Habari, wakubwa mimi kijana wa kiume 31 miaka.
Naomba kwa mtu anayeweza kuwa mwalimu wangu wa ngumi, au kuniunganisha na mwalimu wa martial art, awe anapatikana manispaa ya kigoma ujiji.
Nilikuwa na ndoto hii kwa muda mrefu ila sikuweza kuitimiza ijapokuwa umri umeenda niko tayari...
Huu ni ukweli ambao hausemwi, mwalimu Nyerere alizidiwa akili na Karume wakati wa kuwekwa makubaliano juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Karume alimzidi parefu sana mwalimu, na nadhani hakutafakari kwa kina kabla ya kuweka makubaliano, unaua nchi yako ila ya mwenzako inabaki palepale...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema dozi Moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga msichana kupata ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi na kuwataka wazazi/walezi kuwapeleka watoto kupata chanjo hiyo.
Waziri Ummy Mwalimu amesema hayo Aprili 22, 2024 kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya Dozi moja...
DKT. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA
📌 Asema limepunguza athari za mafuriko
📌 Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji
📌 Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika
📌 Azungumzia umuhimu wa Nishati Safi ya Kupikia, Bei ya Gesi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati...
Mzuka wanajamvi!
Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba na radi.
Tulikuwa tunalalamika bure mafuriko Arusha na rufiji.
====
---
Torrential rain and...
Sio tu Dubai na nchi nyingine huko falme za kiarabu hata mmomonyoko wa udongo mbeya pamoja na mafuriko ya Arusha na hata bwawa la monduli kupasuka chanzo ni bwawa la mwalimu Nyerere! Kwa Hali hii lazima serikali iwajibike ipasavyo ! Mawaziri wa nishati lazima wajiuzuru hata waziri mkuu ajiuzuru...
Hongera kwako Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusimama kidete na hatimaye mradi huu mkubwa wa kimkakati na uliopigwa vita na Wakoloni, Wakoloni mamboleo,vibaraka wa wakoloni na wasiojitambua ...hatimaye umekamilika na umeanza kutoa huduma.
Mradi huu ni mkombozi wa nchi na kamwe kama mzalendo...
Mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Kebogwe iliyopo Wilaya ya Tarime, ameunguzwa na mke wake na maji ya moto sehemu mbalimbali za mwili hasa sehemu za siri kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa kimapenzi
Shuhuda wa tukio wanadai siku ya Jumatano jioni mwalimu alimkuta mke wake duka fulani na...
Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbugani Kata ya Kiwanja, Herieth Lupembe na binti aliyekuwa akiishi naye ambaye ni mwananfunzi wa Kidato cha kwanza, Tatizo Haonga (16) wamekutwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na mwilini.
Mauaji hayo yamefanyika ndani ya nyumba aliyokuwa...
"Kama ningeweza kukivuta kisiwa hicho katikati ya Bahari ya Hindi, ningefanya hivyo."
Alisema kwamba anafikiri mojawapo ya matatizo makubwa ya Tanganyika katika miaka ya baadaye itakuwa Zanzibar. Hapana, sifanyi mzaha," alisema
Aliyasema hayo katika tafrija ya chakula cha jioni jijini Dar es...
Maziko ya Mwanafunzi Jonathan Makanyaga (6) wa darasa la kwanza Shule ya msingi Mrupanga, Rau Kusini mkoani Kilimanjaro yameshindikana kufanyika leo baada ya Polisi kuiambia Familia kuwa uchunguzi wa mwili bado haujakamilika.
Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro amesema baada ya Familia kuwa na...
Nashauri taasisi hii iwe na kitabu, au tuite journal ambayo itatoka kila mwaka ikiwa na makala(articles) za wanasiasa mbalimbali, wataalamu, wa ndani na nje ya nchi wakijadili mambo ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Imagine umwambie Ziito, Jk, Samia, Museveni, Kagame(japo mtu wa hovyo, ila hata...
Tangu CHADEMA ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja.
Je, wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa mikubwa ndani ya muda mfupi?
Juzi niliona katika taarifa ya habari ya ITV wananchi wa vijiji mbalimbali bondeni mwa Bwawa la Mwalimu Nyerere wakihaha kuokoa maisha yao baada ya kuzingirwa na maji ya mto Rufiji. Hii inatokana na kujaa kwa bwawa hivyo kulazimisha kufungulia maji kutoka bwawani.
Pia tumekwisha fahamishwa kuwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Masaunga wilayani Bunda, Vicent Nkunguu (39) kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la sita shuleni hapo kisha kumnywesha sumu.
Akizungumza na Mwananchi kwa simu leo Machi 13, 2024, Kamanda wa Polisi...
Bwawa la mwalimu Nyerere limejaa kabisa mpaka kufikia ujazo wa MITA 185 kati ya mita 186 kutoka usawa wa Bahari.
Hivyo Serikali kuanzia Muda wowote itaanza kumwaga maji au kufungulia maji Kwa lugha ya Magufuli, hili zoezi linafanyika kwakuwa mitambo ya uzalishaji umeme haijakamilika yote kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.