mwanamke

  1. Baba Kisarii

    Emmanuel Mbasha: Nitaoa mwanamke muuza Baa, sihitaji wale wa kanisani

    Amefunguka Emma.... "Nataka kuoa mwaka huu, nitaoa mwanamke ambaye ni mhudumu wa Bar maana hawa wadada wanakuwaga hawana shida sana ukimwoa ukamweka ndani anatulia na maisha yake yote analeta watoto.. Hawa wa kanisani siwataki kabisa ni wakengeufu sana." Tuliowahi kuumizwa na mademu...
  2. Loading failed

    Je, ni mimba imeharibika au ni mzunguko wake (period) imekuja kivingine

    Ndugu zangu salaam Mke wangu anajumla ya mzunguko wa siku 25 . mwezi uliopita aliona siku zake tarehe 11/08 /2024 na nilikutana nae kimwili kwenye siku zake za hatari kwanzia tarehe 8/08 mpaka tarehe 15/08/2024 kwa sababu tulikua tunataka mtoto. Alitarajia kuona siku zake tarehe 05/09/2024 ila...
  3. JEJUTz

    Je Mwanamke anajua kutumia pesa kuliko mwanaume

    Wanawake wanajua kunitumia pesa kuliko kunitafuta pesa kuliko kuitumia na hapa ndipo mahali AMBAPO MUNGU alifanya mwanaume kulazimika kuwa na mwanamke kwenye maisha yako ila pia KWENYE KUZALIANA mwanaume hupoteza pesa nyingi sana kwenye kutumia kuliko mwanamke na wakati mwanamke hupoteza pesa...
  4. Superbug

    Nini kimempata dada aliyeshambuliwa na nyuki? Alipona?

    Kuna video inatrend mitandaoni ya msichana akishambuliwa na nyuki Mbweni huku jamaa wakiwa ndani ya gari ya chumba wanarekodi. Kwa mlioiona na kujua hatma yake tunaomba mtujuze nini ilikuwa hatma ya yule dada?
  5. O

    Kuhusu kuoa mwanamke Bikra

    Habari zenu wanajukwaa, Leo ningependa tuongelee kuhusu hili swala la kuoa wanawake Mabikra katika story zangu nikiwa kijiweni na Marafiki zangu nawambia kwamba nataka kuoa mwanamke ambaaye ni bikra wengi huwa wananipinga na wananiambia swala la mimi kuoa mwanamke bikra ni ngumu haiwezekani...
  6. RedPill Prophet

    Mwanaume kumbuka we ni wa thamani

    Wanaume, kumbukeni kwamba ninyi ni tuzo. Usiruhusu mwanamke yeyote akufanye ujihisi mdogo. Hapa kuna baadhi ya sababu tano za kukukumbusha thamani yako: 1. Ukweli kwamba mwanamume anaweza kuoa wake wengi katika tamaduni fulani inaonyesha kwamba wewe ni wa thamani. Kinyume chake, wanawake kuoa...
  7. Expensive life

    Kwa dunia ya sasa kuna mwanamke anaweza kuona pesa mumewe aliyoisahau kwenye suruali akamrudishia?

    Jumapili nilisahau pesa kidogo tu elfu 50 kwenye suruali yangu sasa jana jioni nimekuta shemeji yenu kaifua, mimi nikavunga, na leo ile suruali nimeitinga 😂 Ili kujihakikishia kama ni kweli nimesahau au laa, nakumbuka jumapili nilikuwa na elfu 80 dogo alikuwa anaumwa hivyo nikachomoa elfu 30...
  8. D

    Kuna tafsiri yoyote ya kikubwa pale mwanamke anapokuambia kuwa kuna watu wanasema unatembea nae?

    Imetokea jana. Dada ananiambia kuna hutuma dhidi yetu hapa mtaani. Anasema ameshutumiwa muda mrefu sana lakini aliamua kupotezea tu ila alipanga kuna siku atapata sababu ya kusema na siku yenyewe aliyoipata ni hiyo jana. Najibu nini' kwenye jambo kama hili? Msaada tafadhali.
  9. Tajiri wa kusini

    Mrejesho! Nilimpa mwanaume mtaji akaniacha na kwenda kuoa mwanamke mwingine

    MREJESHO; NILIMPA MWANAUME MTAJI AKANAICHA NA KWENDA KUOA MWANAMKE MWINGINE! Kila kitu kilikua kizuri, tulipanga kuhusu kuoana. Wakati namaliza chuo nilikua na pesa yangu kama milioni tatu hivi, hizi ni pesa ambazo Baba yangu aliniwekea kwenye akaunti tangu nasoma, alipofariki basi sikuzitumia...
  10. X

    Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

    Ukimkuta sio bikra hilo ni jibu tosha kuwa mwanamke uliye naye hajatulia ni malaya Hili halihitaji mjadala wala kuandika uzi mrefu Ukweli ni kwamba miaka hii binti akishabikiriwa ujue ndiyo ameanza safari ya umalaya iwe direct au indirect Learn or perish
  11. Huihui2

    Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar aondoka Gaza akiwa amevaa kama Mwanamke

    Jana Yahya Sinwar ameondoka Gaza akiwa amevaa Hijab --- Hamas leader Yahya Sinwar has been hiding among Palestinians “dressed as a woman” after abandoning Gaza’s terror tunnels, Israeli intelligence sources said last night. The architect of the October 7 atrocities was already a target on...
  12. mdukuzi

    Hivi huwa mnamuelewaje mwanamke anayekwambia simu yake imetumbukia chooni

    Kuna mwamba juzi kadai wanawake wa siku hizi hard ware safi ila software zero ni kweli. Mtu hajapatikana hewani siku kadhaa ukimuuliza eti simu ilitumbukia chooni Nguo nyingi za wanawake hazina mifuko je simu inatumbukiaje chooni? Je kwa nini uende na simu chooni?au huwa mnachat mkiw chooni...
  13. Hypersonic WMD

    “Ndoa ilivunjika kisa mwanamke aliolewa na Down low”

    Katika kupita pita ofisini nimekutana na story ya lecturer mmoja alikuwa anafundisha na ndoa yake ilivunjika miezi mitatu iliyopita. Sasa ile naingia ofisini nikakuta mateacher wanaongea kuwa ndoa ilivunjika kwasababu mumewe alikuwa ni down low….. Mwanamke yakamshinda SASA sijaelewa hili neno...
  14. X

    Mambo ambayo mwanaume haupaswi kumfanyia mwanamke

    1. Usimsomeshe, hiyo ni kazi ya mzazi wake 2. Usimuanzishie biashara, bali anzisha biashara na umwajiri 3. Usifanye uhalifu au deal yoyote illegal ili umridhishe mwanamke kwa kibunda 4. Usiweke mahitaji na matakwa yake kabla ya yako. Jitangulize na jipende wewe kwanza. 5. Usiitelekeze...
  15. U

    Wasabato zingatieni hiyo amri kuwa mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke!

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Hizo ni picha halisi hakuna iliyotengenezwa Niwatakie Usiku mwema
  16. Nyaka-One

    Je, ni kisa gani cha kweli lakini cha kuogopesha na kusisimua ulichowahi kusimuliwa na mwanamke? Ulijifunza nini kutokana na kisa hicho?

    Binafsi nimebahatika kuwa na mahusiano ya kawaida na akina dada/mama na katika simulizi za kweli za baadhi yao hapa ningependa ku-share nanyi baadhi ya visa hivyo kama ifuatavyo: Wa kwanza: Huyu dada aliwahi kuwa girlfriend wa nabii mmoja maarufu nchini mwenye kanisa lake njia ya kuelekea...
  17. Bob Manson

    Je, ni sahihi kwa mwanamke kunyonyesha hadharani?

    Katika mwili wa mwananke kifua ni sehemu nyeti na haipaswi kuonwa na watu wengine zaidi ya mwenye mamlaka tu, yaani Mume. Lakini tunaona baadhi ya wanawake wakinyonyesha watoto wao hadharani bila kuficha au kusitiri vifua vyao, mfano katika vyombo vya usafiri au sehemu zenye mikusanyiko ya...
  18. G

    Kuna kelele nyingi za haki sawa kwenye kugawana majukumu ya Mwanamke, kwanini majukumu ya Mwanaume yapo vile vile hayapewi usawa ?

    Kwa tuliobahatika kuoa wanawake wanaojua majukumu yao ya asili tunasema asante ila tunasikitika kwa wanaume wenzetu waliooa wanawake pro haki sawa, tunahofia pia watoto wetu kusombwa na hili gharika. Wanawake wa kisasa wengi wameona majukumu yafuatayo wasaidiane na waume zao Kufua nguo - Kuna...
  19. M

    Nahitaji mwanamke wa kuoa

    Nahitaji mwanamke wa kuoa. Awe mcha Mungu umri kuanzia miaka 35 hadi 40 Mwenye bidii ya kufanya kazi na nidhamu ya Pesa. Mengine tuwasiliane inbox. Karibu
  20. Natafuta Ajira

    Usiwekeze kwa mwanamke

    Kitu pekee ambacho mwanamke anawekeza kwenye mahusiano ni hisia tu, kwa mwanaume yoyote unaetumia akili kufikiri kikamilifu hawezi kuwekeza kwenye hisia kwa sababu hisia zinabadilika au kuisha kabisa muda wowote. Huu ni ukweli ambao wanaume karibu wote wanaujua lakini bado wanaendelea kufanya...
Back
Top Bottom