mwanza

  1. Nyuki Mdogo

    MWANZA: Aliyefariki wiki chache nyuma akutwa akiwa mzima

    Wakazi wa Kijiji cha Salong’we kilichopo wilayani Magu mkoani Mwanza wamekumbwa na taharuki baada ya mtoto aitwaye Mabilika Wilson aliyefariki na kuzikwa tarehe 17 mwezi huu kupatikana akiwa hai katika Kijiji cha Mwangika wilayani Kwimba mkoani humo. Wilson Bulabo ni baba mzazi wa mtoto huyo...
  2. C

    Funzo kwa Viongozi wa Mwanza

    Habari wanajamii bila shaka mko vizuri, japo kuna changamoto za hapa na pale kama report ya CAG na mengineyo. Ila leo nakuja kwa kuwashauri na kuwahimiza kufanya mabadiliko na siyo kuwa na mazoea. Nikianza na viongozi wa idara ya Maji Mwanza (MWAUWASA), jamani mjifunzeni kwa wenzenu wa...
  3. Protector

    MWANZA: Jiji la Pili kwa Ukubwa lakini halipewi hadhi yake

    Nikiwa raia na mwananchi wa kawaida mpenda maendeleo, naandika barua hii kwa ajili ya mkoa wa Mwanza, ningependa sana kama Raisi wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hassani ukapata ujumbe huu. Basi hata kama kuna watu wapo karibu naye na wakasoma ujumbe huu basi wamfikishie. Au kama atabahatika...
  4. NetMaster

    Kwanini Mwanza vyuo havijengwi kama Kusini?

    Mwanza ndio jiji kuu la kanda ya ziwa, ukanda wenye Watanzania wengi sana walioelimika lakini kwanini serikali haitaki kujenga vyuo Mwanza? Mwanza imefikia hatua kiasi hata chuo kinachoonekana kikubwa ni SAUT maana hakuna vyuo vya serikali. Ukicheki kusini jiji kama Mbeya kuna Udsm chuo cha...
  5. KONK MASTER

    DOKEZO Mwanza ni Jiji la pili kwa ukubwa na wingi wa watu lakin Barabara ya Kenyatta ni mbovu na haina hadhi kabisa

    Ninamasikitiko sana ingawa Mwanza ni Jiji la pili baada ya Dar lakini barabara ya Kenyata ni mbovu sana kuliko barabara zote kuu za Tanzania. Serikali inatakiwa iiangalie hii barabara kwa jicho la kipekee, barabara inatakiwa ifumuliwe yote kuanzia Mwanza mjini hadi Shinyanga boarder km 104 na...
  6. Zombie S2KIZZY

    Nahitaji kiwanja Mwanza nina laki 8

    Wakuu hivi ni sehemu gani kwa Jiji la Mwanza naweza kupata kiwanja cha laki 8? Nataka nihamie Mwanza
  7. chiembe

    Meya wa Jiji la Mwanza, Sima Constantini Sima ajitathmini kama anastahili kuwa kiongozi wa Jiji la Mwanza

    Nadhani Meya ajitathmini kama ana uwezo wa kuisimamia halmashauri ya Jiji kama madudu yote yanafanyika mbele ya macho yake. Inafikia mpaka Rais, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mawaziri wanaingilia kati. Meya ni kama Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, kwa maana ni kiongozi wa madiwani...
  8. benzemah

    Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Sekiete Selemani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili, 2023. IKUMBUKWE KUWA: Mwanzoni mwa mwaka Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'alimshtaki' Mkurugenzi huyo kwa...
  9. D

    Nina shamba kubwa Mwanza ninauza kwa wawekezaji eka 18 lina hati nipeni soko,nifanyeje

    Ninauza shamba kubwa hekta 18 zilizopimwa karibu na ziwa huku Mwanza jamani nipeni maarifa namna ya kupata wateja linafaa kwa hoteli,kilimo,mifugo na apartments. Nipeni maarifa. 0622290094
  10. P

    Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

    Muda huu niko kwenye kivuko, kuna mbaba wa makamo amejirusha kwenye kivuko cha Busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea na safari bila msaada wowote R.I.P jamaa
  11. Eraldius

    Mnawaletea wananchi maji kwakuwa Makamu wa Rais yupo Mwanza, siku zote mnayapeleka wapi?

    Wasalaam wanajamvi. Leo karibia jiji la Mwanza lote mabomba yanatoa maji, hii ni kawaida yao wakuu wa Idara pindi watembelewapo na ugeni wa viongozi. Mfano wilaya ya Ilemela kuna maeneo unapita mwezi bila maji. Kwahiyo haya mlioamua kutubless leo siku zote yanaendaga wapi?
  12. Nyuki Mdogo

    Igoma - Mwanza: Jipatie king'amuzi cha Azam kwa 120,900 tu

    Habari za kuamka? Habari za mchana? Habari za jioni... Nauza Azam decoder hio kwa 120,900 tu. Igoma Mwanza. 0744 033 555
  13. Torra Siabba

    Pamba FC mkombozi wa soka la Mwanza

    Jana kulikua na mechi ya Kuwania kupanda daraja Mwanza, ambapo Pamba fc walikua wakicheza na Kitayose fc, huo mchezo ulimalizika kwa Pamba kutoka sare ya bila kufungana na Kitayose ya Tabora, Mwamuzi kwenye mchezo huo Emmanuel Safari alishindwa kuumudu mchezo huo baada ya kushindwa kutoa penati...
  14. Gullah

    House4Sale Nyumba inauzwa Nyangomango, Mwanza

    Nyumba inauzwa ina vyumba vinne, ina fensi, ina hati miliki, kiwanja ndani ya fensi ni kikubwa unapaki hata gari nne. Ipo Mwanza mtaaa wa Nyangomango Center, kutoka barabra kuu ni sekende arobaini kwa miguu, bei Milioni 33 na maongezi yapo kidogo. Mawasiliano: 0717254233 mwanz
  15. Stephano Mgendanyi

    Mary Masanja Achangia Milioni 21 na Kugawa Mitungi ya Gesi 700 kwa Wanawake Wajasiliamali Wadogo wa Mkoa wa Mwanza

    MBUNGE MARY MASANJA ACHANGIA MILIONI 21, AGAWA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI WADOGO MKOA WA MWANZA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amechangia Shilingi Milioni 21 na amegawa mitungi ya gesi 700 kwa wanawake...
  16. D

    Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Mwanza awataka wanyonge kukataa wanaomtukana Hayati Magufuli

    Askofu Mkuu jimbo Catholic Lenatus Nkwande ameongoza misa leo uwanja wa Kawe Kamo umefurika watu wakiwa wamekusanyika kumkumbuka Magufuli kwa kweli Magufuli anapendwa. Baba askofu amewausia kuendelea kumuombea Magufuli na kuwaombea haters wake wakiwemo walamba asali na wazuri hawafi. Pia...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Furaha Matondo akabidhi viti mwendo 70 Wilaya zote Mkoa wa Mwanza

    MBUNGE MHE. FURAHA N. MATONDO AKABIDHI VITI MWENDO 70 KWA WALEMAVU KWA WILAYA ZOTE, MWANZA Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Mwanza Mhe. Furaha N. Matondo katika ziara yake aliyoifanya Wilaya zote za Mkoa wa Mwanza amekabidhi Viti Mwendo 70 kwa watu wenye ulemavu Mkoa wa Mwanza. Hafla ya...
  18. Torra Siabba

    Mwanza, jiji linaloongoza kuwa na mbuzi watembea bure

    Mwanza Bwana ni Jiji linalokua kwa kasi sana, hilo linatokana na watu kuongezeka na Serikali imeweka miradi mingi ya kimkakati katika jiji hilo, lakini cha ajabu ni kwamba Mwanza ni mji unaoongoza kwa kuwa na mbuzi (wanyama) ambao hawana mwenyewe. Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia mbuzi...
  19. JanguKamaJangu

    Mwanza: Mzee wa miaka 50 atuhumiwa kumbaka binti wa miaka 7

    Mwanaume mmoja mwenye umri zaidi ya miaka 50 aliyejulikana kwa jina la Hakimu Juma, mkazi wa Chamwenda, Kata ya Nyansaka Wilayani Ilemela Jijini Mwanza amejikuta matatani baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kumbaka binti wa miaka saba mtoto wa jirani yake. Inadaiwa kwamba mzee huyo amekuwa na...
  20. RingaRinga

    Tetesi: Ajali ya basi la Kimotco linalofanya safari kati ya Arusha - Mwanza

    Nimetumiwa ujumbe na mtu anayedai amesafiri na binti yangu leo na gari imepata ajali maeneo ya Babati na kwamba majeruhi wamepelekwa hospitali ya Dareda. Nampigia simu mhusika hapokei tena, Mwenye taarifa zaidi?
Back
Top Bottom