Habarini za asubuhi wakuu!
Ule mgogoro wa ardhi katikati ya Jiji la Mwanza mtaa wa Rwagasore kati ya Wananchi watano na mfanyabiashara nakumbuka walienda TAKUKURU baaae maafisa ardhi walihojiwa na DED Jiji aliondolewa kazini na mama lakini baadae Waziri Mkuu aliingilia kati na kumkabidhi...
Swala la Ukosefu wa Maji katika halmashauri ya Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza imekuwa sugu kiasi kwamba wananchi wanakosa walalamike kwa nani kutokana na kero ya ukosefu huo wa maji safi na Salama.
Kijografia Ilemela imezungukwa na Ziwa Victoria lakini upatikanaji wa maji safi na salama kwa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Kampeni Kabambe ya kuelimisha Wananchi kuhusiana na Umuhimu wa Katiba Mpya, na kuwaamsha wananchi juu ya jukumu la kulinda maliasili za Taifa, zikiwemo Bandari za Tanganyika zilizogawiwa kibwege kwa Waarabu wa Dubai kwa kisingizio dhaifu cha Uwekezaji...
Umuofia kwenu wana JF,
Msanii wa Bongo fleva aliyetikisa kanda ya Ziwa G RICO amefariki dunia leo ,G Rico alitamba na nyimbo kama Pole ya moyo, kesho etc. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
Habari za mchana wakuu.
Mimi niko ukerewe-Nansio. Natafuta wafanyabishara wa nafaka wa jumla walioko jijini Mwanza.
Nafaka ninazotaka ni kama vile maharage, karanga, kunde, dengu, choroko n.k
Nataka wawe wananitumia mzigo kwa njia ya meli.
Asante.
Halafu moderators mbona mnafuta sana nyuzi...
JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia, Maneno Thomas (35) mkazi wa Chamagati, wilayani Sengerema kwa tuhuma za kumchoma mikono mtoto wake kwa maji ya moto baada ya kumtuhumu kudokoa mboga ya majani aina ya chainizi.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa Mwanza...
Mwanafunzi wa Darasa la Pili katika Shule ya Msingi Kasomeko iliyopo Kata ya Katunguru, Deus Dalama (8) mkazi wa Wilayani Sengerema amejeruhiwa na fisi sehemu mbalimbali za mwili ambapo madhara makubwa aliyoyapata ni mnyama huyo kuondoka na mkono wa Deus.
Tukio limetokea Agosti 2, 2023 wakati...
Wakuu,
Mwezi wa 2 mwaka huu 2023, kulizuka taharuki maeneo ya Mtaa wa Makoroboi, jijini Mwanza, ambapo mgambo walikuwa na zoezi la kuwatoa wafanyabiashara hao kwenye eneo walilokuwa wanafanyia kazi. Nini kilifata, wamachinga walipewa maeneo au wamerudi kuendelea kufanya kazi bararani...
Dereva ambaye anatajwa kuhusika katika ajali ya gari iliyopoteza maisha ya watu 6 waliokuwa wakifanya mazoezi pembezoni mwa Barabara ya Sabasaba – Kiseke amepandishwa Mahakamani na kusomewa shtaka moja lenye makosa 15, leo Agosti mosi, 2023.
Mtuhumiwa ni Osward Kaijage Binamungu aliyekuwa...
Habari wana Jamii,
Ninatafuta mtu anayeweza kuendesha nyumba ndogo ya wageni iliyoko mjini Mwanza, maeneo ya Buswelu. Mwombaji kazi awe na elimu na uzoefu katika mambo ya biashara na kompyuta (kwa ajili ya uendeshaji wa biashara hiyo na kuitangaza katika majukwaa tofauti tofauti likiwemo la...
Jeshi la polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Oswald Kaijage (39) mkazi wa Buswelu kwa tuhuma za kusababisha ajali katika eneo la Kiseke mkoani humo na kupelekea vifo vya watu 6 na wengine 16 kujeruhiwa
Ajali hiyo ilitokea siku Jumamosi nyakati za asubuhi katika eneo la Kiseke Wilayani Ilemela...
Nianze kwa kusema ukweli kwamba Waziri Juma Aweso, Anafanya kazi kubwa ya kuhakikisha kwamba Tanzania tatizo la maji linakwisha lakini naamini watendaji wake ndio wanaomkwamisha.
Ni miezi mitatu sasa Jiji la Mwanza lililozungukwa na Ziwa Kubwa barani Afrika Wakazi wake tunakosa maji wakati ziwa...
Watu 6 wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari binafsi, ambalo limewagonga wananchi waliokuwa wakifanya mazoezi kandokando ya barabara eneo la Sabasaba Ilemela Mwanza leo Julai 22, 2023 majira ya asubuhi.
=====
Taarifa za awali ni kwamba Watu 6 wamefariki...
Ilipo Stand ya Igombe, Mtaa wa Posta Jijini Mwanza jirani yake kuna chemba ya kusafirisha maji machafu (Mavi) sasa chemba imefumuka ina wiki sasa.
Eneo lile linatoa harufu ile mbaya, maji yanatiririka kiasi kwamba kuna chembechembe za vinyesi ambazo zinaonekana na kuhatarisha afya za watu...
"Tutakapolimaliza ya bandari ya Dar es Salaam hata Mwanza hapa tuna bandari, tunawataka Waarabu hapa, waje Waarabu DP world sijui na nani, waje hapa watuendelezee bandari ya Mwanza.
"Tukitoka hapa tunahamia Ukerewe, tukitoka hapo ni visiwa vyote vya ukala, wape Waarabu. Waarabu oyeee...
Ndugu wanajamvi Habari za muda huu,
Nilifungua kesi polisi Igogo Mwanza na hii ni wiki ya tatu mtuhumiwa wangu hajakamatwa, mtuhumiwa amezidi kunitesa na kuniwinda njiani usiku ninapotoka kazini.
Mtuhumiwa alinitishia kunidhuru ila RB Inasoma Kutoa Lugha chafu, Hii Imekaaje? Na kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.