Anafunguka mwanaharakati.....
"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria
Natoa...
Kuna mahala nilikuwa katika Kikao kidogo ndani ya Ukumbi na kuna Dada kwa kutokujua kuwa alikuwa anatuonyesha Video ya bure ya kilichopo katikati ya Miguu yake (ila Kimefunikwa) na alipojulishwa na Mwenzake akakaa vizuri na kutunyima Uhondo wazee wa Chabo na ghafla Confidence yake ikashuka na...
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu.
Endapo wewe ni mwanamke na una uhitaji wa mume basi nakufahamisha kuwa 'tatizo lako limepata suluhisho'. Mimi nina uhitaji wa mwanamke ambaye kwa kuanzia awe rafiki/Mchumba lakini baada ya kufahamiana zaidi kitabia na hulka baina yetu tukiridhiana basi...
Habari wakuu.
Nahitaji mwanamke wa kuoa ambae yupo tayari kwa mahusiano na kuolewa.
Umri wake uwe kuanzia miaka 20 mpaka 30 akiwa na mtoto sawa hakuna shida.
Sifa zangu
Umri 30
Nyieee
Maswali yenu mnaniletea whatsapp sijapenda kabisa
Ila kuna ukweli huu wa asilimia 200 kwa wanawake
Ukitaka kujua kuwa mwanamke yuko vizuri kitandani, kumjaribu sio lazima umfunue na kumpapasa, mwambie akupikie chakula unachopenda cha kwenu au nchi yako, akipika chakula kizuri na kitamu...
Habarini za JIONI wakuu?
Mimi ni kijana wa miaka 32 mnamo mwaka 2019 nilibahatika kupata mwanamke kutoka Kanda ya ziwa{Tabora}..,nilimpenda sana na nahisi nae alinipenda japo siwezi semea nafsi ya mtu.
Ilipofika 2020 alihitaji sana kukaa NAMI nyumba moja kama mume na mke..,kweli KUTOKANA na...
Katika ulimwengu wa sasa, wanawake wanazidi kutumia mtandao kuonyesha vipaji vyao, kushiriki mawazo yao, na kuunganisha na jamii.
Lakini pamoja na hayo, unyanyasaji mtandaoni umekuwa tatizo kubwa linalowazuia wanawake wengi kujieleza kwa uhuru.
Je, unafikiria nini unapoona mwanamke...
Chukua hiyo!
Iwe kwa uganga au nguvu ya kiuchumi. Kumwendesha mwanamme inamfanya asiwe mwenye furaha.
Mwanamme akikosa furaha usitarajia kupata furaha pia. Na jiandae kulipa kwa hilo, iwe mapema au kwa kuchelewa.
Mwanamme ni KIONGOZI, regardless hali yake..... chagua yule anayefaa...
Wanawake wana akili zaidi ya tunavyowadhania, sema tuu hujifanya kama hawana akili, haswa akiwa karibu na mtu anayempenda na anayemwamini.
Huwa wanajizima data na kujifanya hawana akili au mambo flani hawaelewi, hii wanafanya kwa makusudi kabisa na wanajua wanachokifanya, sio bahati mbaya...
Kujaribu kumfavor mwanamke unayetaka kumtongoza aisee kosa kubwa saaaana.
1. Umekutana na dada amekaa kwenye siti yako ya dirishani usimuache akae hapo hata kama unataka kumtongoza, mwambie nahitaji kukaa kwenye hiyo siti ambayo nimeshaikatia tiketi. Atakuona ni shujaa, hatokuchukulia poa...
Kama kawa, kama dawa....
Asili kuacha ni kimbembee....
https://youtube.com/shorts/FGKi35ClhvM?si=TYfyZ1TtOMv45IZt
Muonekano hapo juu wa picha unasema yote, mwanamke akiwa juu ya Farasi.... Utaona tuu, hatuliii
Atatikisika tuu kama si mabega basi matiti ama tumbo ama bambataa aahahahahhaa...
Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa.
Na kupata unafuu wa Maisha, kiujumla wanawake wapo kimaslai zaidi, hata mke ulie nae, hayupo hapo kwa ajiri ya Upendo ila yupo hapo kwa sababu...
Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa.
Na kupata unafuu wa maisha, kiujumla wanawake wapo kimaslai zaidi, hata mke ulie nae, hayupo hapo kwa ajiri ya Upendo ila yupo hapo kwa sababu...
Case study.
Chukulia wewe ni kijana wa familia flani ambayo Mama wa familia ni Mama yako mzazi Baba ni wakufikia unasoma na huishi hapo Home unarudi mara Chache.
Hapo Home mna beki tatu moja matata Sana, mali safi toka tanga anatokea kukupenda ila anashindwa...
Mwezi watano katika mihangaiko yangu nikakutana na mdada mmoja nikamwelewa tukayajenga mwisho tukakubaliana kuishi pamoja.
Alinieleza changamoto zinazomkabili huku akiwa na mimba ya miezi 2 anasema baba wa mtoto wamepotezana ni watu waliokutana katika kudanga hivyo hajui namna ya kumpata...
Kama kawa mama enu nimerudi na stori ingine tena
Leo natoka zangu kazini, nikapigiwa simu na shogangu tukutane mikocheni plaza ana stress za mapenzi
Nikaenda kumsikiliza vizuri tu, lalamiko lake kubwa ni kuwa;
Bwana wake amemuacha, kabla hajaachwa akamwuliza bwana wake, kwanini unaniacha...
Endeleeni kuwatukuza, Nimesoma leo Kitabu cha mwanzo pale kwenye bustani ya Edeni, Adam alikaa poa na viumbe wengine bila makwazo wala mzozo ila alipoingia mwanamke maisha yakabadilika mpaka leo tunaishi maisha yakiwaki. Nimegundua mwanaume kuishi mwenyewe bila mwanamke ndio nguvu ya mafanikio...
Wavulana wengi wanafikiri eti.....
Ukitaka kumtawala mwanamke "mpe hela"...🤣
Hapo ndipo anguko la vijana linapo anzia "maana hata wanawake pia wanajua kuitafuta hela...😜
Mwanaume simama kwenye nafasi yako na hakuna nyumba itayumba bladi hell...☹️
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.