Unataka mwanamke mwenye kipato tafuta mwanamke ambae tayari ana biashara au ajira.
Unataka mwanamke msomi, tafuta ambae tayari kashasomeshwa na wazazi wake mpaka level ambayo yeye anaitaka
Usiwe mjinga kumwezesha mwanamke kwa matumaini kwamba atakua mkeo pale atakapokua na status anayoitaka...
Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la kushoto pamoja na sehemu za siri na kuondoka nazo tukio lililotokea kijiji cha Mahene Wilaya ya...
Hawa wako kifua wazi kabisa lakini haijawa habari iabisa hata hapa Daslamu, ikitokea mwanamke maarufu ametokea hadharani na brazia nchi inaweza kusimama!
Tuache double standards.
Wanachokimaanisha hapa hawa Wanawake si hasa hayo Maneno Manne tajwa hapa katika Kichwa changu cha Habari bali ukitaka kujua / kukijua kile wanachokimaanisha hasa nakuomba chukua kila Herufi za mwanzo za hayo maneno yaani katika Care chukua herufi ya mwanzo ya C, katika Antettion chukua herufi...
Kabla haujasoma, kama unajijua una Low IQ, pita tu kaendelee kuangalia picha za ngono, maana hii inahitaji watu wenye high IQ pekee kuona na kuelewa ninachozungumza.
Maana najua comment yako utayoiachia na utapoteza muda kwa watu wanaotaka real conversation to happen.
Now.
Jambo kubwa...
Katika mahusiano, mwanaume amebebeshwa mzigo mkubwa wa majukumu na matarajio, ambayo kwa kiasi kikubwa yamejengwa na miiko ya kijamii na tamaduni zetu. Kwa mfano, jamii inamtegemea mwanaume kuhakikisha makazi yapo (swali la kwa nini hajajenga linaelekezwa kwake, tofauti na mama mlezi anayeweza...
NIGHT MOOD THREAD.
Mwanamke kufika kileleni(kukojoa kojo Zito jeupe) ni kitu kitamu zaidi ambacho mwanamke anaweza kupata katika ulimwengu huu mpana na mzuri, na hufanyika ndani ya sekunde chache tu wakati wa kujamiiana, na bado ni wanawake wachache tu wanafika kileleni. Hapa kuna vidokezo vya...
KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa.
Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga...
Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar....
Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya.
Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na ukame sana wa wanaume.
Baada ya kuanza mahusiano zile panda shuka kwenda na kurudi hospital nikawa...
Anayekwambia ukweli, jua anataka upone. Maisha yetu yameandamwa sana na siasa kiasi kwamba sasa hata vitabu vya dini tunavipiga teke. Ndiyo! Tunataka kila mtu apewe usawa, watu wote wawe sawa kwenye nyanja mbalimbali.
Lakini ukweli ni kwamba, anguko kubwa la mwanaume linaanzia kwa mwanamke...
Ngoja tuambiane ukweli mchungu. ‘Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke.’ Ondoa jambo hilo kichwani mwako. Tena liondoe kabisa.
Nafuatilia namna matajiri walivyofanikiwa, hakuna aliyefanikiwa kwa ajili ya mwanamke.
Kama yupo nikumbusheni.
Mwanamke hapendi shida, mwanamke ni muoga, kama...
Mke na mume walifikia maamuzi ya pamoja kujiua (committing suicide) baada ya kupitia katika nyakati ngumu za maisha yao pamoja. Hivyo wakaamua kujirusha kutoka juu ya jengo lenye ghorofa 20.
Wakati wamefika juu ya jengo hilo refu, pamoja wakakubaliana kuhesabu 1 hadi 3 na waruke. Walipofika...
Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9.
Wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni...
Ukiachana na asili ya dunia kumuonea huruma mwanamke, je, ni ipi sababu ya msingi inayopelekea mwanamke aonekane kama mhanga pale anaposimama kwenye vyombo vya sheria?
Mwanamke na mwanaume ambao ni wanandoa wanapigana-ugomvi wa kawaida, baada ya kufika kwenye chombo cha sheria ghafla chombo cha...
Ilikuwaje ulikuwa unamjali mwanamke wako lakini sahizi hata akwambie anaumwa unaona sawa tu kama siku nyingine
Ilikuaje ukaanza kumaindi vitu vidogo vidogo mfano hata matumizi ya kawaida ya nyumbani (pesa ya matumizi kulipa deni la Muha)
Leo mahsusi kwa wanaume,
Usije kujaribu kuwekeza pesa , akili , muda kwa mwanamke ni kosa kubwa unafanya,
Mwanamke toka anaumbwa Hana roho ya kuridhika na hatokuja kua na roho ya kuridhika,
Kwenye 10 utapata mmoja au asiwepo kabisa , na hii ni mwanamke awe mfanyabiashara, mkulima, Msomi, yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.