mwalimu mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwalimu apigwa darasani na Mwalimu mkuu baada ya kuchelewa kazini

    Mwalimu mmoja katika Kaunti ya Nyamira nchini Kenya amelazwa katika hospitali ya Ikonge baada ya kushambuliwa na mwalimu mkuu kwa madai ya kuchelewa kufika shuleni. Mwalimu huyo wa Sekondari aitwaye Vincent Onyancha amesema alifanyiwa vurugu mbele ya wanafunzi wake darasani wakati akifundisha...
  2. Shahidi: Mwalimu Mkuu anayedaiwa kumlawiti Mwanangu alimwambia 'ukisema nitakupiga nikuvunjevunje'

    Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Mwalimu Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam kutoka Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake (11) imeendelea Februari 17, 2025, ambapo shahidi mmoja kati ya sita upande wa Jamhuri amekamilisha...
  3. Simiyu: Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ahukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya milioni 5 kwa kosa la kuwapa majibu wanafunzi

    Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sunzula B, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Bahati Suguti amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh5 milioni kwa kosa la kufanya udanganyifu katika mtihani la darasa la nne mwaka 2023. Katika kesi hiyo iliyotolewa hukumu leo Februari 2...
  4. Eti kila akifungua beer anasikia sauti ya mwalimu mkuu

    Milevi bana.. Inaanza kuona shule za kulipia ni overrated. https://www.jamiiforums.com/threads/haki-itendeke-kesi-ya-mwalimu-wa-shule-ya-kingdom-heritage-banana-dar-kutuhumiwa-kumbaka-mwanafunzi-wa-darasa-la-saba.2277312/...
  5. DOKEZO Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

    Tunapeleka taifa letu wapi? Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana .. Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto... Habari yenyewe ni hii๐Ÿ‘‡ WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE Mwalimu Mkuu (REGIUS...
  6. DOKEZO Shule ya Msingi Kambarage - Dodoma haina Ofisi ya Mwalimu Mkuu na Walimu wengine, wanabanana kwenye chumba kidogo

    Kati ya mambo yanastaajabisha nchi hii ni viongozi kuendekeza mambo yasikuwa na tija kwa wananchi na jamii, Serikali imeshindwa kujenga jengo la Ofisi ya Mwalimu Mkuu na Waalimu katika Shule ya Kambarage inayopatika ndani hya Jiji la Dodoma maeneo Vyeyula. Shule hii yenye Walimu 12...
  7. WAZIRI WA ELIMU & OR-TAMISEMI; Tunaomba Elimu iongozwe na viongozi wenye Elimu kubwa kuanzia Mwalimu mkuu hadi mkuu wa shule Ila Afisa Elimu iwe PhD.

    Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa. Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa. Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti...
  8. Mwalimu mkuu ataja sababu vifo vya watoto sita bwawani, wanne wakizikwa

    Rorya. Watoto wanne kati ya sita waliofariki dunia baada ya kuzama na kunasa kwenye tope katika bwawa la skimu ya umwagiliaji, Kijiji cha Ochuna wilayani Rorya, Mkoa wa Mara, wamezikwa kwenye eneo la pamoja katika kijiji hicho cha Ochuna. Hata hivyo, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Ochuna...
  9. A

    DOKEZO Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Upendo, Mbezi Louis anatumia vibaya madaraka yake kwa maslahi binafsi

    Naripoti kutoka Shule ya msingi Upendo Mbezi Louis, kuwa uongozi wa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo pamoja na msaidizi wake namba 2 ni wa ki maslahi binafsi na usio wa ushirikishwaji kwa Walimu wengine, matusi, dharau na kashfa mbalimbali 1. Upangaji wa Walimu kwenye vipindi ni wa ovyo na usio na...
  10. Mwalimu Mkuu adaiwa kumlawiti mwanafunzi Bunda

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Masaunga wilayani Bunda, Vicent Nkunguu (39) kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la sita shuleni hapo kisha kumnywesha sumu. Akizungumza na Mwananchi kwa simu leo Machi 13, 2024, Kamanda wa Polisi...
  11. Leo katika historia: Mzee Tibakweitira akiwa Headmaster wa Same Sekondari alimwadhibu mtoto wa Nyerere na kupandishwa cheo

    ๐‹๐ž๐จ ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ก๐ข๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ข๐š. ๐Œ๐ณ๐ž๐ž ๐“๐ข๐›๐š๐ค๐ฐ๐ž๐ข๐ญ๐ข๐ซ๐š ๐š๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ก๐ž๐š๐๐ฆ๐š๐ฌ๐ญ๐ž๐ซ S๐š๐ฆ๐ž Sec ๐ฆ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ฐ๐š ๐‘๐š๐ข๐ฌ ๐๐ฒ๐ž๐ซ๐ž๐ซ๐ž ๐š๐ฅ๐ข๐ค๐จ๐ฌ๐š ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐ซ๐ฎ๐๐ข๐ฌ๐ก๐ฐ๐š nyumbani ๐š๐ฆ๐ฅ๐ž๐ญ๐ž ๐ฆ๐ณ๐š๐ณ๐ข ๐ฐ๐š๐ค๐ž. ๐Œ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐š๐ค๐š๐ฆ๐ฅ๐ž๐ญ๐š ๐ƒ๐‚. M๐ณ๐ž๐ž ๐“๐ข๐›๐š ๐š๐ค๐š๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐ƒ๐‚ ๐ฌ๐ข๐จ ๐›๐š๐›๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž. ๐Œ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐š๐ค๐š๐ฆ๐ฅ๐ž๐ญ๐š ๐‘๐‚, ๐Œ๐ณ๐ž๐ž ๐“๐ข๐›๐š ๐š๐ค๐š๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐‘๐‚ ๐ฌ๐ข๐จ ๐›๐š๐›๐š ๐ฐ๐š ๐ฆ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ก๐ฎ๐ฒ๐ฎ. B๐š๐›๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ง๐š๐ฆ๐Ÿ๐š๐ก๐š๐ฆ๐ฎ ๐ฌ๐š๐ง๐š...
  12. Mwalimu Mkuu aliyepewa fedha za TAKUKURU Afariki Dunia, yadaiwa amekunywa kimiminika chenye sumu

    Mnamo tarehe 14.09.2023 majira ya saa 1:30 asubuhi huko katika nyumba za Walimu wa Shule ya Sekondari Mtanila iliyopo Kijiji cha Igangwe Wilaya ya Chunya, Mkuu wa Shule hiyo aliyefahamika kwa jina la MAGWIRA NKUTA [41] alifariki dunia baada ya kunywa kimiminika kinachodhaniwa ni sumu. Chanzo...
  13. W

    Kuna mwalimu mkuu mmoja yupo njiani muda huu, anaenda kwa bosi kujieleza kwanini hawakufundisha Jumamosi hii

    Ndo hivyo jamani! Hilo ndilo linalotokea sasa hivi tunavyoongea huku mkoani kunakolimwa ufuta na korosho kwa wingi. Ipo hivi, Ijumaa ya tarehe 01.09.2023 shule zilifungwa kwa mapumziko mafupi ya wiki mbili. Sasa katika shule hiyo walimu walikubaliana kuwa wawapumzishe watoto wote (yaani pamoja...
  14. DOKEZO Kilakala: Mwalimu Mkuu anashirikiana na Mwenyekiti kuficha taarifa za ulawiti kwa Mwanafunzi

    Vitendo vya unyanyasaji wa kingono vimeendelea kushamiri katika nchi yetu na tunategemea jamii iwe na ushirikiano katika kupinga na kutokomeza uovu huu ili kuokoa jamii yetu. Katika hali ya kushangaza, mwanafunzi mmoja (jina linahifadhiwa) (KE) wa shule ya msingi Kilakala katika manispaa ya...
  15. Mussa Mangu ashinda rufaa ya kupinga kunyongwa kwa mauaji ya Erasto Msuya

    Habari wana jukwaa natumaini mpo salama! Mfungwa Mussa Mangu aliyekua anatumikia adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kuhusika katika mauaji ya Bilionea Erasto Msuya ameachiwa huru jana baada ya kukata rufaa yeye na wenzake wanne. Mahakama ya rufaa imeamua Mussa Mangu kuachiliwa huru mara moja...
  16. HakiElimu yakemea tukio la ukatili wa Mwalimu Mkuu Kagera, yatoa mapendekezo kwa Serikali

    Mkurugenzi wa HakiElimu, John Kalage amesema tukio la mtoto wa Shule ya Msingi Kakanja, Wilayani Kyera Mkoani Kagera kuchapwa katika njia ambayo ilionekana ni ya kikatili limewasikitisha kwa kiwango kikubwa. Ameeleza tukio hilo lililotekelezwa na Mwalimu Mkuu wa shule husika ambapo picha za...
  17. Mwalimu Mkuu shule ya msingi Mavovo Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga ana tabia mbovu, hafai kuwa mtumishi

    .
  18. Mwalimu wa Kike apigwa na Mwalimu Mkuu

    MWALIMU WA KIKE APIGWA NA MWALIMU MKUU NA KUVUNJWA JINO MOROGORO VIJIJINI. WENZAKE WAMUOMBA ASKOFU MWAMAKULA ASAIDIE KUPAZA SAUTI ILI MAWAZIRI WENYE DHAMANA WASIKIE NA KUINGILIA KATI Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate! Tunapenda kukujulisha tukio la kusikitisha...
  19. Mkurugenzi (DED) Masasi DC amvua cheo Mwalimu Mkuu kisa kushindwa kuchangia chochote kwenye ziara ya Mbunge

    Wadau, leo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi aliamua kumvua cheo Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Chiwata tena mbele ya halaiki ya watu kisa kakosa hela ya kutoa harambee ya kuchangia maendeleo ya Kata. Mkutano huo ulikuwa umeandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Cecil Mwambe...
  20. Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Nzasa aonywa kwa kumwalika Amber Rutty kama mgeni shuleni

    Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umeeleza kuchukizwa kwake na kitendo cha Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nzasa kumualika Amber Rutty kama Mgeni rasmi na kuongea na Wanafunzi. Pia soma > Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ