Kwa nini anaitwa baba wa Taifa....
Ni kwa sababu aliweka msingi na mikakati ya Taifa la Tanzania.
Kama umepata fursa ya kutembea nchi hii ndio utaelewa Baba wa Taifa alikuwa ni kichwa haswa.
Zipo Taasisi za kimkakati alizoasisi na hadi sasa zimebaki kuwa ni muhimili wa Taifa kusonga mbele...
Mwalimu Moroko anza na Saaduni kwenye first eleven yako utanishukuru jamaa ni striker mwenye uwezo anajua mpira hakimbii tu kama ngiri uwanjani mbio zake zote za malengo weka nje mzize leo utanishukuru popote nilipo jamaa ana miguu ya dhahabu sema tu tatizo hayupo timu za matapeli kariakoo ndio...
Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita
Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais...
Nimemsikia mwalimu Nyerere akihutubia katika moja ya hotuba zake anasema kwamba mara nyingi wanyonyaji au tabaka nufaika linachukia sana mabadiliko.
Ila wanyonge na walalahoi hawaogopi hiyo maana kwa kuunga mkono mabadiliko wanajaribu bahati yao.
Ninaandika haya kwa hisia za kina kuhusu Muungano wa Tanzania, hasa katika muktadha wa kumuenzi Mwalimu Julius Nyerere. Kutokana na muktadha wa kisiasa na kijamii wa sasa, ninahisi kuwa siwezi kumuenzi Mwalimu Nyerere bila kuangazia ukweli kuhusu Muungano.
Muungano huu, ambao ulianzishwa kwa...
Tajiri mwenye ahadi nyingi Elon Musk wakati wa uzinduzi wa Tesla Robotaxi alionyesha pia humanoids robots zake zinazoitwa Optimus.
Kutoka na presentation yake aliahidi kwamba Optimus inaweza kufanya chochote unachotaka. Akazidisha akasema “Optimus ni biggest product ever katika human kind” na...
Nashauri au Naomba Wananchi (hasa Sisi wenye Akili Kubwa) humu Mitandaoni na katika Jamii zetu tuwe tunashirikishwa katika ama Kubuni au Kuratibu namna nzuri ya Kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwani naona kwa yanayofanyika sasa siyo Kumuenzi bali ni Kumsanifu...
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
Unamkumbuka yule mwalimu uliyekuwa unamcheka kipindi uko shule? Yule mwalimu ambaye kila siku anavaa shati lilelile na viatu vyake vimeisha upande??
Yule mwalimu ndio wewe siku hizi 😂
Eti nitume laki na 95 elf, dereva aanze safari kuuleta nilipo hahah..nikichelewa mzigo utawekwa store kwa kila siku 20k inaongezeka.. Namwambia namtumia ndugu yangu aje abebe eti hapana tuma ela kwa namba tulikupa hutaki tunaweka mzigo store. Hahaa kumeanza kuchangamka. Kupitia uzi wangu watu...
Huu uwanja ulijenga enzi za mwalimu Nyerere,Leo kichaa mmoja anaropoka TU!
Kama ukarabati ufafanywa na Samia, mbunge wa eneo Hilo amefanya kazi Gani?
Huu usemi utafanya wabunge wasipewe kura kwenye maeneo yao,inaonyesha hawakufanya chochote.
Pia haijulikani Kodi za wananchi zimefanya kazi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula.
Na ambaye amekuwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Igurwa, Adrian Tinchwa (36) kwa tuhuma za kumuua, Phares Buberwa mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Igurwa.
Taarifa iliyotolewa jana Jumanne Septemba 24, 2024 na Kamanda wa Polisi mkoani humo, Blasius Chatanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.