Mimi ni mwalimu wa chemistry na biology bachelor(2022)
Ninatafuta shule ya serikali yenye uhitaji wa mwalimu wa kemia na baiolojia. Iniajiri kama mwalm wa kujitolea.
Napatikana mkoani Mbeya.
Wakuu hii hutokea sana tena Mara nyingi huko tunapokuwa tunatafuta elimu
Unaweza kuona mwalimu wa kike/kiume kampenda mwanafunzi wake au mwanafunzi wa kiume kampenda mwalimu wake wa kike/kiume
Sasa hapa shida huwa ni mbinu za kuanzia kumtongoza na najua wengine wapo humu jamvini ,naomba...
Nchi wamejaa wanachi na viongozi lia lia wanasahau hakuna Maendeleo yanayo weza kuja Jasho , ukiwabana kidogo ili mapato mengi yaingie serikalini huwezi kueleweka , Hayati Benjamin mkapa aliwahi kusema..
"Napenda kuwakumbusha kuwa njia ya maendeleo imejaa jasho na vumbi. Tuzingatie utamaduni...
Ubhukile msani wa JF.
Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini.
Ilikuwa tarehe za mwishoni mwa mwaka nikitokea Dar to Iringa nikapata usafiri wa IT iliyokuwa inaenda Zambia, tulifika...
JF salaam,
Ni miaka takribani 17 tangu kituko hiki nikifanye nikiwa O Level kweli bangi inawenyewe. Nikiwa na marafiki zangu watano mi nikiwa 6 kati yao wa3 walikuwa wanakula bangi na darasani wanafanya vyema sana yaani tano bora muhimu wawemo.
Hili lilitufanya tuwaze sana na jamaangu wa...
Kama kuna kitu kizuri mzee wetu Ruksa alikifanya ilikuwa kumgomea mwalimu Nyerere kuondoa jina lake kwenye mchakato wa Urais 1985.
Ilikuwa hivi:
Mwalimu alikuwa na marafiki watatu kule zanzibar, Thabit Kombo, Salim A. Salim na Aboud Jumbe ambaye alikuja kulikoroga wakawa maadui kisa kutaka...
Iilikuwa shule fulani huko maeneo ya kibaha kwenye miaka ya 2000s.
Tukiwa tumetulia ghafla kengele ya dharura ikagongwa na sote tukakimbilia parade kujua kunani. Kumbe ilikuwa kengele ya jambo jema; jamaa wa bank (ya posta kama sikosei) walifika kutoa zawadi kwa mwanafunzi fulani pale baada ya...
Mwanaume mmoja wa nchi ya DRC, Hassan Remy amemuoa aliyekuwa mwalimu wake wa sekondari na kusema alishindwa kumsikiliza alipokuwa akifundisha darasani.
Remy amesema alimchumbia Maombi Jeannette aliyemzidi miaka 12 baada ya kumaliza shule na baadaye kumuoa, licha ya uhusiano wao kupigwa vita na...
Mwalimu wetu/Rafiki yetu Mr. Mtegetwa Mng'ala amefariki Siku ya Leo katika Hospital ya Mloganzila, alipokuwa akipatiwa Matibabu.
Kwa Sasa Msiba upo Nyumbani kwake Ukonga- Bomba Mbili Ila utahamishiwa Nyumbani Kwao Ruvu Na mazishi yanatarajiwa kufanyika Siku Ya Ijumaa March 1, 2024 huko RUVU...
Msikilizeni Mwalimu enzi za uhai wake kwenye Issue ya Wanyamulenge ambayo mpaka leo Viongozi wa Kiafrika wamekosa solution zaidi ya kuuwa Watutsi huko Kongo
https://youtu.be/lN4xauSXN7o?si=LpHu_r6GTALFayCw
Anatatafutwa mwalimu kwa ajili ya kufundisha katika 'Tuition Centre'.
Sifa
1. Elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea.
2. Kidato cha sita awe amesoma PCM na atafundisha masomo ya Physics, Mathematics na Chemistry.
3. Mwalimu awe mkazi wa Dar es Salaam, kwa sababu Centre ipo maeneo ya...
Maake naona kama kuna mfanano kati ya picha ya ujana ya Mwalimu J.K Nyerere na Mwanzilishi wa mtandao wa JamiiForums, Ndugu Maxence Melo
Ni hayo tu. Karibuni tupooze makoo yetu hapa TipTop Bar
DIWANI wa Kata ya Langai, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, Jackson Leskar Sipitieck (Mugabe), amejitolea kumlipa Sh. 100,000 mwalimu wa Shule ya Msingi Langai ambaye anafundisha kwa kujitolea.
Pia diwani huyo maarufu kama Mugabe, ametoa trekta lake na kuwalimia ekari 10 kwenye shamba la...
Mwaka 1995 Jakaya Kikwete akijifanya ni masikini na Edward Lowassa akinukia noti, walisindikizana kuchukua fomu za kugombea urais, nyuma yao akiwepo king maker Rostam Aziz na Samuel Sitta.
Lowassa aliamua kukodi ndege binafsi chini ya captain Minje baba yake Lilian, walizunguka Tanzania nzima...
Tundu Lissu ameyasema hayo alipotembelea familia ya Lowassa kuhani msiba kuwa amefika kumpa pole mwalimu wake aliyemfundisha darasani miaka arobaini na moja iliyopita.
Tundu Lissu amesisitiza ukimtoa Mwalimu Nyerere kwa ushawishi anayefuata ni Edward Lowassa kwa ushawishi, hivyo Taifa...
Watu wanne akiwemo mwalimu wa shule ya msingi Mwaselela kata ya Iwinda mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya wanashiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za makosa mbalimbali likiwemo tukio la wizi wa kutumia silaha.
Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga, amesema...
Heri ya mwaka mpya wadau
Mimi ni Mwalimu wa Kiswahili kwa Wageni na nimethibitishwa na Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) mwaka 2019. Nina uzoefu wa miaka miaka 7 na nimefundisha wageni katika taasisi mbalimbali zikiwemo za kitaifa na kimataifa. Pia nimeshiriki kuweka kozi ya kiswahili kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.