mwamposa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Hii Vita isiyo rasmi na ya chini chini yenye Mafumbo mengi baina ya Maaskofu wa Katoliki Tanzania na Mtume Mwamposa naiona peke yangu au?

    Sasa ni mwendo wa Mafumbo na Kukomoana tu.. Baadhi ya Maaskofu wa Katoliki.. "Wakatoliki mnaokwenda kwa Mwamposa ni Wendawazimu na tutaanza Kuwatenga Kanisani Kwetu kwani hatupendi Waumini wanaotangatanga wakati katika Ukatoliki kuna kila Kitu" Mtume Mwamposa wa Kanisa lisilo na Jina na...
  2. Jidu La Mabambasi

    Mwamposa, Lusekelo na Mitume wengine: Tenda ya kuyaondoa mapepo yanayorusha mawe Arusha!

    Mapepo kijiji fulani huko Arusha yamechachamaa. Yameanza kurusha mawe kama vijana wa kipalestina dhidi ya Waisraeli. Kwa vile mapepo hayo hayaonekani, wananchi wameamua kuvaa ndoo kichwani ili kujihami na hayo maw. Hapa ndo tuwaone kina Mwamposa, Lusekelo na Manabii wengine. Tenda hiyo...
  3. MUTUYAMUNGU

    Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

    Kanisa la Roman Catholic Iringa limefukuza na kutoa onyo kali kwa washirika wake waliohudhuria kongamano la Mwamposa na wengine walionunua maji na mafuta kwenye mkutano wake
  4. LIKUD

    Mungu wa madhabahu ya Mwamposa

    Mange Kimambi alisema ata mlipua Mwamposa Kesho tarehe 11 February Leo amepost amepatwa na msiba mzito wa mama yake wa kambo ambae alikuwa kama godmother wake Dr. Mwele Malecela. Maana yake ni kwamba Mange Kimambi hatopost kuhusu Mwamposa hiyo tarehe 11 ya Kesho Kwa Sababu atakuwa kwenye...
  5. mkumbwa junior

    Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

    Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307] Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani...
  6. The Boldly

    Ni Kweli Mwamposa anaponya Virusi Vya Ukimwi?

    Wakuu habari! Nilikuwa sehemu fulani jirani yetu kuna watu wengi wamekusanyika wanamuangalia Mchungaji Mwamposa kwenye TV. Mara nasikia kuna mdada anatoa ushuhuda kuwa ameponywa V.V.U Kabisa. Hili suala la Mwamposa kuponya V.V.U kwangu naona ni uongo wa mchana kweupe. Au ni kweli?? Kwamba...
  7. USSR

    Kwanini wanaoshuhudia miujiza kwa Mwamposa wengi ni waislam tena wanawake?

    Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha. Kweli yesu ni jibu. USSR
  8. M

    Minong'ono kuwa Mwamposa anatakiwa kuhama Tanganyika Packers December inazidi Kupamba Moto. Je, ina ukweli wowote?

    Kama ni kweli KEROZENE nitaumia na Kusikitika mno kwani kama kuna mahala ambapo huwa napata Wanawake wepesi na kula nao Uroda kiurahisi na situmii Gharama yoyote ile ni wa hapo Kwake Mtume Mwamposa Tanganyika Packers Kawe. Tafadhali Serikali kama Minong'ono hii ni ya Kweli naomba msitishe...
  9. M

    Mtume Mwamposa, tafadhali fuata Ushauri uliopewa na Madaktari huku Kupenda Kwako Sadaka kunaweza Kukulaza mazima

    Tokea Jumatano ya Wiki iliyopita kulianza Kuenea Taarifa Kanisani Kwako kuwa hali yako ya Kiafya si nzuri. Kama kawaida yangu Mightier nikaona ngoja Kwanza niendelee Kuniridhisha na hizi Taarifa. Siku ya Jumamosi nilibahatika kumpata Mmoja wa Kondoo wako tena ni Mhudumu nikamtega na akafunguka...
  10. C

    Maajabu ya Mwamposa

    Nipo kwa sebule naangalia TV, siamini ninachokiona mchumba wangu anaombewa na mwamposa apate mchumba, sielewi jamani au Mimi simfai, yaani nimechoka hadi akili, sijui nikamuulize kwanini kaenda kuombewa wakati mimi ameshanipata, sielewi FROM FACEBOOK 😁
  11. LIKUD

    Ni Uchawi tu huo! Benard Morrison kimbia haraka kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa Richard Mwacha ukaponywe hiyo ngiri ya kichawi

    " Benard Morrison yupo mbioni kufanyiwa upasuaji wa ngiri ambao utamfanya akae nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita" . Vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania. Ukitazama maradhi ya Benard Morrison kwa jicho la Mshana Jr unaweza kusema kwamba Benard Morrison...
  12. GENTAMYCINE

    Mtume Mwamposa 'Buludoza' popote pale ulipo, tafadhali nijibu haya maswali yangu muhimu sana kwako

    Je,... 1. Ni kwanini Waumini wako wakitoka Ibadani huwa wanaishiwa Nauli na wanatusumbua Watu Mabarabarani kwa Kutuomba? 2. Ni kwanini Waumini wako wengi Uwezo wao wa Kujenga Hoja ni Mdogo na wakiona unawazidi wanasema una Pepo? 3. Ni kwanini Waumini wako wengi (siyo wote) wa Kike ni wepesi...
  13. B

    Neema Bakari uliyetoa ushuhuda kwa Mwamposa leo, wewe ndio aina ya wanawake ambao Mungu alikusudia kuwaumba

    Kama umetazama kwenye Tv, umesikiliza kwenye redio au umehudhuria ibada ya leo at Arise and Shine utakuwa SHUHUDA wangu katika hili. Kuna dada anaitwa NEEMA BAKARI anatokea Tanga, alikuwa mmoja kati ya waliosimama madhabahuni kutoa SHUHUDA zao. Dada anaongea vizuri hatari. Yani anaongea mpaka...
  14. F

    Bonifance Mwamposa, (Buldoza) atunukiwa Shahada ya Uzamili ya heshima na Chuo cha Lead impact University kilichopo Colorada nchini Marekani

    Ni ajabu na kweli baada ya yote yaliyotokea Moshi mwezi uliopita Mwamposa atunukiwa udaktari wa heshima. Mshana Jr alitabiri kupanda cheo kwa Mwamposa na sasa yamekuwa kweli. Watu wanapaswa kufunguka macho kuhusiana na yanayoendelea ulimwenguni tena siku hizi yapo wazi kabisa. Kuweni waangalifu...
  15. O

    Upepo wa tukio la Mwamposa kwa jicho la tatu

    Kumekuwepo na malumbano ya kihoja juu ya hali inayoendelea sasa kwenye mitandao ya kijamii, kufuatia tukio la Vifo vya watu kadhaa kwenye mkutano ya mtumishi Mwamposa. Jamii imegawanyika kwenye fikra mbili, ya kwanza ikiwa ni uwepo wa ujanja ujanja kwenye huduma za kiroho na wengine wakiliona...
  16. W

    JF member Mshana Alitabiri Mwamposa kutowekwa Lupango

    Sijawai kumsikia akijiita nabii au mtume lakini Mshana jr alitabiri mapema kabisa kwamba Mwamposa ataachiwa na kuwa huru kuendelea na shughuli zake. Pia aliongelea wale 20 ndugu zetu wametolewa kafara kumpandisha daraja Mwamposa ili awe na "power" zaidi na umaarufu maradufu ya aliokuwa nao...
  17. TODAYS

    Kwanini Mwamposa afanye tukio tarehe 01.02.2020?

    Nimeona topic hii kwa page ya jamaa anajiita Dr Williams nikaswma ngoja wajuzi tuipime, maana ndugu zetu wameumia mkoani Kilimanjaro. Twende pamoja👇 Watanzania tarehe 1 ni namba iliyobeba maagano makubwa, siwafichi kwa kitendo alichokifanya Mwamposa ana nguvu ya kufunika viongozi wa serikali...
  18. Kitaja

    Mwamposa aliiga huku kwa baba lao TB Joshua

    Jumla ya watu wanne wamefariki Jumapili nchini Ghana, walipokuwa wakikanyagana kwenye huduma ya “Mafuta ya Upako” katika kanisa la Synagogue Church of All Nations lililoanzishwa na Mtume TB Joshua wa Nigeria. Msemaji wa polisi wa Mkoa wa Greater Accra kamanda Freeman Tetteh alisema wengine 15...
  19. Mystery

    Intelejinsia ya Polisi inaishia kwenye mikutano ya CHADEMA, kwenye mikusanyiko ya kidini ya Mwamposa inakuwa imezibwa macho

    Tumeshuhudia mara kadhaa mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani, hususan ya Chadema, ikizuiwa na Polisi, kwa maelezo kuwa kwa taarifa zao "walizozinusa" mikutano hiyo italeta machafuko na hivyo kusababisha hatari ya maafa. Hata hivyo, mtumishi wa Mungu, anayejiita Mtume Boniface Mwamposa...
Back
Top Bottom