mwamposa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Supreme Conqueror

    Mwamposa atua Arusha kwenye mashindano ya Samia Motocross Championship

    Mkuu wa Kanisa la Arise and Shine (inuka uangaze) Mtume Boniface Mwamposa @bulldoza_mwamposa ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda aka baba_keagan wakikagua njia za mashindano ya pikipiki za SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP yanayotarajiwa kufanyika kesho Julai 14, 2024...
  2. Wauzaji wa containers

    Watu kama Mwamposa wanatoa dhabihu na sio sadaka na zaka

    Mambo ya kiroho yanahitaji high commitment wewe na higher power yako. Mwamposa anatoa dhabihu. Ukiwa mtu wa kujituma, smart na unatoa dhabihu katika mamlaka za juu basi utafanikisha mambo mengi. Dhabiu ni kiwango cha juu cha sadaka na zaka. Hauwezi kuwa unatoa elfu moja msikitini na kanisani...
  3. Analogia Malenga

    Nimeumia kuitwa wa Kwa Mwamposa

    Habari za Mwamposa nazisoma tu humu. Sasa leo natoka zangu mkoani kurudi Dar kwa shughuli zangu nimebeba shangazi kaja likiwa na mzigo kutoka mkoani huko. Hawa wapiga debe wakaanza kuniita wa Kwa Mwamposa, nikauliza ni nini wakasema abiria wa mkoani wameongezeka kwa tukio la Mwamposa. Mind...
  4. Vichekesho

    Mwamposa apelekwe Ocean Road awaombee wagonjwa, Gwajima apelekwe Makaburi ya Kinondoni afufue wafu

    Mwamposa akishindwa kuwaponya basi tumwone tapeli kama matapeli wengine. Gwajima apelekwe makaburi ya Kinondoni akishindwa kufufua wafu aporwe hadi ubunge maana atakuwa tapeli. Tusiandikie mate wakati wino upo, tuna hospitali na makaburi lukuki wakafanye uponyaji na ufufuo huko waache kucheza...
  5. S

    Makonda tafadhali wana Arusha tunaomba mshawishi Mwamposa atuletee mkesha mkubwa na sisi na majirani zetu

    Pole na majukumu ya kikazi mkuu wetu wa mkoa na hongera kwa kuendelea kuipigania Arusha. Ninaiomba tumia ushawishi wako baada ya mimi kuhushudia mkesha mkubwa ulofana sana kule Dar ninaomba mkesha ule uje na hapa kwetu Arusha kwani mkoa huu unahitaji sana upako wa namna ile. Kuna roho...
  6. Pascal Mayalla

    BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

    Wanabodi, Hebu shuhudia Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo... 1. Nyomi!. Kiukweli kabisa watu ni wengi ajabu, sijui hata walitoka wapi, mabasi yote yalijaa, watu kwa makundi wanatembea kwa miguu, tumekaa foleni masaa 3!. Hii maana yake Bulldozer Mwamposa, ana nguvu za upako wa mvuto...
  7. Teko Modise

    Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

    Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe! Ujinga, maradhi na umasikini is real.
  8. Replica

    Nimepita hapa Kawe kwa Mwamposa, mbona wahudhuriaji karibu wote wanawake?

    Leo Kawe watu wanamwagika, nimeambiwa wamekuja kwenye maombezi ya Mwamposa na kukanyaga mafuta na watu leo watapona na kesi zote kwenye maisha yao zitakwisha. Kilichonishangaza ni kipengele cha jinsia ya wahudhuriaji, karibu wote ni wanawake. Yaani kwa takwimu uchwara katika kila watu 20 labda...
  9. Patriot missile

    Mwamposa: Naamini Serikali haitaruhusu mitandao inayohamasisha Ushoga kuendelea kuwepo nchini

    Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise & Shine Kawe Jijini Dar es salaam ameiomba Serikali kuufungia mtandao wowote unaohamasisha Ushoga nchini. Aidha, Mtumishi Mwamposa bila kutaja jina la Mtandao husika akiwa katika madhabahu ya Mungu wakati wa ibada ya Jumapili ameonya...
  10. Arnold Kalikawe

    Mwamposa ahudhuria uzinduzi wa Album ya Harmonize

    Mchungaji Mwaposa ameonekana Katika tamasha la uzinduzi wa Album ya Harmonize kitu kilichozua maswali. Mwamposa ni mchungaji kitu ambacho kinamfanya asiwe mpenzi wa nyimbo nyingi za Harmonize kwa sababu haziendani na maadili ya kikristo, licha ya hilo Harmonize ni Muislam tofauti na mwamposa...
  11. Pdidy

    Simba mkisajili pelekeni kwa Mwamposa ama Kuhan Mussa wachezaji wenu wakaombewe

    Hii niko serious, mwota ndoto hafi mpaka itimie. Viongozi wa simba pelekeni wachezaji wenu wakaombewe. Chukueni serious maneno ya Benchika, hawa wamechukuliwa ufahamu wagumu kuelewa. Ukiona mtu kama benchika kasema haya alipigwa kitu kizito kama cha diamond kwa sara. Msidharau nimewapa na...
  12. U

    Mtume Boniphace Mwamposa amtembelea Paul Makonda ofisini kwake Arusha

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Paul Christian Makonda amekutana na kuzungumza na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Nabii Boniface Mwamposa ofisini kwake Jijini Arusha. Nabii Mwamposa aliyeambatana na viongozi wengine wa Kanisa lake...
  13. tpaul

    Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam. Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Happy Birthday to you Boniface Mwamposa mtu mwenye maji na mafuta yake mjini

    Happy birthday bro. Miongoni mwa watu waliozaliwa mwezi March ni pamoja na Osama bin laden.
  15. J

    Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Itoshe tu kusema haya yote yanathibitisha kazi njema anayofanya Nabii na Mtume Mwamposa. Yesu ndiye mponyaji!
  16. C

    Pole sana Mwamposa baada ya kulikoroga Tanganyika packers na kukataliwa na Feza School ulipoambiwa uhamie jirani nao

    Tulikuonya kuwa acha dharau kutokana na utajiri wako wa kuwahadaa kimapumbazo waumini wako na kamwe usiwaamini hao viongozi waandamizi watatu wa serikalini wanaokupa jeuri kwani kuna siku utageukwa na hutoamini hukutaka kutusikiliza Mwamposa najua unaficha sana hii taarifa ili isienee wala...
  17. Championship

    Kuna watu wanampinga Mwamposa wakati nabii wao alikabwa mapangoni na wengine wanaabudu sanamu la bikira mwenye watoto watano

    Kweli duniani hamna jipya. Ukisoma komenti za watu unabakia kustaajabu sana. Watu wamelewa dini. Wanamponda Mwamposa huku wao wanaamini kwa nabii aliyekabwa na pepo akiwa mapangoni akilazimishwa asome ilihali hakuwa anajua kusoma. Wakaeneza imani yao kwa ncha ya upanga na mpaka sasa ukitaka...
  18. Suley2019

    Mwamposa aibuka na kumtetea TB Joshua

    Mwamposa anadai waliotoa tuhuma kuhusu TB Joshua ni wale waliowahi kufukuzwa kwenye kanisa hilo. Kama wangetaka kujua ukweli wangefuata watoto wa TB Joshua. Anaongeza kuwa, hata mtu atakayefukuzwa katika kanisa lake la Rise and Shine hawezi kusema mazuri kuhusu kanisa lake baada ya kufukuzwa...
  19. 5 Nyingi

    Baada ya Kutupatia Ubuyu wa TB Joshua, BBC Waje Tanzania Kutupatia Ubuyu wa Mitume na Manabii wa Mchongo

    BBC Wahini Tanzania mtupe ubuyu wa wanaojiita mitume na manabii wanao wabebesha watu maji, mafuta, vitambaa, sabuni na vyupi vya upako. Naamini BBC kama chombo cha udaku cha kimataifa kitalifanyia kazi ombi hili na kutupa ubuyu
  20. P

    Kesi ya Mwamposa na wenzake iliyohusu kusababisha vifo 20 kwenye Kongamano Moshi iliishia wapi?

    Wakuu kwema? Tarehe 4/2/2020 Mwamposa na wenzake 7 waliachiwa kwa dhamana kwenye kesi iliyokuwa inawakabili, ambapo Kongamano lililokuwa linaongozwa na Mtume na Nabii Boniface Mwamposa lilisababisha vifo vya watu 20 wakati waumini wakiwa katika harakati za kukanyaga mafuta. Mwamposa na wenzake...
Back
Top Bottom