mwanamke

  1. T

    KWELI Edna Cintron mwanamke aliyekuwa akipunga mkono kwenye jengo la world Trade Center kwenye shambulio la Septemba 11, 2001 alifariki, hakuokolewa

    Kuna video inayomuonesha Edna Cintron akipunga mkono akiwa ghorofani baada ya shambulizi la septemba 11, 2001 nchini Marekani je aliokolewa au alifariki pale pale?
  2. Azoge Ze Blind Baga

    Sheria inasemaje ikiwa mwanamke amefunga ndoa wakati bado ndoa yake ya mwanzo haijavunjwa?

    Kama inavyojieleza Mfano upo kwenye ndoa na mke wako lakini kutokana na masuala mbalimbali ya kimaisha hasa ajira mnaishi mbalimbali kwa muda mrefu na mwisho kuwa na migogoro ya hapa na pale Baadae mwanamke anaamua kuolewa tena kimya kimya kule alipo bila wewe mume wake kumpa talaka au kuvunja...
  3. Natafuta Ajira

    Umasikini wa mwanamke sio tatizo la mwanaume.

    Kwa kiasi kikubwa umasikini unatoka na chain ya ufukara ambayo ipo kwenye familia au ukoo, kwa maana iyo umasikini wa mwanamke sio tatizo la boyfriend wake, ni tatizo lake binafsi na familia yake na wao ndio wenye wajibu wa kujiondoa katika umasikini huo. Unakuta kiijana wa kiume anajibana...
  4. Pang Fung Mi

    Penzi la Mwanamke wa Kimakonde ni habari ya Dunia tumejifungia week na hatuboi yaani kazi kazi.

    Ebana wanawake wa Kimakonde ni habari ya Dunia, Niko nae ndani yapata wiki sasa yaani ni kazi kazi, nimesahau shida zangu zote. Yukoje? Ni maji ya kunde, kitunguu cha malolo wazaganza na chuchu Dodo , urefu 170sentimita Kuna makabila ni tunu ya Taifa la Tanzania kwenye anga ya mapenzi, mimi...
  5. Tman900

    Mwanamke mwenye Umri wa Miaka 35- 42

    Naitaji mwanamke awe na Umri wa 35- 42 Nataka nimpe kazi ya kumlea mwanangu. Mtoto wangu ana Umri wa miaka 7. Ni wakike. Mshahara tutajadiliana mara Baada ya kuonana. Tuwasiliane NOTE: Hakikisha uwe mkristo, na ni muuzuriaji wa kanisani na jumuia(Mkatoriki). Tuwasiliane in Box.
  6. Pdidy

    Mkaka alie na mwanamke mmoja aje kutufanyia sala tuanze wiki na baraka

    Najua mpo ingawa wachache. Mkaka alie na mwanamke mmoja tu aje kutufanyia sala ya kubariki sikuyetu na wiki nzima inayoanza leo.
  7. MamaSamia2025

    Mwanamke anahitaji vitu viwili tu. Mengine yote ni porojo

    1. Money 2. Inches Vitu tajwa hapo juu ndo mwanamke anavihitaji. Mwonekano mzuri, u-handsome, kunukia, ucheshi, wema nk ni kama vikorombwezo tu. Ila msingi uko kwenye hayo mambo mawili niliyoyataja. Ingawa wanawake wako very loyal kwa hisia zao ila hayo mambo mawili (money & inches) kama...
  8. Dalton elijah

    Benki kuu ya Tanzania yakanusha Noti yenye Sura ya Rais Samia

    Benki kuu ya Tanzania imethibitisha Kuwa Noti Inayosambaa Mitandaoni Ikionesha Noti Ya Fedha Ikiwa Na Sura ya Rais Samia Suluhu Hassan Kuwa Sio Sahihi. Taarifa kama Inavyo onekana Kwenye Picha. Soma Pia: Mwigulu: Natamani noti ya 100 iwe na nembo ya Yanga
  9. Matulanya Mputa

    CHAPISHO LA NOTI YA SHILINGI 10000 IMEWEKWA PICHA YA SAMIA KAMA MWANAMKE WA KWANZA RAISI

    Picha hizo hapo
  10. Pdidy

    Je wajua mwanamke hana dini??

    Kama huamini subiri aoleweeew kamammkristo utajua anapoelekea Kama msilamu utajua anapoelewa
  11. E

    Je ni sawa kwa kijana wa miaka 20 kuoa mwanamke mwenye miaka 27?

    Hii imekaa aje wadau
  12. Manyanza

    Dawa ya Mwanamke Msaliti na Muongo

  13. Uwesutanzania

    Sio kitu chema kuoa mwanamke aliyeachika/kuachwa

    Naam, Kijana zingatia sana unapohitaji kuoa basi usioe mwanamke aliyewahi kuachika, yaani aliyewahi kuolewa na mwanamume kisha akaachika. Usioe,. Pia kama kaachika na mtoto au watoto huyo ndio USIOE KABISA, kaa nae mbali. Unajua kwanini nimekwambia hayo? Basi tumia mda wako kusoma andiko langu...
  14. S

    Mwanaume, usiharakishe kujiaminisha kuwa mwanamke uliye naye ni wa maisha. Mpime siku zote za maisha yako.

    Na Chibueka: Mwanamke anajua aliolewa na mwanaume mwema kutoka wiki ya kwanza ya ndoa yao. Mwanamume anaweza tu kuthibitisha alioa mke mwema siku za mwisho za maisha yake. Hii ni kwa sababu wanawake hawatabiriki na wanaweza kukubadilikia wakati wowote. Kwa kawaida mwanamume hapati faida...
  15. JEJUTz

    Mwanamke ni vizuri pia kujifunza ku-fix baadhi ya vitu hapo nyumbani

    Hii itakusadia pindi ukiwa nyumbani pekee yako ama mahala popote pasipo na msaada pamoja na kuokoa gharama. Siongelei ule ufundi professional hapana.Ni ufundi ambao ni basic kwa ajili ya kuokoa jahazi ili mambo yaende (quick fix). Ni kama kubadili koki ya maji iliyoharibika au umeamka asubuhi...
  16. Waufukweni

    Nigeria: Mwanamke wa Miaka 40 ajifungua Watoto Sita kwa mpigo baada ya miaka 20 bila kuwa na Mtoto

    Furaha imetanda katika Kaya moja nchini Nigeria ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 40 amejifungua watoto 6 ikiwa watatu wa kiume na watatu wa kike baada ya kupita miaka zaidi ya 20 tangu alipopata mtoto wake wa kwanza. Kuzaliwa kwa watoto hao kulitangazwa katika video iliyosambazwa TikToka na...
  17. Kichwamoto

    Mvuto wa Mwanamke una Unabebwa na Nguzo Zipi Muhimu?

    Katika hisia za mapenzi na mvuto wa mahaba wanawake wana vitu vyao ambavyo ni nguzo kwa mvuto wao. 1.1 Sura (nzuri au mbovu) 2. Rangi. (Mtume au jehanamu) 3. Harufu (kunukia au kunukia) 4. Kifua (Dodo au Lahaula la kwata) 5. Nywele ( Malaika au Kibwengo) 6. Original look au artificial saana...
  18. Kichwamoto

    Tuambiane Dalili zinazonekana kwa mwanamke ambae ametumika sana kwenye uzinzi au uashetati

    Hi, Kwa uzoefu wangu wakati na wajuu, nimeona na kushuhudia papuchi mbovu mbovu, ambazo ni kinyume na muonekano wa nje wa mwanamke kwenye maeneo kama mavazi,, urembo, sura, shepu,, samosa zimetumika hovyo. Wanaume tujitafakari hawa wadudu wanashinda sana saloon ila chini moto chini kwa hovyo...
  19. farfat

    Mnaishi vipi na Mwanamke anayekupangia siku za kupiga shoo?

    Kwa zaidi ya miezi 5 nimepewa shoo mara tano wastani wa kila mwezi mara moja na hata shoo nikipewa inakuwa chini ya kiwango tofauti na muda tulikaa bila kufanya... najionea mauza uza.. Sasa basi na mimi nimepanga akinitaka yeye kama kawaida yake nimkazie mchezo tuone itakuwaje sijui nitajenga...
  20. MKATA KIU

    Briffault's Law inasema Mwanamke hawezi kuwa na mahusiano ya aina yoyote na mwanaume kama hafaidiki

    habari wadau. Naona threads za kuwalalamikia wanawake wanapenda pesa na mali zimekuwa nyingi sana. Ningependa vijana wote wa kiume wanaopenda kulalamika waisome na kuijua hii scientific Law ya mwanasayansi Robert Briffault ambayo ni a scientific law that describes the biological behavior of...
Back
Top Bottom