Habari..
Nimetamani kushare kuhusu mwanaume limbukeni.
Yule ambae anahisi akikupa ela ndo kamaliza kukupenda na kukujali. Ambae mali yake kila siku inaliwa na vijana wa mtaani, wachora kucha, bodaboda, waha wakopesha vyombo nk.
Halafu unakuta kuna mwamba huku ndani anaijua hii, ila anaona...