peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya uongozi wa Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kukutana na changamoto kubwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka 2030, kutokana na malalamiko yanayoongezeka kila siku, kutoka kwa wananchi,viongozi, CCM na wafanyabiashara
Jambo la msingi zaidi ni maslahi ya wananchi wa Moshi Manispaa. Wananchi wanapaswa kupata uongozi unaowasikiliza, unaowajibika na unaolinda maslahi ya umma, huyu Mkurugenzi anaropoka na kila mtu bila kujali umri, cheo wala wananchi,wala uongozi wa CCM .
UKISIKILIZA NA KUFUATILIA malalamiko kuhusu utendaji wa Mkurugenzi ,huyu, yamekuwa mengi na yanaendelea kujitokeza, hayawezi kupuuzwa kisiasa wala kiutawala,tunaomba apangiwe majukumu mengine!
Kumhamisha au kumpangia Mkurugenzi huyo majukumu mengine, endapo mamlaka husika bila kufanya tathmini wala uchunguzi zitaona kuna sababu za kufanya hivyo, si lazima kuonekane kama adhabu.
Inaweza kuwa hatua ya kiutawala yenye lengo la kulinda maslahi ya umma, kurejesha imani ya wananchi na kuimarisha utendaji wa Manispaa.
Aidha, kumekuwa na malalamiko na mijadala kuhusu matumizi na uuzaji wa maeneo ya wazi (open spaces) pamoja na namna baadhi ya maamuzi ya Manispaa yanavyotekelezwa.
Masuala haya yanapaswa kuwekwa wazi na kuchunguzwa kwa uwazi ili wananchi wajue ukweli.
Kama inadaiwa kwamba kuna viongozi wa kisiasa wanaingilia au kulinda uongozi wa Manispaa, jambo hilo pia linapaswa kuchunguzwa kwa utaratibu unaofaa. Hakuna kiongozi anayepaswa kuwa juu ya uwajibikaji.
Kwa hiyo, tunatoa wito kwa mamlaka husika:
Kufanya tathmini ya kina ya utendaji wa Mkurugenzi wa Moshi Manispaa.
Kuchunguza malalamiko ya wananchi kuhusu uendeshaji wa Manispaa na matumizi ya maeneo ya wazi.
Kusikiliza maoni ya wananchi na viongozi wa eneo kuhusu utendaji wa Manispaa.
Kwa ujumla tathmini inaonyesha kuna haja ya mabadiliko,makubwa sana moshi manispaa, ili Mkurugenzi huyo apangiwe majukumu mengine ili kuipa Manispaa nafasi ya kupata uongozi unaoweza kurejesha imani ya wananchi na chama cha Mapinduzi.
Uongozi wa umma si suala la kumlinda mtu mmoja; ni suala la kulinda taasisi, heshima ya serikali na maslahi ya wananchi kwani Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, anaishi na Mkurugenzi huyu ka mke wake ili hali hawana ndoa na mwisho wamejisahau kuhudumia wananchi.
Moshi Manispaa inahitaji uongozi unaojenga imani, si kuongeza malalamiko kama halibilivyo kwa sasa!
Huyu mama ni Tatizo kubwa sana !