Kisaikolojia mwanaume huwa hapendi sana isipokuwa Mwanamke ndiyo ambaye huwa anapenda sana.
Ikitokea mwanaume anampenda sana Mwanamke husababisha migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia, mwanaume huanza kulalamika, kususa,kununa, kutishia kujiua, kutishia waachane,kulia,kupiga magoti lakini...