Kaimu Mwalimu Mkuu akamatwa kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi wake

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata mwalimu mkame Living Mwaisumo mwenye umri wa Miaka 30 kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari zombo wilayani Kilosa Mkoani Morogoro.

Akizingumza na waandishi wa habari kamanda Jeshi la Polisi Mkoa wa morogoro SACP Alex Mkama amesema mtuhumiwa alitenda kosa Hilo tarehe 19 march 2025 majira ya asubuhi .

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro amesema mwanafunzi huyo mwenye umri wa Miaka 16 ambaye jina lake limehifadhiwa alifanyiwa kitendo cha ukatili huo na mwalimu huyo wakiwa ndani ya ofisi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo.

Aidha kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro amesema mtuhumiwa alikamatwa baada ya mwanafunzi huyo kutoa taarifa kituo cha polis na tayari uchunguzi wa awali umeshafanyika na kubaini tukio Hilo mmomonyokoa wa maadili huku uchunguzi wa kisayansi kujiendeleza kufanyika.
 
Huyu Mwl. Mwaisa bure kabisa! Yaani ameshindwa kuyaita ma mama ya Tukuyu yaliyoshiba ndizi na kujaza mazegembe nyuma anaparamia watoto! Jela inamuhusu 😭😭😭
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata mwalimu mkame Living Mwaisumo mwenye umri wa Miaka 30 kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari zombo wilayani Kilosa Mkoani Morogoro.

Akizingumza na waandishi wa habari kamanda Jeshi la Polisi Mkoa wa morogoro SACP Alex Mkama amesema mtuhumiwa alitenda kosa Hilo tarehe 19 march 2025 majira ya asubuhi .

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro amesema mwanafunzi huyo mwenye umri wa Miaka 16 ambaye jina lake limehifadhiwa alifanyiwa kitendo cha ukatili huo na mwalimu huyo wakiwa ndani ya ofisi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo.

Aidha kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro amesema mtuhumiwa alikamatwa baada ya mwanafunzi huyo kutoa taarifa kituo cha polis na tayari uchunguzi wa awali umeshafanyika na kubaini tukio Hilo mmomonyokoa wa maadili huku uchunguzi wa kisayansi kujiendeleza kufanyika.
Mpuuzi sana jela inamhusu
Okay, sawa.

Isipokuwa watu wanapaswa wawe waangalifu Sana kwenye mienendo yao ya kila siku katika maisha yao kwenye dunia hii ya Sasa.

Kuna majaribu na mitego mingi Sana kutoka kwa Maadui ili waweze kukuangusha chini na kuangamizwa kabisa.
Huenda huo ulikuwa mtego, au kisasi au VIta ya Kugombea Cheo na Madaraka katika Kazi yake, Vita ya Mirathi, Vita ya Migogoro ya Ardhi, au Vita ya kifamilia, n.k.

Mtuhumiwa anatajwa kuwa ni "Kaimu Mwalimu Mkuu," huenda hiyo ni Vita ya kugombea hicho Cheo Cha 'Mwalimu Mkuu' ambacho anakaimu kwa wakati huu wa sasa. May be!

Walimu wanapaswa wawe makini sana kwenye maisha yao.
 
Kukaimishwa tu nafasi kukamtia vishawishi
 
Huenda ametegwa mtego huu au amebambikiwa hizo tuhuma katika mkasa wa Vita ya Kugombea madaraka hapo shuleni ili Maadui/watesi wake waweze kupata hicho Cheo Cha Mwalimu Mkuu anachokaimu.
ayari uchunguzi wa awali umeshafanyika na kubaini tukio Hilo mmomonyokoa wa maadili huku uchunguzi wa kisayansi kujiendeleza kufanyika.
Huenda tayari wamechukua sampuli kwa binti kama Mwaisumo hakuwa na kinga
 
Sexpionage Operation and Honey Trap!

Very aggressive means used by Russian regime to discredit their critics and opponents, especially Political rivals and Activists, Public figures, famous people in the society, Public Servants, etc.
 
Okay, sawa.

Isipokuwa watu wanapaswa wawe waangalifu Sana kwenye mienendo yao ya kila siku katika maisha yao kwenye dunia hii ya Sasa.

Kuna majaribu na mitego mingi Sana kutoka kwa Maadui ili waweze kukuangusha chini na kuangamizwa kabisa.
Huenda huo ulikuwa mtego, au kisasi au VIta ya Kugombea Cheo na Madaraka katika Kazi yake, Vita ya Mirathi, Vita ya Migogoro ya Ardhi, au Vita ya kifamilia, n.k.

Mtuhumiwa anatajwa kuwa ni "Kaimu Mwalimu Mkuu," huenda hiyo ni Vita ya kugombea hicho Cheo Cha 'Mwalimu Mkuu' ambacho anakaimu kwa wakati huu wa sasa. May be!

Walimu wanapaswa wawe makini sana kwenye maisha yao.
asa vita gani labda ionekane hajatenda hivyo ila kama katenda kweli na ikathobitika kweli katenda atawajibik
 
Kazi kwel kwel itabid kila mtu ajichungu mengne ni mbinu za kukuporomosha..

HebuAssume hapa nipopanga kuna vidada vinasoma sekondary ila mara kwa mara navifuma vinaogea nje iwe ucku ata ahsubh..

Hua nawaza kuvitongoza niwe napunguzia sumu mwilini, ila maraika wangu mlinz na machale ananiambia KOMA na TULIZA VINYANYA MSHENZI vyako.

Nadhan hua vinanishangaa sana maana si kwa mitego ile, sema kwel bdo ninandoto ya kufka mbali afu nifelishwe na 4m2 hapana kwakwel..
 
Okay, sawa.

Isipokuwa watu wanapaswa wawe waangalifu Sana kwenye mienendo yao ya kila siku katika maisha yao kwenye dunia hii ya Sasa.

Kuna majaribu na mitego mingi Sana kutoka kwa Maadui ili waweze kukuangusha chini na kuangamizwa kabisa.
Huenda huo ulikuwa mtego, au kisasi au VIta ya Kugombea Cheo na Madaraka katika Kazi yake, Vita ya Mirathi, Vita ya Migogoro ya Ardhi, au Vita ya kifamilia, n.k.

Mtuhumiwa anatajwa kuwa ni "Kaimu Mwalimu Mkuu," huenda hiyo ni Vita ya kugombea hicho Cheo Cha 'Mwalimu Mkuu' ambacho anakaimu kwa wakati huu wa sasa. May be!

Walimu wanapaswa wawe makini sana kwenye maisha yao.
There is no excuse for pedophilia!

There is no excuse for rape!

None! 📌📌📌📌
 
30 years na ni mkuu wa shule ok sawa
Kuna watu age go zaid yake walihitaj hicho kiti waliokaa kwenye system mda mrefu mtu mweusi na madaraka wako radhi kutoa maisha ya mtu
Pole Kwa mwalim itakua ni set up
 
Back
Top Bottom