Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya kuumbwa mwanaume wa Kwanza(Adam).zipo tafakuri na dhana za kiitikadi mbalimbali katika dini tofauti juu...
Nimesikiliza utetezi wa Chalamila kuhusu kauli yake kwamba yule mama mjamzito aliemwambia kama hatoi Tshs 50,000 achukue bajaji aende kwa mume wake atumie kisu na mikasi kumzalisha ni wa ovyo, usio na lojiki na ambao hata mtu asieenda shule angeweza kufanya vizuri zaidi. Ni afadhali hata...
Siku hizi hakuna cha inspiration za bibi titi mohamed.
Siku hizi unakutana na mwanamke mwenye mafanikio na alama katika taifa lakini njia ya kufika kwake ilikuwa kujipost uchi uchi mtandanoi, kuishi kwa scandal, kulamba pipi kijiti za wakubwa, kuhongwa na wanaume za watu then kupata connection...
Wapambe na chawa ndani ya CCM wamekanyaga katiba ya chama ili mtu aliyepewa ugombea mwenza kwa kubebwa kwa dhana ya viti maalum aendelee kuongoza nchi. Tulitegemea wanaCCM kupewa fursa kumpata mtu mwingine mzalendo mwenye maarifa na jasiri kama Magufuli ili kuweza kugombea na kuchukua urais wa...
Hii ndio ya mwisho siwafundishi tena!, Alietulia ni sawasawa na kasongo (ngiri) siku akikumbuka shimo lake basi anarudi kwa spidi kali na mnajua huyo mnyama anavyoingia kwenye shimo lake kinyumenyume na kwa spidi kali!.
Basi ndivyo hivyohivyo wadada wanaowaambieni wametulia wakikumbuka mashimo...
Ndugu zangu salaam.
Ukweli ni kwamba wanawake wanapenda sana dyudyu, wanataka papuchi zao zipigwe fimbo mpaka zimwage maji akose kabisa hata nguvu ya kukusongea ugali na akienda chooni au kujichamba aite jina lako huku anasukuma ukuta hapo ndipo atajiona yupo na mwanaume na wala siyo mwanamke...
Kwa kweli,sio kwamba nina pesa nyingi la hasha,ni mtu tu ambae sinaga mambo mengi hivyo huwa najitahidi kuwa na kabalance ka kutosha kwenye accounts zangu kwa ajili ya mambo yangu binafsi.
So inapotokea mtu akanikopa akaja na sababu za kueleweka huwa siona tabu kukopesha hivi vilaki mbili au...
Ndugu wanabodi nina swali hapa. Japo muda umeenda ila Nimeshindwa ling'amua kuhusiana na mzunguko wake ameniuliza ila nimeona nitafute wajuvi wa wanisaidie.
Mzunguko wake ni wa siku 28, ila bleed anaenda hadi siku 9 japo kuna kipindi huwa kawaida zinaishia 5,
Swali lake je? hii hali ambapo...
Shalom, Mtu wa Mungu karibu tujifunze Neno la Mungu, Taa pekee ya kweli iongozayo miguu yetu.
Leo kwa ufupi tutajifunza ni kwanini Mwanamume hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamke, kadhalika na mwanamke hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamume.
Neno hilo linapatikana katika kitabu cha...
Nimefuatilia post za wadada walio wengi wanaofanya biashara, wakiandika huku love connect wanasema wao ni wamachinga.
Mnaweza kuwa mnajinyima fursa kwani kuna wanaume wanataka mwanamke strong ambaye pengine anaweza kusimamia au akiongezewa Nguvu kiasi ataweza kuchanja mbuga, sasa ukisha sema...
Wanaume kuna muda maisha yetu tunayarisk sana kwa wanawake,,
Naweza kusema moja kati ya risk kubwa katika maisha yetu vijana ni kujikoki kuoa.
Ndoa saivi zinafilisi sana maisha yetu.
Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje.
Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
Habari za muda huu waungwana wa humu jamvini.
Katika ulimwengu wa soka na wapenda soka kumezuka habari mbaya kwa upande wa mwalimu wa soka safi lenye kuvutia anajulikana kama GUARDIOLA.
NDOA yake ya miaka 30 kama sijakosea imefikia tamati juzi Kati....huku kocha wa mpira akipoteza jumba lake...
Habari zenu wapendwa
Naombeni ushauri juu ya hali hii ambayo kidogo inanipa stress
Mimi nikijana nimeoa na nina mtoto mmoja
Lakini kuna hali fulani ambayo mke wangu anayo
Hali hiyo ni kutaka kunitawala kupitia madhaifu yangu
Amegundua kuwa ninapenda sex sana na ameanza kutumia njia hiyo...
Dalili za Mwanamke Kukupenda
Anaonyesha Kupenda Kuwepo Karibu na Wewe
Atafurahia kutumia muda na wewe, hata kama ni kwa mambo madogo kama kupiga stori au kushiriki shughuli zako.
Hutafuta sababu za kuwasiliana, kama vile kutuma ujumbe au kukuuliza maswali yasiyo ya lazima ili tu muendelee...
Habari, natafuta mwanamke wa umri 35-45 , kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi na si ndoa. Niko Dar es salaam. Karibu tupate muda wa kufurahia maisha pamoja. Usiwe tegemezi!
Maexpert wa kiume nawapa mchongo ambao wanaume wenye hekima tu ndio wanaielewa hii code
Mosi, mwanamke wako hatakiwi kujua hisia zako za ukweli kabisa,yes you heard me!
Fanya utakavyo fanya na ishi naye utakavyo ishi naye lakini mwanamke wako anatakiwa asikujue kabisa wewe ni mtu wa namna...
Tulikaa vizuri mimi nayeye na alionesha kuridhia kuwa na mimi,
Wakati namtongoza nilimwambia najitafuta, akakubali maisha yangu, yeye akawa anafanya biashara ya kuuza duka la perfumes mainly (na cosmetics nyingine kwa ujumla)
Tumeishi kama miaka miwili kipindi hiko chote nilikuwa nampromise...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.