mwalimu

Julius Kambarage Nyerere (Swahili pronunciation: [ˈdʒuːlius kɑmˈbɑɾɑgɑ ɲɛˈɾɛɾɛ]; 13 April 1922 – 14 October 1999) was a Tanzanian anti-colonial activist, politician, and political theorist. He governed Tanganyika as Prime Minister from 1961 to 1962 and then as President from 1963 to 1964, after which he led its successor state, Tanzania, as President from 1964 to 1985. A founding member of the Tanganyika African National Union (TANU) party—which in 1977 became the Chama Cha Mapinduzi party—he chaired it until 1990. Ideologically an African nationalist and African socialist, he promoted a political philosophy known as Ujamaa.
Born in Butiama, then in the British colony of Tanganyika, Nyerere was the son of a Zanaki chief. After completing his schooling, he studied at Makerere College in Uganda and then Edinburgh University in Scotland. In 1952 he returned to Tanganyika, married, and worked as a teacher. In 1954, he helped form TANU, through which he campaigned for Tanganyikan independence from the British Empire. Influenced by the Indian independence leader Mahatma Gandhi, Nyerere preached non-violent protest to achieve this aim. Elected to the Legislative Council in the 1958–1959 elections, Nyerere then led TANU to victory at the 1960 general election, becoming Prime Minister. Negotiations with the British authorities resulted in Tanganyikan independence in 1961. In 1962, Tanganyika became a republic, with Nyerere elected its first president. His administration pursued decolonisation and the "Africanisation" of the civil service while promoting unity between indigenous Africans and the country's Asian and European minorities. He encouraged the formation of a one-party state and unsuccessfully pursued the Pan-Africanist formation of an East African Federation with Uganda and Kenya. A 1963 mutiny within the army was suppressed with British assistance.
Following the Zanzibar Revolution of 1964, the island of Zanzibar was unified with Tanganyika to form Tanzania. After this, Nyerere placed a growing emphasis on national self-reliance and socialism. Although his socialism differed from that promoted by Marxism–Leninism, Tanzania developed close links with Mao Zedong's Marxist-governed China. In 1967, Nyerere issued the Arusha Declaration which outlined his vision of ujamaa. Banks and other major industries and companies were nationalised; education and healthcare were significantly expanded. Renewed emphasis was placed on agricultural development through the formation of communal farms, although these reforms hampered food production and left areas dependent on food aid. His government provided training and aid to anti-colonialist groups fighting white-minority rule throughout southern Africa and oversaw Tanzania's 1978–1979 war with Uganda which resulted in the overthrow of Ugandan President Idi Amin. In 1985, Nyerere stood down and was succeeded by Ali Hassan Mwinyi, who reversed many of Nyerere's policies. He remained chair of Chama Cha Mapinduzi until 1990, supporting a transition to a multi-party system, and later served as mediator in attempts to end the Burundian Civil War.
Nyerere was a controversial figure. Across Africa he gained widespread respect as an anti-colonialist and in power received praise for ensuring that, unlike many of its neighbours, Tanzania remained stable and unified in the decades following independence. His construction of the one-party state and use of detention without trial led to accusations of dictatorial governance, while he has also been blamed for economic mismanagement. He is held in deep respect within Tanzania, where he is often referred to by the Swahili honorific Mwalimu ("teacher") and described as the "Father of the Nation".

View More On Wikipedia.org
  1. Bukoba: Mwalimu atakiwa kurejesha Mshahara aliolipwa kwa kufanya Udanganyifu kwa Mwajiri

    Novemba 22, 2023 katika Mahakama ya Bukoba imeamriwa kesi ya Jamhuri dhidi LYDIA KOKUSHOBOKA KAOO, ambaye ni alikuwa mwalimu wa Shule ya Msingi Kashai- Manispaa ya Bukoba. Imemtia hatiani kwa makosa mawili la kwanza matumizi ya nyaraka kumdanganya mwajiri kwa kuandika barua kwa mwajiri...
  2. Mwalimu Mtanzania miongoni mwa walimu 50 bora duniani

    James Kidiga David United Republic of Tanzania - Kiara secondary school James’ journey towards becoming a teacher started in primary school. Knowing the importance of learning, he saw that many children do not get a quality education due to scarcity of teachers, poverty, early marriage, and...
  3. Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

    Hali ya taharuki imetokea katika shule ya msingi Narumu, katika Kijiji cha Narumu wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, baada ya mama mmoja ajulikanae kwa jina la Valentina Kweka, kuingia ofisi ya walimu na kumpiga Mwalimu. Mwalimu huyo ambaye ni wa kike (jina limehifadhiwa) alijeruhiwa hivyo...
  4. M

    Walitumia kigezo gani kupanga mshahara wa Mwalimu?

    Hii kitu inafikirisha sana kuona mwalimu analipwa 300,000 kwa mwezi Sawa na Bei ya pair MOJA ya kiatu/Raba air Jordan og grade one pale england
  5. Simiyu: Afisa Ustawi, Mwalimu wakwamisha tena kesi ya Askari kudaiwa kumpiga hadi kumjeruhi mtoto wake

    Kesi ya Jinai Namba 59, 2023 inayomkabili Askari wa Kituo cha Polisi Bariadi Mkoani Simiyu H.4178 Abati Benedictor anayedaiwa kumpiga hadi kumsababishia majeraha mtoto wake (07), jana imeshindwa kuendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi baada ya Mashahidi upande wa Mashtaka...
  6. Nimejiridhisha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anastahili kuwa Mtakatifu

    Bahati mbaya vijana wengi waliozaliwa mwaka 2000 hawakuwahi kumwona wala kumwelewa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,Mimi niliyezaliwa 1980 nilibahatika kidogo nyakati hizo nikiwa shule ya Msingi bungo pale Morogoro,nilipokuwa kiongozi wa chipukizi, nilipeana naye mkono mara moja japo alikuwa...
  7. Mwalimu wa Historia alituongopea?

    Miaka mingi imeshapita lakini ningali nikikumbuka bara bara! Tulipokuwa "High School", kwenye moja ya somo la Historia, Mwalimu wetu alituambia kuwa waliokijenga Chuo Kikuu cha Makerere ni Wamarekani. Miaka hiyo, Marekani ilianza utaratibu wa kuwapeleka Marekani baadhi ya Waafrika kutoka...
  8. Natafuta mwalimu wa gymnasium

    Habari za mchana na poleni na majukumu. Jamani humu ndani kama kuna mtu anafahamu mwalimu wa gymnasium au mahali nawezapata info zitakozoniwezesha kupata uyo mwalimu naomba nisadie, pia unawezanitumia kama ni number ya sim kwa PM. Asanteni sana
  9. Wazo kwa Mwalimu X shule ya Sekondari Nyiendo Wilaya ya Bunda

    1.Tunajua unajua kucheza na saikolojia za watu Kwa kupiga piga picha na wanasiasa na viongozi wa serikali ili utishe walimu na mkuu wako wa shule kwamba upo karibu na viongozi wakubwa wa serikali na chama.Yaani Huwa ukiona kiongozi wa serikali wazo lako kuu la kwanza ni kumuomba kupiga picha...
  10. Leo katika historia: Mzee Tibakweitira akiwa Headmaster wa Same Sekondari alimwadhibu mtoto wa Nyerere na kupandishwa cheo

    𝐋𝐞𝐨 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐡𝐢𝐬𝐭𝐨𝐫𝐢𝐚. 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐓𝐢𝐛𝐚𝐤𝐰𝐞𝐢𝐭𝐢𝐫𝐚 𝐚𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐡𝐞𝐚𝐝𝐦𝐚𝐬𝐭𝐞𝐫 S𝐚𝐦𝐞 Sec 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐰𝐚 𝐑𝐚𝐢𝐬 𝐍𝐲𝐞𝐫𝐞𝐫𝐞 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐨𝐬𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐫𝐮𝐝𝐢𝐬𝐡𝐰𝐚 nyumbani 𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐞 𝐦𝐳𝐚𝐳𝐢 𝐰𝐚𝐤𝐞. 𝐌𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐚𝐤𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐃𝐂. M𝐳𝐞𝐞 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐚𝐤𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐃𝐂 𝐬𝐢𝐨 𝐛𝐚𝐛𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞. 𝐌𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐚𝐤𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐑𝐂, 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐚𝐤𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐑𝐂 𝐬𝐢𝐨 𝐛𝐚𝐛𝐚 𝐰𝐚 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐡𝐮𝐲𝐮. B𝐚𝐛𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐧𝐚𝐦𝐟𝐚𝐡𝐚𝐦𝐮 𝐬𝐚𝐧𝐚...
  11. Nani anawajibika kutoa ajira au kazi?

    Tupo kwenye dunia ambayo mageuzo ni makubwa na athari ni kubwa hasa kwa jamii ambayo haijajiandaa. Mbaya zaidi mageuzo hao hayajali umejiandaa au hujajiandaa, umeelewa au hujaelewa. Hivi leo, kwa sababu ya maendeleo mbalimbali ikiwemo maendeleo ya teknolojia, dunia inakabiliwa na changamoto...
  12. CHADEMA ni wazalendo. Wanaishi kwa vitendo maono ya hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

    Huu uzi ni maalum kuwapa maua yao wenzetu kwenye siasa, CHADEMA, kwa uzalendo mkubwa wanaouonyesha kwa nchi yetu ya Tanzania. Na pia kwa muda mrefu wameonyesha kuishi kwa vitendo kwenye maono ya baba wa taifa, Mwalimu Nyerere. Wiki hii mara baada ya uteuzi na kukabidhiwa ofisi kwa katibu...
  13. Mwalimu Japhet Maganga wa CWT hafukuziki? Jibu hili hapa

    Nimeshangaa jinsi suala la Katibu Mkuu wa CWT mwalimu Japhet Maganga linavyofanyiwa siasa badala ya kuchukuliwa kama suala la kiutumishi. Kwanza sio jambo la kawaida mtumishi wa umma kufukuzwa kazi kwa mujibu sheria na jambo hilo kugeuzwa kuwa suala la umma. Mwalimu Maganga kateuliwa kuwa DC...
  14. Rais yupi amemuenzi Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenye uongozi unaokidhi matarajio ya Watanzania?

    Nianze kwa ushairi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ulioandikwa katika kitabu chake cha "Uongozi wetu na hatma ya Tanzania" Ole wake Tanzania Tusipoisaidia Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya,nimeonya tahadhali nimetoa ushauri nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini,namlilia Jaalia...
  15. Rungwe wamuenzi Mwalimu Nyerere kwa shughuli zinazofanyika Ziwa Ngosi na kupanda Mlima Rungwe

    Ikiwa leo Oktoba 14, 2023 ni Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Muasisi wa Taifa hili Hayati Julius Kambarage Nyerere ambaye alifariki Oktoba 14, 1999; Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameongoza Kamati ya Ulinzi na...
  16. Kwa pamoja wana JamiiForums karibuni tujifunze Kiingereza kilichoenda Shule ya Kuzimu cha Mwalimu wetu dr namugari

    'Otherwise these is absolutely rubbish;' by PhD Holder and JamiiForums Great Thinker dr namugari Tafadhali Wordsmiths Wengine akina jiwe angavu na Division One Mimi GENTAMYCINE nataka Kukijua hiki Kiingereza Kibovu cha huyu Member hapa Jamvini JamiiForums je, naweza kupata tu Mawasiliano yake...
  17. P

    Nawezaje kumuenzi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?

    Kama Taifa, leo ni siku maalum ya kumkumbuka Mwal JK Nyerere, Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania aliyefariki dunia mnamo tarehe 14 Oktoba 1999. kuna vitu vingi sana vinatufanya tuendelee kumuenzi kutokana na mchango wake katika kulijenga taifa bora. Haya ni mambo aliyosimamia na ambayo...
  18. Rais Samia ashiriki Misa Maalum ya Kumuombea Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, Oktoba 14, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Maalum ya Kumuombea Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo tarehe 14 Oktoba, 2023 Babati, Mkoani Manyara. https://www.youtube.com/live/KmuRAUC9pSQ?si=GqCzOhpasVu7Yf4w HOMILIA YA ANTHONY LAGWEN, ASKOFU...
  19. Mkurugenzi amsimamisha kazi Mwalimu aliyewatuma wanafunzi kupakia kuni zake wakapata ajali

    Mkurugenzi amsimamisha kazi Mwalimu aliyewatuma wanafunzi kupakia kuni zake wakapata ajali ya gari Njombe Mwalimu Furaha Msule anayefundisha shule ya Sekondari Kidegembye iliyopo Lupembe halmashauri ya wilaya ya Njombe amesimamishwa kazi kwa kosa la kuwachukua wanafunzi na kuwapeleka kupakia...
  20. Mwalimu bora na wanafunzi wake

    Inamhitaji mtu roho ya; urafiki, ulezi, ushauri, uzazi, ukaribu na upendo ili kumtengeneza MWANAFUNZI bora. Sifa hizi ni za ndani, ukitoa zile za nje ambazo walimu hufunzwa vyuoni na kufanya walimu wote waishi katika mstari mmoja. Sifa za nje ni kama haiba na maadili, uwezo wa kutawala darasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…