mwamposa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAZIA 3

    Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

    Bwana Yesu asifiwe? Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka, uponyaji, Rehema na Mambo...
  2. B

    Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

    JF, Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia. Nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili kuweka mazingira halisi ya mahusiano yao na Mungu wetu kabla ya kufikia hatua hiyo...wengine utakuta...
  3. Mributz

    Kongamano la Mwamposa Arusha, naombeni ushauri wa biashara ya kufanya

    Habarini, Nimepata kibanda (eneo la biashara) katika kongamano la Mwamposa litakaloanza siku ya Alhamisi - Jumamosi katika viwanja vya Kisongo Magereza. Bidhaa gani zipo hot sana niweze kucheza na hii fursa? Karibuni wenye uzoefu na hii kitu. Ahsanteni.
  4. KING MIDAS

    Mwamposa asingekuwa nabii wa Mungu, angeporomoka kabisa baada ya watu 20 kuuawa kwa kukanyagwa kanisani kwake

    Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki. Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote. Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue...
  5. Expensive life

    Sadaka ya kujimaliza ya kwa Mwamposa inatia watu umasikini

    Juzi Bi. mkubwa wangu kanitembelea nyumbani, sasa yeye ni mmoja wa waumini wa kwa Mwamposa. Baada ya salamu za hapa na pale akaomba awekewe channel ya Mwamposa aangalie ibada. Wakati tukiangalia kulikuwa ni kipindi cha sadaka, kilichonishanga ni hii sadaka ya kujimaliza yaani toa chote...
  6. GENTAMYCINE

    Mtume wao Mwamposa hivi Wewe huu Msemo wa 'Akufukuzae Hakuambii Toka' huujui au Jeuri tu?

    Yaani Kwa namna Mamkala ( Watu ) NHC wanavyoendelea na Maandalizi ya Ujenzi wa Nyumba hapo ni dhahiri shahiri kuwa pataleta Usumbufu mkubwa wa Kiujenzi hapo Kanisani Kwako na hata kwa Waumini wako. Mtume wao Mwamposa hivi pamoja na Wewe Kubobea hasa katika Saikolojia umeshindwa tu Kung'amua (...
  7. GENTAMYCINE

    Mwamposa hebu nawe iga huu Ustaarabu wa Mwalimu Mwakasege

    Mwalimu Mwakasege anaanza Ibada on time Saa 10 Kamili na Saa 12 Kamili kamaliza ( anamaliza ) Wewe ( Mwamposa ) unaanza muda usioeleweka na Kumaliza muda mbaya ( usioeleweka ) kiasi kwamba 95% ya Waumini wako hupata Adha Kubwa ya Usafiri na wengine kukosa Nauli na Kuturahisishia Masela ( Wahuni...
  8. Zingzingzing

    Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

    Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
  9. GENTAMYCINE

    Je, hi Taarifa kuwa Mtume Mwamposa 'Kaondolewa' Kawe na sasa anahamia Mbezi Beach Kona Baa ni za kweli?

    "Mtume Mwamposa amepewa hadi Jamamosi ( 8 Oktoba, 2022 ) awe ameshaondoka Tanganyika Packers Kawe na sasa atahamia rasmi Mbezi Beach Kona Baa njia ya zamani ya kwenda Goba ambako amenunua Eneo Kubwa sana kwa Juu kwa thamani ya Shilingi Bilioni 3.5 za Kitanzania" amesema Mkazi Jirani na Eneo...
  10. GENTAMYCINE

    Mtume Mwamposa: Nina hadhi kubwa kuliko waliyonayo 'Marais' wote Duniani

    Akihubiri leo katika Jengo lililobomoka na Hatarishi kwa Usalama wa Waumini anaowadanganya Kutwa huku akiwazidishia Umasikini anayejiita Mtume Mwamposa kwa Jeuri zote kabisa amesema kuwa Yeye kama Mtumishi wa Mungu ana Hadhi Kubwa kuliko hata Marais wote waliopo duniani. "Mimi nimeteuliwa na...
  11. J

    Siku Bima ya Afya kwa wote ikianza ndiyo utagundua wananchi wengi walikuwa wanatibiwa kwa Mwamposa na kwa waganga!

    Sina hakika kama wananchi wengi huwa hawaugui, ila ninachofahamu ni kwamba wananchi maskini walio wengi hutibiwa kwa akina Mwamposa, kwa waganga wa kienyeji au hunywa tu mwarobaini. Hivyo Bima ya Afya kwa wote itaimarisha afya za Watanzania kwa sababu wote watatibiwa hospital kwa huduma za...
  12. S

    Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

    Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaloliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
  13. M

    Mwamposa jitahidi uwe unamaliza ibada zako saa 12 kamili, unawatesa waumini wako na usafiri mgumu wa kurejea makwao

    Ninavyoandika hivi kuna Waumini wako (Mabinti na Wamama) wanarandaranda tu Kawe Stendi, Maringo na Ukwamani wakikosa Usafiri hivyo Fisi tuliopo Leo tumepata Nyama za Bure za Kula kwani tutawahifadhi Makwetu na Maghettoni na Kesho watakupa Ushuhuda wa Kubeba Mimba kwani Wengine tuna Mbegu Kali...
  14. Prakatatumba abaabaabaa

    Mwamposa Buldoza anazo nguvu za kweli

    Apostle kuna miujiza huku, nini kimetokea mkaka alikua hatembei miaka 30 baada ya maombi ameanza kutembea, halleluyaaaaaaaaa, nani mtenda miujiza yeeeeeesu. Nilikua nikisikia hivyo nabadilisha channel nilijua ni uongo tu. Juzijuzi hapa kuna issue ilitokea ikanifanya nianze kumfatilia mwamposa...
  15. R

    Biashara nje ya uwanja wa Mwamposa ina baraka ya serikali?

    Wakuu mpo njema? Swali langu ni kuhusu wafanyabiashara ambao wameweka kambi kwenye kituo cha daladala pale Kawe karibu na anapofanyia mikutano Mwamposa. Sasa hivi sehemu ile imejaa wafanya biashara wadogo (machinga) na mama ntilie wa kutosha. Mazingira ya hapo kweli hayaridhishi, ukiangalia...
  16. C

    Mwamposa, Picha uliyopiga miaka Mitano iliyopita na William Ruto ndiyo unaposti leo hii baada ya Kuona ametangazwa mshindi?

    Yaani Picha uliyopiga miaka Mitano iliyopita na Rais Mteule wa Kenya William Ruto ndiyo leo hii baada ya Kuona ametangazwa mshindi ndiyo unaiposti Mitandaoni huku Ukidanganya kuwa ulienda Kumuombea la kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya na kwamba ulimuahidi kuwa angeshinda? Sasa kama ulikuwa una...
  17. JanguKamaJangu

    Mtumishi Boniface Mwamposa asema "Shetani alikuwa Mwandishi wa habari"

    Mtumishi Boniface Mwamposa amesema shetani alikuwa Mwandishi wa habari, wanaoandika habari mbaya wapo upande wa shetani, ameyasema hayo Agosti 15, wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Wananchi Wazalendo Tanzania (TWWT). Mwamposa amezungumza hayo na kuwaomba waandishi wa habari kuwa waandike habari...
  18. Mpwayungu Village

    Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

    Hili nimeshuhudia kwa macho ya nyama mubashara kabisa, ni waislam wengi sana huenda kwa Mwamposa kufata miujiza, wengi wao ni wale biashara haziendi, wengine wakidhani wamerogwa, wengine vichaa, wengine wanatafuta wanaume wa kuwaoa na hili kundi la kuolewa ndio wengi zaidi ya wagonjwa. Waarabu...
  19. GENTAMYCINE

    Kudata kwao ndiyo utawakuta wamejazana tele katika Makanisa ya Mwamposa na Mwacha

    VIKOBA, Utitiri wa madeni vimeelezwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa afya ya akili nchini, huku wanawake wakitajwa kuwa wahanga wakubwa. Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma, Suluma Aslan akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2022...
Back
Top Bottom