Kama Binti upo kwenye mahusiano na mtu ambaye unapenda na kutamani awe mume wako unapojaribu kutengeneza mazingira ili mwamba akuweke kwenye mipango yake basi unapokuwa chumbani punguza ufundi la sivyo utakosa ndoa.
Wakati wa kuonyesha ufundi ni pale ushapata ndoa tena sio ghafla bin vuu...
Jumapili njema .
Katika nyakati tofauti huwa watu wanazungumzia uwezo wa uvumilivu wa mwanamke katika MAISHA.
Leo nitazungumzia kuhusu uwezo wa kipekee wa mwanamke unaitwa Incubation power
incubation ni uwezo ambao mwanamke anakuwa nao unaomfanya kuweza kumvumilia MTU au jambo fulani, au...
Kuna Baadhi ya wanawake wana date na wanaume waliooa
Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake
Hajawahi kuku valisha hata hiyo pete na anakuambia anakupenda
Unafikiri anakupenda wew?
Kama aliyemvalisha pete anam cheat wew kwake utakuwa na thaman?? usiwe mjinga
Anakuambia anakupenda na huku...
Intro:
Bila salamu.
Literature Review:
Ni kwamba ni ngumu sana kwa mwanaume kumpata mwanamke mvumilivu wa kila hali, hapa nieleweke ninaposema kila hali hususani hali ngumu za maisha yaan ukata, hali ya kutokuwa na kitu mfukoni, umepigwa ukapigika, umepigwa ukapauka ukafubaa, hali ya kukimbiwa...
Wanabodi,
Kwanza anza na hii video https://youtu.be/kg56zhQjTOg?si=WL_ZQz4gr8fX1VV1
angalieni nchi za wenzetu,linganisha na kwetu, Dr Tulia wa IPU na Dr Tulia wa pale mjengoni kwetu, unaweza kudhani ni watu wawili tofauti.
Hili ni bandiko la swali la kuzungumzia uwezo wa wanawake kwenye lile...
Levis Gervas Mahenge mkazi wa Ngiu Halmashauri ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe ameiomba serikali kuingilia kati ili kupata matibabu kutokana na majeraha pamoja na kuvunjika kwa mkono baada ya kudaiwa kupigwa na mkuu wa kituo cha Polisi Makete Mjini kilichopo wilaya ya Makete kwa madai ya kutoa...
Ni uongo au kujitoa ufahamu kusema mwanaume hauna akili ya kujua kuwa huyu mwanamke ana red flags za kutosha kukupa mrejesho kuwa hautadumu nae na hatobadilika hata ufanye nini.
Mwezi wa kwanza tu wa kuishi na kuwa karibu na mwanamke tayari kwa mtoto wa kiume mwenye ubongo unaofanya kazi kiume...
Je mwanaume asema nini kuhusu utamu wa mwanamke,kwamba mwanamke mtamu ana sifa gani,na je mwanamke anasemaje kuhusu utamu wa mwanaume,kwamba mwanaume mtamu ana sifa hizi,naomba majibu
Nimekuwa na mashaka mengi kwa namna ninavyopata malalamiko mbalimbali toka kwa vijana katika kipengele cha mahusiano.
Kutokana na kukosekana kwa mafunzo ya JANDO na UNYAGO nimeona nina dhima kama mzazi kutoa Elimu kwa vijana katika kipengele cha mahusiano.
Kwa sababu shuleni Elimu hii pamoja...
Katika tukio la kushtua, mwanamke mmoja anayeitwa Aisha Athuman, ambaye alikuwa muhudumu katika nyumba ya kulala wageni ya Sesa, iliyoko Sinza Mori, Jijini Dar es Salaam, amepatikana akiwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kuchomwa na kisu.
Mwenyekiti wa Sinza, Ally Mgaya...
Habari za usiku huu wakuu, kuna mwanamke nimeishinae kwa muda wa miaka miwili, kutokana na tabia zake za ajabu ajabu siku hizi amebadilika sana, kinachonifanya nishindwe kufanya maamuzi nimemzoea sana mwanamke wangu amekuwa alikuwa malaya ila akaahidi kuwa atatulia na kuwa mwanamke bora...
I need a woman with a good shape to marry from all Tribe except a Haya, Nyakyusa, Nyaturu, Jita, Kurya,Chaga,Ngoni and other related to those.
should be aged 25 to 30.
Able to understand shortly and hardworking.
Any level of education in any Falcuty ,but those with finance,accounting,Computer...
Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kujua changamoto za kuoa mwanamke ambaye ni daktari kabla sijachukua maamuzi, daktari nikimaanisha Medical Doctor (MD).
Karibuni
Greetings of the day Ladies and Gentlemen,
Nina changamoto moja naomba ushauri wenu wanajamvi nina mke wa ndoa ya miaka 5 lakini kwa miezi ya hivi karibuni amekua hapendi kupika chakula kwa ajili ya familia yaani mpaka alazimishwe na pia hataki kushiriki tendo la ndoa ukimuuliza hana majibu...
Weekend Imekuwa ndefu
Nipo arusha Land Rover festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao
Mkenya mmoja analalamika kwa wakenya wenzake kuwa
Hatompa tena mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi, alichokutana nacho hatamani mwanaume yeyote afanye hicho kitu
Basi me nikapita nikaenda zangu...
Ni mara kadhaa utasikia wanawake wakisema Mwanamke gharama. Hata awe ana Mtu wake anayempinda na yeye ana uwezo lazima atake kugharamiwa au kupewa matumizi. Wengine hushawishi hata kulipiwa ada za shule au Chuo. Kinashangaza ni kuwa hata agharamiwe kiasi gani wengi si waaminifu, huanza kutafuta...
Wenye akili tunajua na ushahidi tunao ya kwamba ili udumu na mwanamke katika mahusiano lazima uwe dikiteta au jasusi kwake (hata wao ndivyo wanavyotaka) lakini ukijifanya lofa na kujifanya eti unampenda saana na kumzimia saana lazima akunyee kichwani. Familia nyingi zimeanguka sababu kubwa ni...
Kuna mwanamke mmoja nipo nae kwenye mahusiano na huwa tutakutana kimwili mara mbili au mara tatu kwa mwezi.
Mara nyingi tukikutana huwa hatutumii kinga sababu wote tulienda kupima kipimo kikubwa na kuonekana wote damu zetu zipo safi kwamaana hatuna maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
Wiki mbili...
Habari zenu wakuu,
Kuna jambo moja nataka kushare na nyie, nilikuwa katika mahusiano na mwanamke mmoja tukafanikiwa kupata mtoto mmoja tuishi pamoja toka 2021 tumekuja kutengana mwezi wa sita mwaka huu na sababu iliyofanya kutengana ni mke wangu kuanza kubadilika, ana kiburi kupita kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.