Kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo kuna daraja limejaa maji yanapita mpaka juu eneo la Mkuyuni sokoni.
Foleni ni kubwa kuanzia mjini na upande wa kuingia mjini foleni magari yamesimama mpaka buhongwa, kama una plan ya kuja au kutoka mjini bora ukae kwako maana njiani...
Miradi 22 yenye thamani ya zaidi ya Sh6.5 bilioni iliyochunguza na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania (Takukuru) mkoani Mwanza imebainika kuwa na mapungufu kadhaa ikiwemo ukiukwaji wa taratibu za manunuzi, kasi ndogo ya utekelezaji na ubora hafifu.
Kwa mujibu wa Mkuu wa...
Mwanza ni Jiji la pili Tanzania linalokua kwa kasi kutokana na Wingi wa watu na miradi mikubwa ya kimkakati ambayo imejengwa kwenye jiji hilo, Lakini mbaya zaidi ni kwamba takribani mikoa yote ya Tanzania ukiacha mkoa wa Mara huingia Mwanza kupitia njia kuu ya Shinyanga, kisha Buhongwa na Baadae...
Kwa muda sasa imezuka tabia ya baadhi ya madereva wanaoendesha magari yanayofanya ruti ya Usagara kwenda Kisesa, Buswelu, Kisesa, Buzuruga kupitia Mwanza Mjini kupandisha nauli kiholela tofauti na utaratibu unavyoongoza.
Kikawaida nauli ya kutoka Usagara kufika Mwanza Mjini aidha unashukia...
Hii ni endelevu au mnawaonjesha wasukuma uhondo waliokuwa wameuzoea wakati wa fast jet?.
=========
Kutoka kwa mdau humu jukwaani.
Rodney01 "Kutoka kwa chanzo cha ndani..ni kwamba ilikuwa ni ofa ya siku moja..hiyo ndege ilikuwa imenunuliwa na shirika na ilikuwa inapelekwa Mwanza kufanyiwa...
Habarii Wana jf,Nyumba ya room tatu moja Master room,sebule kubwa, public toilet,store pamoja na jiko,ina uwanja wa 15mx30m ipo misungwi mkoa wa mwanza mawasiliano +255 769 088 152.
Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote, karibuni sana.mawasilano +255 769 088 152
Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wanawake wa Tanzania Bara wanamilikia Nyumba zao wenyewe kwa 18.1% ukilinganisha na Wanawake wa Zanzibar 12.8.
Wanawake wa Vijijini wanamiliki Nyumba zao kwa 18.8 ukilinganisha na Wanawake wa Mijini wanaomiliki nyumba kwa 16.5.
Orodha ya Mikoa yote...
Nimeona kupitia Star tv Mkuu wa Wilaya Mh Makilagi akiwataka Wananchi wajitolee kuchimba Misingi ya madarasa halafu wahisani wa kujenga watatafutwa
Makilagi alikuwa kwenye Shule ya Msingi inayotumia Jina la Kiongozi mmoja Mkuu hapa nchini
Makilagi amesema katika Shule hiyo Wanafunzi 250...
Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo.
Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
Mwanza: Wasafiri ya Ndege ya Precision Air, Wakatazwa kupanda na mizigo yao kwa sababu ya ndege kujaa sana na haina uwezo kwa sababu za kiufundi
Kitendo hicho kimewatia wasiwasi wasafiri wa ndege hiyo ambao imechukua masaa mawili hadi kukubali kupanda ndege hiyo ambayo walitaka maelezo ya kina...
Mfanyabiashara maarufu kijana jijini Mwanza anaingia katika orodha ya Watanzania wachache nchini na labda pia anaweza kuwa kati ya watu wawili watatu wasio na asili ya Kiasia kumiliki ndege binafsi ya kupigia misele.
Kijana huyo (jina kapuni kwa sababu za kibiashara na kiusalama) ni...
Wamiliki na madereva wa daladala jijini Mwanza wamesema watasitisha kutoa huduma ya usafiri kwa wakazi wa jiji hilo kufuatia uwepo wa bajaji mjini zinazobeba abiria katika vituo vya daladala na kupelekea wao kushindwa kufanya kazi.
Hayo yamebainishwa kwenye kikao maalum kilichowakutanisha...
Mnamo tarehe 08 February 2023 kulitokea vurumai katikati ya jiji la Mwanza baada ya Mgambo wa jiji kuanza kuwashambulia wachuuzi wa biashara hapo mjini.
Vurugu hizo zilipata upinzani kutoka kwa wamachinga ambao kimsingi ni wahanga wakubwa wa kamati za ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote...
Wamachinga wa Mwanza waliandamana leo kupinga maamuzi ya uongozi wa soko la makoroboi la kuwahamisha
Wamachinga hao wametaka ujumbe umfikie Rais Samia kuwa wananyanyasika na kama wanataka kuharamisha umachinga basi wawatafutie kazi nyingine za kufanya
Machinga wanarusha mawe maduka ya watu na wamefunga barabara wameweka mawe barabarani serikali iwasaidie wananchi Hawa.
====
Imedaiwa kuwa vurugu zilizotokea ni kati ya wafanyabiashara wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga kukwaruzana na Mgambo ambao walikuwa na zoezi la kuwatoa kwenye maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.