Jana nimemsikia mkuu wangu kaka Yangu msemaji wangu wakimhoji kuhusu UWANJA
Simple akasema kaulizen tff waliopokea wale waliokuja kukagua wakatangaza kuufungia
Nirudi kwenye madaa HAPO juu
Nimemsikia mkuu WA MKOA MWANZA akilalamika UWANJA umefungiwa
Akaita viongozi WA UWANJA JE Kuna mtu...
Niko ugenini, usiku nikakaribishwa chakula cha jioni, wenyeji wangu ni watu wa imani kali, tukiwa tunaendelea na kula huku tukitazama tv ya Mwamposa akawa anasisitiza na kuhimiza watu watoe sadaka.
Akaorodhesha namba nyingi sana za voda, tigo, airtel, halotel, na mabenki mbalimbali.
Accounts...
Nilimsikia mtumishi Mwamposa akisema kuwa kutakuwa na siku ya kuombea viongozi wa serikali.
Nikamshangaa ni kwa nini waombewe viongozi wakati wale wote waliotekwa na hiyo mamlaka hawajulikani walipo na hali zao miaka na miaka.
Huu ni unafiki wa kiwango cha lami na kujipendekeza kwa mamlaka bila...
Sina tatizo na siasa za nchi hii. Mimi kwangu ni sawa tu CCM wakiendelea kutawala hii nchi au CHADEMA wakapokea kijiti Sina Cha kupoteza. Ninachotaka ni maendeleo. Kwa mfano Mbeya watakuwa wendawazimu wakampa jimbo mtu mwingine yeyote wakamtema Tulia Akson Mwansasu bila kujali maendeleo makubwa...
Kuna mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe.
Nianze kwa ku declare interest.
Am neither a Christian nor a Muslim.
Mimi sio Mkristu wala si muislamu.
Ingawa nimezaliwa sio tu kwenye familia ya kiislamu bali natoka kwenye kabila ambalo asilimia 99.9 ni waislamu.
So...
Mwaka 2025 usikae kihasara
Nikikuita kwenye darasa la Feminine unaona nakuibia
Mmemwona Mke wa Bilionea Mwamposa? Alivyo mrembo? Alivyo FEMININE?
Hivyo ndivyo wanaume wakiwa na hela wanachagua wanawake wanaowataka wao, ambao walishindwa kuwamiliki wakiwa hawana hela
We zubaa hapo, shauriako...
Katika kilichoonekana kama kusogeza ‘huduma’ karibu kwa waumini wa kanisa lake, Askofu na Mtume Boniface Mwamposa yupo kwenye mchakato wa kuinunua EFM Company Limited.
EFM ni kampuni iliyosajiliwa kama chombo cha habari, ikiwa na umiliki wa Redio na Televisheni.
Mwamposa na Mkurugenzi...
Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Nilikutana na msafara wa Nabii Mwamposa ukitoka kanisani kwake pale kawe..
Msafara ulikuwa na Escort ya police tena wenye bunduki .
Sasa nikajuliza police na bunduki za Nini, juu ya Nabiii mwamposa, wakati yeye ni mtumishi wa mungu, kama swala la ulinzi, Kwani yeye si analindwa na Damu ya...
Hello!
Katika kazi ya utumishi wa Mungu kuna watumishi wa aina 3, watumishi wa kweli (Watumishi wa Mungu aliye hai), watumishi fake na watumishi wa uongo.
Kila kundi lina makundi mengine madogo madogo lakini nitaeleza kwa ufupi tu.
1. Watumishi wa kweli
Hawa ni watu wa Mungu ndani ya kanisa...
https://www.instagram.com/reel/DDik26boAQ2/?igsh=aTVva3FldHozbmRw
Najua wengine mnashangaa Rayvanny na Mwamposa wapi na wapi.
Rayvanny ametoa album na kuna wimbo yupo na Mwamposa.
Usiku alikuwa kwenye ibada ya Mwamposa na akapanda jukwaani akapewa na maiki aimbe.
Watu wanasema anapromoti...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule wameongoza Maelfu ya Watu waliojitokeza katika Mkesha wa maombi ya 'Roho na Hekima' kwa mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa (Buldozer) unaofanyika Katika Viwanja vya Tanganyika Packers kawe jijini Dar es...
Wakuu,
Kawe leo kumezidi kupamba moto
Kama hauna TV usijali, cha msingi nenda kapate maombi ya Mwamposa ili upate vifaa vyako hivyo.
Samsung, LG na Hisense soon zinaenda kuwa out of business maana sasa hivi ukigusa tu kidogo TV unapata
Naomba nisiongee sana nsije kuharibu...
Amani kwenu watumishi
Huyu mwamposa kashindikana
Kwa sasa dunian wa kushindana naye ni pope Francis mwenyewe hakuna tena mwingine
Hata shetani hawezi kujaza watu kama anaojaza mwamposa
Hata Trump hamuwezi huyu jamaa
Acha injili ihubiliwe
Acheni kuhukumu hakimu ni MWENYEZI MUNGU
Ipo...
Amani ya Bwana iwe nanyi,
Amini Mungu yupo na kuna kitu ananena leo kupitia mikesha yao miwili, Mwamposa kawe, Clear Malissa Ubungo Riverside.
Nawasilisha.
Kuna mikeka nimesuka mitatu ikitiki tu hiyo baasi. Wale mashabiki wa mwamposa hivi huyu bwana anaweza kuiombea kwa makubaliano kuwa ikitiki nitamlipa 5%?
Tunasema ili uweze kufanyikiwa kwenye kitu chochote kile ni lazima uwe na
“Model ya kujirudia inayokupa MATOKEO wanayoyataka walengwa wako kila mara”
Yaani…
Lazima uwe na kitu, bidhaa, huduma au mfumo flani ambao kila ukiutumia unakupa matokeo yale ambayo walengwa wako wanayahitaji.
Mfano…...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.