Baadhi ya wasomi wa Biblia na viongozi wa dini wameshauri kitengenezwe chombo kitakachofuatilia mienendo ya wahubiri na wachungaji pamoja na kuwapima afya ya akili kabla ya kuruhusiwa kuhubiri.
Ushauri huo umetolewa leo Alhamisi Novemba 14, 2024 kwenye kongamano la kiukemene kujadili imani moja...
Mtumishi wa Mungu Boniface Bulldozer Mwamposa alivyowasili viwanja vya Leaders Club kuendesha ibada ya kumuaga mpendwa wetu Grace Mapunda #RIPGraceMapunda
Soma: Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia
Ndugu zangu Watanzania,
Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama mwenye moyo wa huruma, upendo, unyenyekevu na ukarimu ametoa salamu za pole kwa Mchungaji Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka uangaze.kufuatia kifo cha Msaidizi wake Mkuu...
Kwako mtumishi wa Mungu, nakuomba Tafadhali sana usipuuze andiko langu, hili ni andiko la Mungu mwenyewe.
Wewe hakika ni mtumishi wa Mungu,ni kweli kabisa Mungu alikuita ili ufanye kazi yake, wanaokudharau na kukusimanga ni wa kuonea sana huruma, kwa sababu mimi nina ushahidi wa zaidi ya 100...
Kada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nabii huyo amesema hayo leo jioni wakati akiwahubiria mamia ya...
Nimeona hii thread niianzishie huku kwa sababu, Diddy alikutwa na mafuta, tofauti na hapo hii mada ilitakiwa niiposti jukwaa la intelligence. Msikilize huyu mshua alivyozichambua shutuma za Diddy.
Jamani ndugu zanguni, tujitahidi tupate utajiri mapema, zama zijazo maisha yatakua magumu sana...
SIKU YA WAZEE DUNIANI 1 OCTOBER 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti jana aliandaa Chakula cha Mchana na wazee zaidi ya 300 ktk Ikulu ndogo ya Kisarawe kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na katika Hafla hiyo Mgeni Rasmi alikuwa Dkt. Suleiman...
Behaviour ya Kiboko ya Wachawi kuwakejeli victim wake inatoa taarifa moja tu kuhusu hali ya kiakili ya kiboko ya Wachawi. Amechanganyikiwa. Inaweza kuwa ni kazi ya Mungu mwenyewe au kazi ya miungu wa victim wake (probably walienda kulalamika kwenye madhabahu zao)
Pia inaweza kuwa kazi ya...
Amani iwe nanyi wana wa MUNGU
Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru
Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri tundulisu, mnyika na Emmanuel chimbi katibu mkuu wa chama cha ccm
Wanasiasa hao waliitwa madhabahuni...
Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.
Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni...
"Hivi sasa yameibuka mafundisho ya baadhi ya viongozi wa dini yanayowaaminisha wafuasi wao, kutegemea miujiza Zaidi, ili kupata maendeleo badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa, viongozi hao wanawaelekeza waumini wao kwenda kwenye nyumba zao za ibada, ili wakaombewe wapate mali, ikiwemo...
Iko hivi kuna watu wengi Sana,wameamua kuachana na doze za dawa wanazotumia wakiwa na imani kwamba, wamepona baada ya kuombewa na Mwamposa na baadhi ya wachungaji wa amakanisa ya kilokole
Hivi inaingia akilini mgonjwa anayetumia dawa za kufubaza virusi vya ukimwi apone kwa kuombewa tu, au...
Anaandika: Martin Maranja Masese, Mtikila
Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi...
Eneo lote la Mloganzila (Muhimbili) lilikuwa ni eneo la Tanganyika Packers na ndilo eneo lililokuwa...
Mimi ni miongoni mwa watu wanaozichukia sana hizi huduma za watu binafsi za kidini. Kama kweli wana hizo nguvu za kuleta utajiri, kuondoa magonjwa n.k basi wote wakusanywe uwanja taifa waombee watanzania wote wawe matajiri na wapone magonjwa yanayowasumbua.
Suguye anakusanya kucha na nywele za...
Tunajua umetumia Nguvu kubwa na Ukaribu wako na Waandamizi wote wa Chama na Serikali katika Kuwashawishi wafanye wawezavyo ili Mpinzani wako Kiboko ya Wachawi apigwe Pingu ya Kihuduma kwani nasikia hata sehemu ya Waumini wako walikuwa wanaanza Kukukimbia na kwenda Kwake Buza.
Habari.
Mtume mwamposa naomba amtazame kwa upya yule dada anayetafrsi lugha.
Ana kiingereza cha ovyo sana.
Ameanza nae muda mrefu sana ila haonyeshi kuboresha lugha yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.