mwanamke

  1. Melki Wamatukio

    Msaada: Sioni tena umuhimu wa kuishi na kiumbe anayeitwa mwanamke

    Na sio tu mwanamke, bali sioni kabisa umuhimu wa kujihusisha kwenye suala zima linaloitwa ngono, iwe ya aina yoyote ile Mwaka jana nilianza kama masihara hivi, nilikuwa kataa ndoa tena mwanachama kindaki ndaki, baada ya hapo nikasajiliwa kwenye chama cha kataa genye, hapo nikaamua rasmi...
  2. hitler2006

    Adui wa mwanamke ni mwanamke nimeamini

    Yanayoendelea katika sakata la ubakaji na ulawiti la clip iliyosambaa mitandaoni yanatafakarisha inawezekanaje haya kutokea katika nchi ambayo kiongozi ni mwanamke, Waziri wa ulinzi mwanamke, Spika wa bunge mwanamke, RPC wa mkoa husika lilikotokea tukio mwanamke Lakini kinachoshangaza zaidi ni...
  3. Pang Fung Mi

    Tathmini ya kuunga mkono hoja ya kukataa kuoa au kukataa kuishi na mwanamke kwa pika pakua

    Shalom, Kuna vitu vimetamalaki na jamii inaona kawaida. 1. Sauti za wanaume hasa katika uongozi, maelekezo, makatazo na maonyo zimekuwa ndogo kuliko maamuzi ya wanawake. 2. Chachu ya point namba 1 ni jeuri, kiburi na dharau. 3. Utii na unyenyekevu vinapuuzwa. Hakuna ndoa bila utii na...
  4. Mbuzi sharobaro

    Mwanamke akikwambia anapenda kuangalia Ponographia anamanisha nini?

    Vipi wakuu Kuna huyo sister ni jirani yetu Sasa katika kupiga story amegusia hilo swala kuwa yeye anapenda sana kuangalia pornography. Hapa najiuliza kwasababu Gani aniambie Mimi Kuna mawazo positive yananijia kuwa anataka rungu nini
  5. Natafuta Ajira

    Sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke

    Iwe kiuchumi, kitabia au kimaadili sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke, huo ni wajibu wa wazazi wake. Kama unataka mke msomi, mwenye tabia nzuri au anaejiweza kiuchumi, basi tafuta mwanamke ambae tayari wazazi wameshamuwezesha kuwa na ivyo vigezo. Mwanaume pambana tafuta hela tengeneza furaha...
  6. mdukuzi

    Sera Mpya; Ukioa mwanamke asiye na cheti cha form four jela miaka 30

    ======== Kauli hii ilitolewa na naibu waziri wa elimu wakati huo Joseph Kakunda na ilileta mjadala kwa watu wengi. Hata hivyo Novemba 10, 2017 Kakunda alikuja kutolea ufafanuzi bungeni kwamba alimaanisha sera mpya miaka ijayo itakuwa lazima mtoto kusoma kuanzia chekechea mpaka kidato cha nne...
  7. Pdidy

    Dawa ya hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke....

    Habari Na gfriend wangu tumetokea kupendana sana kusex sanaaa Baadae akafanikiwa pata mtoto Sasa n mwaka wa 3 Ila ile hamu ya tendoo la ndoaa sijui kaenda nayo mtoto ama lah Mkikutanaaaa yaaan inaweza chukua dk 15 kumchezea weee ndio unaona hamu inamuingia Kama kuna dawa ya hamu ya tendo la...
  8. Ncha Kali

    Mwanamke unaposifia chips za baa eti ni tamu kuliko za nyumbani, basi ujue na vitu vingine huko baa ni vitamu vile vile.

    Ngoja niwasanue! Imekuwa kawaida kusikia wake zetu wakisifia chips za baa eti ni tamu kuliko wanazoweza kupika majumbani kwao. Basi sasa mjue sio chips tu, hata chakula cha hotelini huwa ni kitamu kuliko mnachoandaa majumbani. Hii ndiyo sababu huwa waume zenu wanarudi wameshiba. Au...
  9. S

    Ogopa kuoa mtu mwenye status ya chini. Utachapiwa mpaka na mkata nyasi za kulishia ng'ombe

    Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake. Hadhi ndiyo Kinga inayochuja na kupunguza wanaume kumtongoza mwanamke. Mfano mwanamke:- 1. Mwenye shahada (ya kwanza, uzamili ama...
  10. Chaka la wakubwa

    Kwani kua na mwanamke asiye omba pesa kuna madhara

    Nimekua na mahusiano miaka mitatu na nilie nae hajawai niomba hata mia na hataki lakini yeye za kwake anataka kuwa ananipa .eti wana jf hapo mnanambiaje
  11. Mjanja M1

    Usioe Mwanamke ambae kwao ni maskini lakini anaishi maisha ya kifahari

    Nakuonya ewe kijana, kamwe usioe Mwanamke ambae kwao ni maskini na hana kazi yoyote lakini anaishi maisha ya kifahari na matanuzi. Wengi wao ni wauza Mbususu wa kimya kimya. MLIOAMUA KUOA CHUKUENI DARASA HILO KUTOKA KWA MJANJA M1. Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria 🇦🇹
  12. Pridah

    Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Habari wapendwa. Leo naanza kwa kumshukuru Maxence Melo kwa kuanzisha hii platform ambayo leo nitaitumia kusema kitu ambacho nikikisema ktk maisha yangu halisi nitaonekana wa ajabu na nina hakika kuna wapendwa wangu watanitenga hivyo nitawaambia nyie japo najua mtanipopoa sana leo ila nataka...
Back
Top Bottom