Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia mwalimu wa taaluma katika Shule ya Msingi Montfort, Eneza Andarson, 27, kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake wa darasa la tano mwenye umri wa miaka 10, kwa nyakati tofauti.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro...