Wakati tukiwa tunasubiri kuwaona Max na Pacome wakifanya vitu vyao pale mjini Chigali, tujifunze kitu kuhusu tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Arusha, Dar na Mwanza.
Nitajikita zaidi kwenye behaviour ya mashuhuda wa ngumi. Hii itakusaidia wewe kijana mpambanaji unae safiri katika mikoa...
Wakubwa salam.
Nipo Mwanza mjini hapa. Naomba kuelekezwa maeneo yanakopatikana maduka ya jumla ya pembejeo za kilimo.
Na pia naomba kujua bei mbegu za mahindi Kwa mfuko wa kilo mbili. Aina ya Mbegu ni DK 31 na 33
Ahsanteni.
A swim coach is needed at Capripoint Mwanza.
Should be available on weekdays from 12pm to 4pm. MUST be a very competent, confident swimmer and good with children.
I don't care about formal education but the applicant should have good English skills.
Will work from 1 to 2 hours a day and...
Upatikanaji wa maji hapa Jijini Mwanza hauridhishi hata kidogo na tunapenda kuitaarifu Serikali ya CCM kuwa kama hali hii itazidi kuendelea na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine.
WENYEVITI CHAMA CHA TANU MWANZA NA KIJIJINI NYAMAZUGO GEITA NA HISTORIA YA KADI YA TANU
Chairman wa TANU wa kwanza Mwanza nakumbuka jina lake Hussein Jumbe.
Kijijini Nyamazugo Geita kadi za TANU zilikuwa zikipatikana kwa Mzee wa Kimanyema jina lake Saadallah.
Hii ilikuwa katika miaka ya...
Wana familia ya Jf,
Naomba kujuzwa kampuni yenye mabasi mazuri yanayosafiri kuanzia Dodoma mjini kuelekea Mwanza mjini anifahamishe.
Sijawahi kufika Mwanza, ndio mara yangu ya kwanza na safari naanzia hapa Dom mjini.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu mtakao nipa taarifa njema, na pia...
Hivi hii serikali yetu ipo kwa ajili ya nini? Kweli inakubalije jiji kubwa kama Mwanza ambalo liko pembezoni na ziwa kubwa kuliko yote Afrika la Victoria kukaa zaidi ya wiki na maeneo yake kukosa maji?
Nimetembelea hapa na kukuta baadhi ya maeneo mengi wakilalamikia hali hiyo na MWAUWASA wao...
Mwezi Julai, kituo cha uwekezaji nchini(TIC) kilitoa takwimu mbalimbali kuhusu hali ya uwekezaji nchini huku Rukwa ikishangaza kwa kuongoza kuwa na uwekezaji mkubwa zaidi. China imeendelea kuwa nchi ya kigeni inayowekeza zaidi nchini huku sekta ya kilimo ikitia fora kwa ukubwa wa mtaji...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) leo tarehe 20 Agosti, 2023 amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA), Mhandisi Leonard Msenyele.
Mhe. Aweso amechukua hatua hiyo kwa mamlaka aliyo nayo kupitia Sheria Namba 5 ya...
Ni mji mzuri uliozungukwa na miamba. Wanapaita "Rock City". Hilo ndilo jiji la Mwanza.
Nakubali, ni jiji zuri, lakini pangeweza kuwa pazuri zaidi.
Kuna maeneo yaliyopangiliwa vizuri, kwa namna bora na ya kuvutia. Lakini kuna maeneo ambayo yanaashiria Mipango Miji walikuwa likizo pindi...
Serikali wilayani llemela mkoani Mwanza imeifunga bar maarufu ya The Cask Bar & Grill jijini Mwanza kwa tuhuma za ukwepaji kodi kwa kipindi cha miaka miwili.
Kwa mjibu wa Mkurugenzi wa manispaa ya llemela Kiomono Kibamba, amesema uongozi wa bar hiyo umekwapa kodi ya Serikali na kuendesha...
Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO's) 200 kati ya 613 mkoani Mwanza, yamewekwa chini ya uangalizi wa Ofisi ya Msajili wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali kutokana na kutowasilisha taarifa za utendaji kazi na kutolipa ada kwa wakati.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Msaidizi wa usajili wa...
Job Title: Forest Officer II (2 – Post)
Duty Station: Lake Zone
Required Qualifications
Holder of a Bachelor's Degree in one of the following fields; Natural Resource Management, Natural Resource Management for Sustainable Agriculture, Forestry, Agroforestry, Forest Resource Assessment...
Position: Forest Guard II (26- Posts)
Duty Station: Lake Zone
Required Qualifications
Holder of Form IV/VI who has attended a training of National Service/Militia/Fire and Rescue or related training from a recognized institution.
Main Duties
To guard and prevent unauthorized entry into...
Habari Wana JF,
Nimehitimu shahada ya Maendeleo Jamii. Natamani nipate internship au kazi halali. Msiulize kama sitafuti nipo natafuta na nimesambaza barua sehemu kadhaa lakini sehemu nyingi wanasema hawana nafasi so, kupitia Wana JF naweza kupata chochote.
Shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.