mwendokasi kivukoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni zarejea baada ya kusitishwa kwa takribani mwaka mmoja

    Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Baada ya zoezi la ukarabati, nimebaini kuwa huduma zimerejea katika hali nzuri. Miundombinu imekarabatiwa, na kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Vyoo Kituo cha Mwendokasi Kivukoni vyaanza kukarabatiwa baada ya kuripotiwa kusitisha huduma kwa kipindi kirefu

    Juzi, takribani siku tatu zilizopita, niliona andiko la mdau likielezea kero ambayo sisi abiria tumekuwa tukikumbana nayo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Kwa zaidi ya miezi mitano, huduma za vyoo zilikuwa zimesitishwa, hali iliyowalazimu baadhi ya watu kujisaidia haja ndogo katika korido...
  3. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Abiria Mwendokasi-Kivukoni walazimika kutumia korido kujisaidia haja ndogo kutokana na vyoo kutofanya kazi

    Mimi ni mkazi wa Mbagala na nafanya shughuli zangu katika Soko la Samaki Ferry. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia usafiri wa Mwendokasi kwenda na kurejea nyumbani. Kituo ninachoshukia ninapoenda kazini na kupandia ninaporejea nyumbani ni Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Nasikitika kuona abiria...
Back
Top Bottom