mwaka 2030

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Moshi Manispaa BILA kuhamishwa, kuna kila dalili (CCM) kukutana na changamoto kubwa zaidi katika Uchaguzi Mkuu 2030

    Bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya uongozi wa Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kukutana na changamoto kubwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka 2030, kutokana na malalamiko yanayoongezeka kila siku, kutoka kwa wananchi,viongozi, CCM na...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Nigeria Inahitaji Miaka 14 Zaidi Kufikia Uchumi wa Dola $1 Trilion Baada ya Lengo la mwaka 2030 Kushindikana.Je Tanzania Tutafaulu Kufikia Lengo 2050?

    Lengo tuliloweka kama Nchi kupitia Dira ya 2026-2050 ni kubwa sana na linahitaji juhudi za ziada sana. Ni sawa na mtu mwenye Milioni 1 kuweka lengo la Kufikia Milioni Bilioni 1. Kama tutafika inamaana tutakuwa miongoni mwa mataifa. Nigeria wao wameshindwa Kufikia Lengo lao mwaka 2030 na Sasa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi hizi za kazi zinaenda kupotea kuelekea mwaka 2030

    Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2026! Hii ni thread yangu ya kwanza mwaka huu na hivyo nimeona nianze kwa kuangalizia sekta ya ajira na ukuaji wa teknolojia na kinachoendelea kutokea kuelekea mwaka 2030. ILANI: Endapo utakuwa na mashaka na nafasi yoyote na ukataka ufafanuzi wa nini hasa kinaenda...
Back
Top Bottom