Baada ya kutokea vifo zaidi ya watu 15 katika mkanyagano wakati waamini wanaohisiwa ni wa dini ya kikristo wakigombea kwenda kukanyaga mafuta ya upako" huko moshi, mkoani kilimanyaro.
Kutokana na mashinikizo mbalimbali kutoka kwa Wakristo wasiokuwa na Imani kwa maji ya upako na mafuta ya upako...
Kwa heshima na moyo wa masikitiko nawaombea faraja wafiwa wote katika Ibada ya Mwamposa!
Ninaimani serikali yangu sikivu haitalifumbia hili macho ili kuweka standard katika namna ya ku deal na hawa manabii fake!
Mtu anapoitisha kongamano na kupata kibali anawajibika kuangalia usalama wa watu...
Kwanza niwape pole wahanga wote wa ajali ya jana moshi mjini. Pili niseme kuwa jukumu kubwa usalama wa eneo lile lilikuwa la Mwamposa na waandaaji wa ile shughuli. Lakini najiuliza iwapo vyombo vya usalama (hasa polisi) hawakuwa na jukumu lolote kuhakikisha lile eneo ni salama?
Mtu anapoenda...
Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha
Updates: 00:45
Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kukanyagana imefikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.