Jana nimemsikia ruwaichi mahubili yake yote ni mwamposa eti anawaibia watu pesa wakati katoliki ndo balaa kwa michango.
Ruwaichi alisema eti waumini wanaenda kuombewa wakati yeye anachukua hela tu bila kufanya kazi. Sasa Mimi nilijiuliza mapadre wanakula Bure hata askofu mwenye anakunywa...
Heshima kwenu wanabodi..
Jana wakati nasubiri kuupokea mwaka mpya nilikuwa nimetulia tu nyumbani nikiwa nawatch kideo.
Baada ya kuunglia chanel kadhaa ndio nikakutana na mkesha wa kihistoria wa Boniphace Mwamposa, chuma kilikuwa kinaunguruma kutoa viwanja vya Tanganyika Packers Kawe. Aisee...
Hii ni kwale waaminio tu. Kwa wewe usie amini baki na maneno yako kwa sababu yanafaa zaidi kukaa kwenye kichwa chako kuliko kwenye uzi wangu.
Now lets go watu wangu. Uzi ulio pita nilitoa maelekezo namna gani unatakiwa kufanya kama kweli upo serious unataka kufanikiwa kupitia madhabahu ya...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mtume Boneface Mwamposa (Bulldozer) amefafanua kwa ufasaha maana ya "sadaka ya kujimaliza" inayotolewa na waumini wa kanisa lake baada ya kupokea shutuma mbalimbali kutoka kwa wananchi kwamba amekuwa akiwakamua waumini hela zote hadi wanakosa...
Bwana Yesu asifiwe,
Jumapili hii, Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu katika ibada ya kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili,
Kunamtu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati tu unazaliwa watu wabaya wakafanya yao...
1. Mungu wa Mwaposa nisaidie Makonda nisiwe na Kiherere.
2. Mungu wa Mwamposa nisaidie Makonda nisiwe Jeuri kwa Wakubwa zangu
3. Mungu wa Mwamposa nisaidie Makonda nikamwombe Radhi Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Warioba baada ya Kumpiga na Kumkata Mtama Kipopoma.
4. Mungu wa Mwamposa nisaidie...
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja...
Kuna malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba Jeshi la Polisi Tanzania kitengo cha Usalama Barabarani wanafunga barabara kwa sababu ya Mwamposa hivyo kusababisha msongamano mkubwa wa magari. Hizi ni barabara za umma, kama mtu ana biashara yake anawahi na muhimu anunue Chopa sio kuleta usumbufu kwa...
Ndugu wanajamii, kuna utofauti upi wa kiimani Kati ya maji ya "baraka " na maji "ya upako"?
Je, tofauti pekee ni, yale mengine kuuzwa? Au kuna tofauti zingine za ziada?
Je, mkate wa Bwana na keki ya upako Vina tofauti gani?
Nashawishika kuamini kuwa bulldozer ana"copy" vitu upande wa...
Tena akiwa na Matamasha yake Makubwa ( hasa ya Mkesha ) huwa anawaambia Watu wa NHC Wanaoendelea na Ujenzi wa Nyumba za Samia Housing Scheme kuwa anaomba abomoe Kuta na akimaliza anawaambia atajengea.
Haya Mamlaka Mwamposa anayatoa wapi? Na kwanini au kwa Faida ipi? Je, Wengine nao wakiamua...
Usiku wa kuamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake.
Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe...
Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako.
Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF
Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa...
Hasa hasa kila tarehe za mwisho wa Mwezi kuanzia 25 hadi tarehe za 7 na 9 za Mwezi mpya.
Natamani mno kuuona akiandaa Makongamo yake tarehe za kuanzia 11 hadi 22 za kila Mwezi.
Nimemtaja hapo Mtume wenu kwakuwa Mimi siyo Mtume wangu na nikiwasoma Watume wakweli katika Biblia na Historia...
Haya Waandishi wa Habari njooni upesi Kawe jirani na ulipo Msikiti maarufu wa Londa kisha tembeeni hatua chache ulizeni Nyumba ya Mmiliki ( sasa Marehemu ) wa Hoteli Kongwe na Maarufu ya Kawe iitwayo Maifea na mkifika tu hapo ulizeni Nyumba ya Mama wa Kihaya ( Mtani wangu ) aitwae Mama Queen ili...
Hivi GENTAMYCINE naandika huu Uzi napambana na Wakazi wa Mtaa kuutoa Mwili wa Mmoja wa Waumini wa Mtume Mwamposa aliyekuwa Mgonjwa, katotoka Ndugu zake huko Mkoani na kaja Kujiuguza ( kwa Kuishi ) katika Kibanda cha Mkaa Mtaa wa Ukwamani Kawe mita chache tu kutoka ulipo Msikiti maarufu wa kwa...
Hapo vip!
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, jana ameshiriki ibada kwa Mtume Mwamposa.
Nimemsikia akisema Rais amempa sadaka ampelekea Mwamposa, akamkabidhi bahasha mtumishi wa Mungu, akaongea ongea hapo vitu ambavyo havieleweki.
Mwamposa nakushauri hiyo pesa itakase nahisi itakuwa ni mgawo...
Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.
Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.
Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.
Nadhani ile...
Bwana asifiwe,
Buldozer kaamua kuwachamba waumini wake wasio na passport, anawaambia kila siku wanakaa Manzese wakienda mbali KKOO. Hivi mtu aache kuwaza mlo wa mchana aje awaze passport kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.