mwalimu

  1. B

    Hili suala la posho ya mbunge ya siku moja kuzidi mshahara wa mwezi wa Mwalimu, HALIKUBALIKI!

    Salaam wapenzi wana JF. Leo nimeamua kuwasilisha hii kero ya ukosefu wa usawa linapokuja suala la kufaidi keki ya Taifa. Yaani haiingii akilini kabisa kwa mbunge kulipwa pesa ya posho ya siku moja ambayo ni kubwa zaidi kuliko mshahara wa Mwalimu wa mwezi mzima. Siyo sawa kabisa. Ahsanteni.
  2. passion_amo1

    Binadamu tunakutana: Leo nimekutana na mwalimu wangu wa bible O - level, nina furaha sana

    Habari za uzima wakuu? leo baada ya kuwepo mapumziko na mama watoto na mwanangu nyumbani ,jioni nikapokea simu ya sister wangu akiniambia nimsindikize airport anasafiri. Nikamuambia sawa basi nikatoka na wife na mwanangu mpaka kwa sister, nikamkuta ameshajiandaa akamwita wifi yake chumbani...
  3. L

    Mkurugenzi Mkuu NHIF ni kati ya wanaomponza Ummy Mwalimu

    Huyu jamaa ni mkiburi kishenzi - yaani anaonesha ukatili wa wazi wazi kwa sababu kazi ake imekuwa ni kuiteka Bodi yake na kujikomba kwa Mawaziri mpaka Makatibu wakuu. Huyu analazimisha ili watoto wa shule fulani waweze kupata bima ya matibabu eti mpaka idadi yao ifike 50 na kuendelea. Huyu...
  4. Expensive life

    Kaka yangu ni mwalimu, maisha anayoishi ni mateso

    Brother ni mwalimu huko mkoani Arusha, brother alikopa pesa sijui ni tsh. Ngapi? Ila alichofanyia ni kichekesho, alinunua tv kubwa, generator, king’amu, akarepea na nyumba anayoishi pale shuleni. kwa sasa anamalimbikizo ya madeni siyo kitoto, mke wake aliniambia kwa sasa kila mwisho wa mwezi...
  5. C

    Kutafuta Mwalimu wa day care Dar es Salaam

    Tunatafuta mwalimu wa day care in Dar es Salaam. Vigezo awe mwanamke, tuna kituo cha day care Salasala, anayeona mema atupigie. 0717457679 CHANGAMOTO NI MATUMAINI / www.changamoto.org / info@changamoto.org
  6. A

    DOKEZO MSD ilikabidhiwa kiwanda cha madawa Keko lakini kinaelekea kufa…

    Ni ajabu ila ni kweli. Bohari ya Dawa (MSD) ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya ambayo Waziri wake ni Ummy Mwalimu ilikabidhiwa uendeshaji wa Kiwanda cha Dawa cha Keko na Msajili wa Hazina mwaka 2020, ambacho kinamilikiwa kwa Asilimia 70 na Serikali huku mbia binafsi akimiliki Asilimia 30...
  7. R

    Ummy Mwalimu relax, waamnie Wakurugenzi barua za ufafanuzi zinatosha. Fanya kazi matokeo yatakutenga na uongo

    Mhe. Ummy naona kama umepanic sana, au wasaidizi wako wamepanic sana. Waambie barua zinatosha . Issue ya ubovu wa miundombinu ya vituo vya Afya kwa ulimwengu na hali ya uchumi wa Tanzania haina pingamizi . Cha msingi kazi imefanyika kwa kiwango chake. Kwa mantiki hiyo nikuombe msiendele...
  8. W

    Mwalimu wa hisabati anayefuata kufundisha watoto nyumbani kwao

    Mwalimu mahiri katika somo la hisabati shule za msingi, anafundisha katika shule ya msingi Misitu Kivule ilala dar es salaam ila katika Kipindi hiki cha likizo atakuwa anamfuata mtoto alipo na kumfundisha. Mzazi usimsumbue mtoto kwenda mbali na nyumbani. Huduma hii ni nzuri na ya uhakika...
  9. BARD AI

    Katibu wa CWT adai ana Mkataba wa Ajira ya Kudumu katika Chama cha Walimu Tanzania

    Kufuatia taarifa ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyotolewa na Mkurugenzi Elihuruma Mabelya ikielezea kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), kumsimamisha kazi Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Japhet Maganga, ambaye alikuwa ni mwalimu wa Shule ya...
  10. Kingsmann

    Mwalimu Maganga: Nina ajira ya kudumu CWT

    Mara baada ya taarifa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyotolewa na Mkurugenzi Elihuruma Mabelya ikielezea kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), kumsimamisha kazi Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu nchini (CWT), Mwalimu Josephat Maganga, ambaye alikuwa ni mwalimu wa shule ya...
  11. Chachu Ombara

    Mwalimu Maganga Japhet asimamishwa kazi kwa tuhuma za utoro kazini na kukaidi maelekezo ya viongozi wake

    Mwalimu Japhet Maganga ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania(CWT) amesimamishwa kazi na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Ikumbukwe kuwa mwalimu huyu ana tuhuma nyingi zinazomkabili kwenye Chama cha Walimu Tanzania. Sehemu ya barua hiyo imesema ''Mkurugenzi wa Halmashauri ya...
  12. JamiiForums

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe. Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na...
  13. Mjukuu wa kigogo

    Mwalimu wa shule moja ya sekondari Wilayani Bunda aliyeundiwa zengwe kisa kugombea penzi na mmoja wa maboss wake kikazi shule aliyohama

    Sometimes walimu wanapitia magumu sana kutokana na beef za kijinga na baadhi ya viongozi wao kwenye vituo vyao vya kazi. Sababu nyingi huwa za kijinga kabisa! Angalieni Mfano wa hiki kisa cha mwalimu huyu. Ndoto za mwalimu mahiri kabisa zilitaka kuzimwa na mmoja wa viongozi wake wa juu wa...
  14. Bull Bucka

    Mkuranga, Pwani: Mwalimu afungwa kifungo cha maisha kwa kulawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, imemhukumu kifungo cha maisha jela, aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi St Mathew iliyopo Kongowe, Livingston Kyarwenda (40), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa. Kyarwenda, mkazi wa Mbagala Chamanzi anadaiwa...
  15. Poppy Hatonn

    DC Butiama amfukuza mtoto wa Mwalimu Nyerere Butiama kijijini

    Amwambia aondoke kijijini asirudi kamwe. Imetokea Jumatatu asubuhi[juzi],huyu DC[sijawahi kumuona,wala sifahamu jina lake] amemtuma mtu kuniambia ''DC amesema kuna tatizo fulani limetokea na anataka wewe uondoke hapa'' Mimi nikasema hakuna tatizo lililotokea. Halafu yule jamaa akasema,''Okay...
  16. JanguKamaJangu

    Ummy Mwalimu: MOl imepunguza rufaa za Wagonjwa kwenda nje ya nchi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa Tanzania inakwenda kuwa kitovu cha Tiba Utalii kwa kutoa huduma za Afya kwa wagonjwa maalumu wa ndani na nje ya nje. Waziri Ummy amesema hayo leo Novemba 28, 2023 baada ya kufungua mradi wa kliniki mpya ya wagonjwa maalum na wa kimataifa iliyopo...
  17. Mohamed Said

    Mtaa wa Mwalimu Kihere Tanga

    MTAA WA MWALIMU KIHERE TANGA Mwenye historia ya Mwalimu Kihere atuwekee hapa. ''Al Jamiatul Islamiyya Fi Tanganyika haikuwa na jingine isipokuwa kumuomba Idd Faiz Mafungo asafiri kwenda Tanga na kupata fedha zaidi kutoka huko. Mwalimu Kihere alikuwa tayari amekusanya fedha hizo na alikuwa...
  18. R

    Tusaidie Waziri Ummy Mwalimu barabara ya Tanga to Pangani

    Barabara haipitiki hata kidogo. wachina waliijaza udongo na mvua hizi ni shida tupu. Angalau wasafishe au TANROAD wasafishe kipanda cha kufika Mjini- Machui! Ni hatari tupu!
  19. JORDAN GADI TWARINDWA

    Ujumbe Maalumu Wa Mwalimu

  20. BigTall

    KERO Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kitulipe refund zetu

    Habari za wakati huu, Asilimia kubwa ya Wanafunzi tunaohitimu masomo ya Shahada ya Kwanza katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) ambacho kipo Kigamboni hatujalipwa fedha zetu za refund. Uongozi wa chuo ulituahidi kuwa utakuwa umekamilisha malipo yetu kabla ya Siku ya Graduation...
Back
Top Bottom