Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nna changamoto inayohitaji daktari wa ngozi, sasa nahitaji wenye uzoefu wanisaidie mawasiliano ya daktari mzoefu.
Mahali: Mwanza
Leo majira ya asubuhi hapa Wilayani Sengerema mkoani mwanza tulialikwa kwenye kikao cha watu kutoka TANROADS Mwanza wakielezea kuhusu mradi wa barabara ya Sengerema Buchosa agenda zao zilisema yafuatayo:
1. Watafanya upimaji hivi karibuni
2. Upimaji wa eneo la barabara ambao utajumuisha mita...
Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa Mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" ...
Miongoni mwa Mikoa ambayo nimewahi kutembelea nchini Tanzania ni Mkoa wa Mwanza 'rock city' ambao umebarikiwa vitu vingi vizuri; Ziwa Victoria lenye samaki pendwa na watamu aina ya Sato na Sangara lakini mbali na Ziwa Victoria, Mkoa wa Mwanza pia umebarikiwa miamba na mawe makubwa (rocks) yenye...
ONYO
Ukijijua Wewe ni Mhaya, Mnyaturu, Muha, Mnyiramba, Mrangi, Mkerewe na Mnyamwezi tafadhali kaa mbali na huu Uzi kwani nina uhakika kwa Ushamba wenu mkubwa hakuna mnachokijua na wote huwa hamna Ratiba za Kusafiri kutokana na kutokuwa na Pesa kama tulizonazo Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma )...
Wananchi wa Ilemela Mwanza tuna taabu kubwa, hapa naandika hii thread ni saa sita usiku, hawa Kwa Tunza lodge wanapiga muziki sauti ya juu sana hakuna kulala. Tena leo wamemualika DJ AllyB kila saa "Nasemaje", yaani tunasubiri alfajiri wakimaliza labda ndio tutalala.
Huyu Salum mmiliki wa Kwa...
Mfumo wa kodi ya uagizaji gari (used abroad) toka nje hususani Japan kuingia Tanzania unatisha na kushangaza sana...
Mathalani hivi inawezekanaje kodi na gharama zingine pale bandarini ziwe kubwa kuliko bei ya gari yenyewe? Msingi wa kutoza kodi kwa jinsi hii UNAKUWA ni nini eti..?
Nimeagiza...
Hongera kwao ila mwenye miaka 90 anaonekana Mzee Kupitia wa miaka 102.
=====
Masasila Kibuta (102) mkazi wa kijiji cha Nyamazugo wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza ameshangaza umati wa waumini wa Kanisa Katoliki Kigango cha Nyamazungo baada ya kufunga pingu za maisha na mkewe Chem Mayala (90)...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, linawashikilia watu saba kwa tuhuma za wizi na uharibifu wa miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Juni 17, 2023, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Wilbroad Mutafungwa, amesema watuhumiwa hao wamekamatwa...
Chini ya chuo Cha TIA Kuna chimbo linaitwa Green View linapiga live band usiku mzima.
Mziki wake ukiwa kata ya Mahina, Mhandu, Mecco, Buzuruga na maeneo mengine ya karibu usiku mzima Ni mwendo wa live band mwanzo mwisho.
Na wamiliki wanasema mziki wao wamefungulia asilimia 1 sijui hali itakuwaje...
Picha: Kushoto ni Freeman Mbowe, Kulia ni Amosi Makalla
Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:
"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Meli Mpya ya hapa kazi tu katika Bandari ya mkoani wa Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteremka kutoka ndani ya Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiri Tamasha la Utamaduni la Bulabo katika uwanja wa Redcross Ngomeni Kisesa mkoani Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2023.
Akizungumza kwenye Tamasha hilo linaloashiria Mwanzo wa mavuno, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Baada ya ziara ya rais Kanda ya Ziwa, CHADEMA wanatakiwa kwenda Kanda ya Ziwa kuelezea upande wa pili (mbadala) wa mkataba wa DP World ili wananchi waelewe ukweli ni upi.
Chadema wafafanue juu ya KIA kupewa Waarabu, BRT kuwa kwenye mjadala wa kukabidhiwa Waarabu (ukoloni mpya wa Kiarabu...
Misungwi. Wakati mamlaka nchini Kenya kutambua makaburi waliozikwa waumini wa Mchungaji, Paul Mackenzie, Mkuu wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Paulo Chacha ameibaini kuwepo kwa kanisa linaloendesha ibada tata.
Chacha amebaini kuwepo kanisa hilo juzi Juni 8,2023 katika Kijiji cha Nyamayinza...
Salaam Wakuu
Tarehe 14 Juni 2023, Rais Samia anatarajiwa kutembelea na kukagua Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi ambalo ujenzi wake umefikia 75%
Ujenzi wa Daraja TSh 602.19 bilioni. Daraja la Kigongo Busisi ambalo linajengwa katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, lina urefu wa kilometa 3.2.
Mchungaji huyu mwenye upako Kama yule Mackenzie wa Kenya anayelaza wagonjwa zaidi ya miambili kwa gharama za elfu sitini akiwa na wagonjwa mahtuti waliotoroka mahospitalini amekamatwa na kanisa kufungwa.
Wagonjwa wamerudishwa hospitalini na wengine kuamliwa kuondoka huku taharuki ya makaburi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.