Mamlaka ya Maji Safi na Maji taka jijini Mwanza (MWAUWASA) mnatakiwa kujitafakari kutokana na utendaji kazi wenu mbovu ambao mwisho wa siku kama msipokemewa yatakuwa mazoea sasa.
Hivi sasa ni wiki ya pili Barabara ya Posta jirani na Benki ya Kilimo Katikati ya jiji la Mwanza kuna Chemba ya Maji...
Stendi mpya ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza imeanza kazi rasmi leo tarehe 5/6/2023 huku uzuri wake ukiwaacha hoi wananchi na kusema iko vizuri zaidi ya viwanja vingi vya ndege.
Ikumbukwe jiwe la msingi la ujenzi wa stendi hii liliwekwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli...
MHANDISI - UWANJA WA NDEGE MWANZA UMEKOSEWA, VIGEZO HAVIKUZINGATIWA UWE WA KIMATAIFA
Hayo yameelezwa na mhandisi wakati mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Amos Makala alipofika kuangalia ujenzi unaoendelea.
Mhandisi huyo anafafanua kuwa maelekezo ya mwanzo waliyopewa wakati wa uanzishwaji wa mradi...
Habari zenu wadau.
Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town).
Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato.
Tofauti kabisa na...
Leo nimemsikia RC Makala akitembelea jengo la uwanja wa ndege Mwanza nakutoa maelekezo kadhaa ya kukwamua mradi huu, kitu kikubwa alichokieleza ambacho anapaswa akifanyie kazi ni kukabidhi jengo hili TAA bila hata masharti yeyote.
Masharti ya kupewa asilimia halmashauri eti kwa vile...
Hapo jana jioni makachero wa Mashujaa FC wamebaini mauzauza waliyofanya timu ya Pamba FC kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kwa kuchimba sehemu za uwanja na kufukia Ndumba.
Maeneo ambayo wamechimba ni kwenye sehemu za kupigia penat kwa magoli yote mawili na upande mmoja ndani ya 18 na...
Maandamano ya wamiliki wa Baa na Kumbi za starehe wakiandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Mwanza baada ya kumbi/ Baa Kuzuiwa kufanya uchafuzi wa Mazingira kwa Kelele zilizozidi viwango.
Inadaiwa kuwa Mbunge Musukuma ndiye ‘mastermind’ wa hii kitu, kama hivyo ndivyo basi kuna shida...
Mimi nianze kwa kumpongeza mbuge wa nyamagana na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza bw adam malima kwa kusemea kwa nguvu kubwa ukamilishaji wa uwanja wa ndege wa mwanza, jengo la abiria na miundo mbinu yake.
Suala la uwanja wa ndege ni la muda mrefu sana kila mara hupigwa chenga,hata bajeti ya...
Mwili wa kichanga kinachokadiriwa kuwa na umri wa wiki tatu umekutwa umetupwa kwenye njia ya mtaa wa Kileleni kata ya Kitangiri wilayani Ilemela mkoani Mwanza hali iliyozua sinfofahamu kwa wananchi wa eneo hilo.
Wakazi wa mtaa huo wamesema majira ya saa moja asubuhi wakati watoto wao wakienda...
Habari wadau. Nahitaji kununua GPS, kwaajil ya kunisaidia kuchukua coordinates kwenye maswala ya uchimbaji (mining).
Budget yangu ni kuanzia Tshs 400,000/= mpaka 900,000/=
Kama nikapata contacts za dukani kwa Mwanza au Geita nitashukuru zaidi
Na kutokana na Uwingi wa Watu kwa sasa Mkoani Mwanza huku Mahitaji yakiwa mengi na Masoko Kuongezeka hasa Soko Kuu ili Kujikinga na Mabalaa yasiyotarajiwa ( hasa Moto ) naishauri Serikali kuanzia leo iongeze Gari za Zimamoto Mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo:
1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
chalamila
dar
fundi
habari
kale
kauli
makala
mikoa
mungu
mwanza
sato
taarifa
uhamisho
vyombo
vyombo vya habari
wahaya
wakuu
wakuu wa mikoa
wanaume
wanaume wa dar
wasukuma
Kamanda Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo ameeleza kuhusu tukio la mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Marco Samwel (32) ALIYEJIKATA NA KUONDOA KABISA UUME WAKE.
Kamanda Mutafungwa ameeleza kuwa lengo la kijana huyo...
Mwanaume mmoja ajulikaye kwa jina la Marco Samweli mwenye umri wa miaka 32 mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kibitilo kata ya Ilula wilayani Kwimba mkoani Mwanza amejikata uume wake na kisha kuutupa kwa kutumia kisu kwa madai kuwa amechoka kuumwa ugonjwa uliokuwa unamsumbua.
Kamanda wa polisi mkoa...
Mkazi wa Kijiji cha Kibitilo kata ya Ilula Wilayani Kwimba mkoani Mwanza Marco Samweli mwenye umri wa miaka 32 amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya kanda Bugando baada ya kujikata nyeti zake kwa kutumia kisu na kisha kuzitupa kwa madai ya kuwa amechoka kuumwa ugonjwa uliokuwa ukimsumbua kwa...
MHE. HAMIS TABASAM AWAKARIBISHA WANAMWANZA KWENYE SHEREHE ZA MEI MOSI ZITAKAZOFANYIKA SENGEREMA
Mbunge wa Jimbo la Sengerema Mkoa wa Mwanza, Mhe. Hamis Tabasam amewakaribisha wananchi wa Sengerema na Mwanza kwa ujumla kushiriki maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi zitakazofanyika Sengerema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.