mbinu za kuepuka kutekwa

    Jana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa. Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…