MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
Walimu acheni hzo mambo mbona dada poa wapo wengi mtaami yanini kutuharibia watoto wetu.
Siku hizi unaweza kuta mtoto ana miaka 15 ila mzigo aliofungasha ni zaidi ya kilo 50. Mzigo una inch 50+ (mafundi nguo ndio wanaelewa)Huyu Mwl. Mwaisa bure kabisa! Yaani ameshindwa kuyaita ma mama ya Tukuyu yaliyoshiba ndizi na kujaza mazegembe nyuma anaparamia watoto! Jela inamuhusu 😭😭😭
1000% right.Huenda ametegwa mtego huu au amebambikiwa hizo tuhuma katika mkasa wa Vita ya Kugombea madaraka hapo shuleni ili Maadui/watesi wake waweze kupata hicho Cheo Cha Mwalimu Mkuu anachokaimu.
You never know, dunia ya Sasa hivi ina mambo mengi sana!
Mtafuta myajengeAmeshindwa hata kuzunguka zunguka around VETA? Au Morogoro hakuna VETA?
Hizi ishu bwana unaweza kuta jamaa kafanya au hajafanya. 16 years ni binti ambaye viungo vinamruhusu kupokea kiungo ME.
Na kama amekulia mitaa yetu ile waweza kuta Mwalimu yeye siyo wa kwanza. Sasa funny stuff ni kwamba, waweza kuta ticha alimshawishi dogo, ila kwakua under 18 hana consent kisheria hapo sasa ndipo mtu unaambiwa umebaka.
Wakati ukikumbuka vizuri dogo na viuno alikata dadeki. Halafu jeshi limemwaga kila kitu wazi kwa kutaja umri, yaani huyu mwana kama ana mpunga mnene inabidi akayajenge na familia wakubali kufumba macho, halafu wanaproduce birth certificate ya kuonyesha actually binti ni 18.
Kisheria kutembea na mwanafunzi siyo kosa, kosa ni kumtia mimba. Ila akiwa under 18 ndiyo show inakua kubaka. So mwana akiweza kupindua kwa mtindo huo apindue akishindwa akatambike.
Kwa Scenario jinsi ilivyo.Hata hivyo binti wa miaka 16 ana nguvu pia anaweza kupiga kelele.
Tukio limefanyika ofisini.
Binti hakupiga kelele? The only way kwenye matukio kama haya mhanga hatopiga kelele ni kama atakua ametishiwa na silaha au alikua anapigwa wakati ukatili unaendelea.
Sasa taarifa inasema binti alienda kuripoti. Means tukio lilimalizika ndiyo akaenda? Why not shouting? What are we missing?
nani amseti nyege zake tu30 years na ni mkuu wa shule ok sawa
Kuna watu age go zaid yake walihitaj hicho kiti waliokaa kwenye system mda mrefu mtu mweusi na madaraka wako radhi kutoa maisha ya mtu
Pole Kwa mwalim itakua ni set up
Ameshindwa hata kuzunguka zunguka around VETA? Au Morogoro hakuna VETA?
Hizi ishu bwana unaweza kuta jamaa kafanya au hajafanya. 16 years ni binti ambaye viungo vinamruhusu kupokea kiungo ME.
Na kama amekulia mitaa yetu ile waweza kuta Mwalimu yeye siyo wa kwanza. Sasa funny stuff ni kwamba, waweza kuta ticha alimshawishi dogo, ila kwakua under 18 hana consent kisheria hapo sasa ndipo mtu unaambiwa umebaka.
Wakati ukikumbuka vizuri dogo na viuno alikata dadeki. Halafu jeshi limemwaga kila kitu wazi kwa kutaja umri, yaani huyu mwana kama ana mpunga mnene inabidi akayajenge na familia wakubali kufumba macho, halafu wanaproduce birth certificate ya kuonyesha actually binti ni 18.
Kisheria kutembea na mwanafunzi siyo kosa, kosa ni kumtia mimba. Ila akiwa under 18 ndiyo show inakua kubaka. So mwana akiweza kupindua kwa mtindo huo apindue akishindwa akatambike.
Nafanya kazi inayoniexpose na hizi ishu.Kisheria 'kutembea na Mwanafunzi' siyo kosa? Sheria za nchi gani hizo?
Labda hilo neno ulilotumia la "kutembea na Mwanafunzi'" liwe unamaanisha kutembea katika muktadha wa kuambatana naye Barabarani, lakini siyo kushiriki naye tendo la kujamiiana.
Kujamiiana na Mwanafunzi' moja kwa moja ni Kosa kubwa sana kisheria, hata kama Mwanafunzi' huyo atakuwa ana umri wa zaidi ya miaka 18, au Mwanafunzi'huyo atakuwa ameridhia yeye mwenyewe kwa hiyari yake kushiriki hilo tendo la kujamiiana. Kosa hilo linaitwa "Statutory Rapping."
Kwa mikoa ambayo ipo nyuma kwenye kuandikisha watoto kielimu siyo ajabu kukuta mwanafunzi wa form two ana miaka 18 au zaidi.Kisheria 'kutembea na Mwanafunzi' siyo kosa? Sheria za nchi gani hizo?
Labda hilo neno ulilotumia la "kutembea na Mwanafunzi'" liwe unamaanisha kutembea katika muktadha wa kuambatana naye Barabarani, lakini siyo kushiriki naye tendo la kujamiiana.
Kujamiiana na Mwanafunzi' moja kwa moja ni Kosa kubwa sana kisheria, hata kama Mwanafunzi' huyo atakuwa ana umri wa zaidi ya miaka 18, au Mwanafunzi'huyo atakuwa ameridhia yeye mwenyewe kwa hiyari yake kushiriki hilo tendo la kujamiiana. Kosa hilo linaitwa "Statutory Rapping."
Elimu na nidhamu mashuleni na vyuo INASIKITISHA kwa sasa! What happened?!
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata mwalimu mkame Living Mwaisumo mwenye umri wa Miaka 30 kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari zombo wilayani Kilosa Mkoani Morogoro.
Akizingumza na waandishi wa habari kamanda Jeshi la Polisi Mkoa wa morogoro SACP Alex Mkama amesema mtuhumiwa alitenda kosa Hilo tarehe 19 march 2025 majira ya asubuhi .
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro amesema mwanafunzi huyo mwenye umri wa Miaka 16 ambaye jina lake limehifadhiwa alifanyiwa kitendo cha ukatili huo na mwalimu huyo wakiwa ndani ya ofisi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo.
Aidha kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro amesema mtuhumiwa alikamatwa baada ya mwanafunzi huyo kutoa taarifa kituo cha polis na tayari uchunguzi wa awali umeshafanyika na kubaini tukio Hilo mmomonyokoa wa maadili huku uchunguzi wa kisayansi kujiendeleza kufanyika.