mwalimu

  1. God Fearing Person

    Mkufunzi anayeitwa Majura anaenda kukiharibu chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy

    Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili. Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe , anatumia hasira na kiburi katika kuwahudumia wanafunzi na kuwatisha. Chuo cha Mwalimu Nyerere memorial...
  2. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro: Tanzania Inaandaa Mashindano Mapya ya Mwalimu Nyerere Liberation Cup

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesema Tanzania imeandaa mashindano mapya yaliyopewa jina la ‘Mwalimu Nyerere Liberation Cup’ ambayo yatakuwa ni mashindano ya vijana wenye umri wa miaka 20 yatakayojumuisha Bara lote la Afrika. Dkt. Ndumbaro amesema hayo katika...
  3. Last sentinel

    Mwalimu wa Computer anapatikana

    Hellow JF, kwa anayetafuta computer courses amtafute muhusika kwa namba 0759-124378, anapatikana Mbezi na anafundisha microsoft office, excel, power point na computer programming.
  4. Mr Mlokozi

    Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri impasavyo kufanya na ikitokea mmoja au wawili kati yao hajatimiza majukumu yake daima matokeo yataendelea...
  5. Kv-london

    Mwalimu wa Math/ Physics and Computer Studies anahitajika

    Habar mwalimu wa SoMo la mathematics/physics na computer studies anahitajika Shule inahtaji huyo mwalimu wa level ya degree au diploma at least awe anaweza kifundisha SoMo mojawapo hapo juu +computer( compulsory) Akiwa wa kike itakuwa vizuri zaidi Shule ipo Moshi Dc Kilimanjaro kama ungependa...
  6. Mystery

    Hivi ni Rais gani mstaafu, amekuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere?

    Katika kumbukumbu zangu, hakuna Rais mstaafu wa nchi hii ameweza kuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Mwalimu Nyerere alikuwa na ujasiri wa aina yake, hadi katika moja ya hotuba zake alidiriki kuwaambia CCM kuwa chama hicho siyo mama yake...
  7. S

    Mwalimu Nyerere bado yupo sahihi kwenye muungano, Umoja haujapoteza maana

    Nikiwa mtoto mdogo pale Ikulu niliwahi kumona Mwalimu akitoa hotuba ndefu pembeni ya hayati Rashid Kawawa miaka ile ya 80 mwanzoni. Mwalimu alijaliwa karama binafsi za ushawishi {charismatic leader}, alikuwa akiufahamu uwezo huo aliojaaliwa na Mungu lakini haikumfanya akavimba kichwa na kujiona...
  8. Mc Justine Mwakibiki

    SoC04 Ni nani wa kurudisha tabasamu la Mwalimu?

    Kila Kona ya nchi yetu kumejaa madimbwi, Machozi kila Kona kila chozi linalotoka linaashiria machungu na maumivu, ni nani aliyetayari kukausha madimbwi haya?, ni nani wa kumfuta machozi huyu anaelia Januari mpaka Disemba?, amesahaulika na kila mti nia wa Nchi na hata Mtia nia Jimboni kwake, kila...
  9. enzo1988

    Uingereza: Mwalimu afungwa kwa kukutwa na hatia ya kufanya mapenzi na Wanafunzi wake

    Huyu mwalimu amepatikana na hatia huko Uingereza kwa kutembea na wanafunzi wake! A "predator" teacher has been found guilty of having sex with two schoolboys. Rebecca Joynes, 30, was found guilty of four counts of sexual activity with a child and two counts of sexual activity with a child by a...
  10. M

    Mwalimu mwenzangu nakushauri kopa

    Nimekuwa mwalimu sasa ni miaka 9, nimejifunza mambo mengi Sana kuhusu Ajira za serikali ( TAMISEMI), kikubwa nilichojfunza Ajira ni gari inayokupeleka kwenye umaskini hasa ukiwa na akili ndogo, mikosi na mwoga, na Ajira ni chanzo cha maisha mazuri ukiwa na akili kubwa na mwenye bahati...
  11. K

    Mwalimu Mushi wa Ilboru apewe maua yake “Nishani ya kitaifa”

    Kwa mawazo yangu kati ya walimu wakuu ambao wanahitaji nishani za kitaifa ni Mwalimu mkuu wa zamani wa Ilboru. Huyu ndiyo alifanya Ilboru kuwa shule ambayo kwa miaka yote ni ya kipekee kwa kutoa madaktari wengi, wanasheria wengi na vipaji vya juu sana hapa nchini kwetu. Kila nchi nilienda watoto...
  12. Shujaa Mwendazake

    Ni wakati sasa wa kubadili Falsafa za Mwalimu Nyerere na kuchunguza na kuhoji mienendo yake

    Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni. Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake. Kuna...
  13. JanguKamaJangu

    Katavi: Wanafunzi wazibua choo kwa mikono, Wazazi wamjia juu Mwalimu

    Wazazi wenye Wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Sekondari Kaliwaoa iliyoko Kata ya Ilembo, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamechukizwa na kitendo cha mwalimu ajulikanaye kwa jina la Ndikulio Matenga shuleni hapo kutoa adhabu kwa Wanafunzi wakiume wa Kidato cha Kwanza kuzibua choo kwa kutumia...
  14. peno hasegawa

    Huyu Mwalimu anaishi kwa mbinu Gani nchi Tanzania?

    Kwa hali hii, huyu mwalimu anaweza kupata akili ya kufundisha watoto darasani waweze kufaulu? Huwa anaishije?
  15. Ndagullachrles

    Mwalimu ajinyonga huko Moshi kisa riba kubwa ya mkopo

    Mwalimu wa shule ya sekondari ya Ebenezer iliyopo Sango mkoani Kilimanjaro, Anthony Sulle amefariki dunia kwa kujinyonga. Habari kutoka Moshi zinadai kuwa kabla ya kujinyonga marehemu aliandika ujumbe unaoelezea kisa cha yeye kuchukua maamuzi hayo magumu. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo...
  16. LIKUD

    Mpaka leo hii sijui kwanini mchezaji wa mpira nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 halafu mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh. Laki 3

    Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo. Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi) Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi . So katika taifa letu hili la...
  17. Logikos

    The Great Monkey Trial - Kesi ya Mwalimu Kufundisha Evolution

    Hii ni Scopes Trail (July 10–21, 1925, Dayton, Tennessee, U.S.); Ambapo Mwalimu wa Shule John T. Scopes alikuwa charged kwa ku-violate Sheria ya State ya kufundisha Evolution.... Case yenyewe inaweza kupatikana hapa:- https://en.wikipedia.org/wiki/Scopes_trial; Lakini ingawa huyu mwalimu...
  18. Replica

    Wanafunzi watatu wafariki kwa kukosa hewa wakati wanatoa mahindi kwenye kihenge cha shule, mwalimu aliwaacha na kwenda kunywa chai

    Wanafunzi sita wa shule ya mtakatifu John Paul II ya mkoani Shinyanga walienda kutoa mahindi kwenye kihenge cha shule lakini yalishindwa kutoka wakiwa na mwalimu wa zamu katika usimamizi wa chakula, mwalimu alielekeza wanafunzi watatu waingie ndani kutafuta namna ya kuyafungulia kisha akaenda...
  19. Mohamed Said

    Maktaba Imetembelewa na Mwalimu wa Historia ya Tanzania

    MAKTABA IMETEMBELEWA NA MWALIMU WA HISTORIA YA TANZANIA Maktaba imepata bahati kubwa sana na heshima ya pekee kwa kutembelewa na mwalimu anaesomesha somo la historia kiwango cha shule za sekondari. Kwa mara ya kwanza nimebahatika kusikia na nimejifunza mengi kwanza changamoto zilizomo katika...
  20. dr namugari

    Kwanini Mzee Jaji Warioba alirundikiwa vyeo vingi sana enzi ya Mwalimu Nyerere

    Mzee alipata kuwa Jaji Mkuu Makamu wa Rais Waziri Mkuu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Na badae Tena akaja kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa msomi pekee na hadi Mwalimu kumpachika vyeo vyote hivyo kasoro uspika? Nataka kuelewa kwanini...
Back
Top Bottom