mwanamke

  1. Tulia na mwanamke ambaye tayari ana vigezo unavyovitaka

    Unataka mwanamke mwenye kipato tafuta mwanamke ambae tayari ana biashara au ajira. Unataka mwanamke msomi, tafuta ambae tayari kashasomeshwa na wazazi wake mpaka level ambayo yeye anaitaka Usiwe mjinga kumwezesha mwanamke kwa matumaini kwamba atakua mkeo pale atakapokua na status anayoitaka...
  2. Mwanamke auawa kwa kukatwa na Panga, akatwa titi, akatwa sehemu za Siri.

    Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la kushoto pamoja na sehemu za siri na kuondoka nazo tukio lililotokea kijiji cha Mahene Wilaya ya...
  3. Kwanini uvaaji wa mwanamke una maslahi kwa watu wengi na kelele nyingi sana kuliko wa mwanaume?

    Hawa wako kifua wazi kabisa lakini haijawa habari iabisa hata hapa Daslamu, ikitokea mwanamke maarufu ametokea hadharani na brazia nchi inaweza kusimama! Tuache double standards.
  4. Wanaume wote kuweni makini sana Mwanamke anapokuambia haya maneno kuwa anahitaji Care, Attention, Support na Honesty, kwani humaanisha hiki kifuatacho

    Wanachokimaanisha hapa hawa Wanawake si hasa hayo Maneno Manne tajwa hapa katika Kichwa changu cha Habari bali ukitaka kujua / kukijua kile wanachokimaanisha hasa nakuomba chukua kila Herufi za mwanzo za hayo maneno yaani katika Care chukua herufi ya mwanzo ya C, katika Antettion chukua herufi...
  5. Natafuta mpenzi/mchumba mwanamke

    Natafuta mpenzi wa kike awe na umri usiozidi miaka 36, awe anaishi dsm au morogoro, awe anafanya kazi au biashara. Mengine tutajadili PM.
  6. Mambo ya kufahamu kuhusu past ya mwanamke na future ya mwanaume

    Kabla haujasoma, kama unajijua una Low IQ, pita tu kaendelee kuangalia picha za ngono, maana hii inahitaji watu wenye high IQ pekee kuona na kuelewa ninachozungumza. Maana najua comment yako utayoiachia na utapoteza muda kwa watu wanaotaka real conversation to happen. Now. Jambo kubwa...
  7. Mwanamke Mwenye Hekima: Siri ya Kuijenga Au Kuiangusha Nyumba Yako Katika Mahusiano!

    Katika mahusiano, mwanaume amebebeshwa mzigo mkubwa wa majukumu na matarajio, ambayo kwa kiasi kikubwa yamejengwa na miiko ya kijamii na tamaduni zetu. Kwa mfano, jamii inamtegemea mwanaume kuhakikisha makazi yapo (swali la kwa nini hajajenga linaelekezwa kwake, tofauti na mama mlezi anayeweza...
  8. Mwanamke kufika kileleni

    NIGHT MOOD THREAD. Mwanamke kufika kileleni(kukojoa kojo Zito jeupe) ni kitu kitamu zaidi ambacho mwanamke anaweza kupata katika ulimwengu huu mpana na mzuri, na hufanyika ndani ya sekunde chache tu wakati wa kujamiiana, na bado ni wanawake wachache tu wanafika kileleni. Hapa kuna vidokezo vya...
  9. Muogope sana mwanamke, ishi nae kwa akili usiteketee!!

    Kuna Cha kujifunza hapa
  10. Mwanamke anaweza kataa kudate na mwanaume anayeishi kwa mama yake....

    Mwanamke anaweza kataa kudate na Mwanaume anayeishi kwa Mama yake, Lakini yuko tayari kudate na Mwanaume anayeishi na mke wake.
  11. Wanaume wenzangu MNAWEZAJE kutulia na Mwanamke mmoja?

    KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa. Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga...
  12. M

    Huu ujasiri kwenye mahusiano tunao wachache hapa Tanzania

    Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar.... Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya. Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na ukame sana wa wanaume. Baada ya kuanza mahusiano zile panda shuka kwenda na kurudi hospital nikawa...
  13. C

    Usimpe mwanamke nafasi ya kuongea/kujitetea

    Haya ni maneno yanayojirudia sana kichwani kwangu baada ya kuambiwa na mwanamke anayejiweza kwa IQ na EQ miaka kadha iliyopita.
  14. Hakunaga usawa baina ya mwanamke na mwanaume

    Anayekwambia ukweli, jua anataka upone. Maisha yetu yameandamwa sana na siasa kiasi kwamba sasa hata vitabu vya dini tunavipiga teke. Ndiyo! Tunataka kila mtu apewe usawa, watu wote wawe sawa kwenye nyanja mbalimbali. Lakini ukweli ni kwamba, anguko kubwa la mwanaume linaanzia kwa mwanamke...
  15. Hii Kauli "Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke" huwa ni ya uongo

    Ngoja tuambiane ukweli mchungu. ‘Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke.’ Ondoa jambo hilo kichwani mwako. Tena liondoe kabisa. Nafuatilia namna matajiri walivyofanikiwa, hakuna aliyefanikiwa kwa ajili ya mwanamke. Kama yupo nikumbusheni. Mwanamke hapendi shida, mwanamke ni muoga, kama...
  16. Swali: Nani alimsaliti Mwenzake; Mwanaume au mwanamke?

    Mke na mume walifikia maamuzi ya pamoja kujiua (committing suicide) baada ya kupitia katika nyakati ngumu za maisha yao pamoja. Hivyo wakaamua kujirusha kutoka juu ya jengo lenye ghorofa 20. Wakati wamefika juu ya jengo hilo refu, pamoja wakakubaliana kuhesabu 1 hadi 3 na waruke. Walipofika...
  17. Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

    Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9. Wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni...
  18. Sababu kubwa inayomfanya mwanamke aonekane kama victim mbele ya sheria ni ipi?

    Ukiachana na asili ya dunia kumuonea huruma mwanamke, je, ni ipi sababu ya msingi inayopelekea mwanamke aonekane kama mhanga pale anaposimama kwenye vyombo vya sheria? Mwanamke na mwanaume ambao ni wanandoa wanapigana-ugomvi wa kawaida, baada ya kufika kwenye chombo cha sheria ghafla chombo cha...
  19. Kikao Cha Wanaume: Mwanamke wako alifanya nini ukaanza kumchukulia poa?

    Ilikuwaje ulikuwa unamjali mwanamke wako lakini sahizi hata akwambie anaumwa unaona sawa tu kama siku nyingine Ilikuaje ukaanza kumaindi vitu vidogo vidogo mfano hata matumizi ya kawaida ya nyumbani (pesa ya matumizi kulipa deni la Muha)
  20. M

    Mwanaume usije kumpa zawadi au kitu mwanamke ukasema ataridhika, awe kasoma au hajasoma wote akili yao ni moja

    Leo mahsusi kwa wanaume, Usije kujaribu kuwekeza pesa , akili , muda kwa mwanamke ni kosa kubwa unafanya, Mwanamke toka anaumbwa Hana roho ya kuridhika na hatokuja kua na roho ya kuridhika, Kwenye 10 utapata mmoja au asiwepo kabisa , na hii ni mwanamke awe mfanyabiashara, mkulima, Msomi, yaani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…