mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Rais kaamua kuleta mabasi ya mwendokasi mapya kabisa?

    Nimepita katika U Turn ya Shekilango kurudi Ubungo nimekutana na msululu wa mabasi ya mwendokasi mapya kabisa yakitokea njia ya Mbezi kurudi town. Hakika Mama yangu Rais Samia matunda ya kazi yako nayaona na Mungu akulinde katika kila hatua yako.
  2. LICHADI

    Ziara za Waziri Mkuu zinanitia mashaka, hasa ile ya Mwendokasi

    Kiukweli kati ya viongozi ambao siwaamini wa kwanza ni Mhe Majaliwa, kwa nini nasema hivi... Miezi miwili iliyopita alifanya ziara pale Mwendokasi akakuta hali ni mbaya magari yamekufa pesa zinaibiwa, watu wanabanana kwenye magari yaani alikuta hali mbaya ila cha kushangaza ni miezi miwili sasa...
  3. I

    UDART vipi mnasitisha huduma saa nne usiku stendi ya Mbezi?

    Jana abiria tuliotoka mikoani tulioshuka mida ya saa nne usiku pale stendi kuu ya Magufuli tulipigwa na butwaa pale usafiri tulioutegemea kututoa huko kutusogeza mjini ukikosekana! Tulitoka stendi ya Magufuli tukajikongoja na mizigo na wengine wakiwa na watoto wadogo kufika mbezi stendi...
  4. Donnie Charlie

    Serikali kurejesha matumizi ya kadi kwa abiria mabasi ya Mwendokasi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu ameagiza kuanzia Julai Mosi mwaka huu, kuanza uhakiki wa tiketi za kielektroniki katika usafiri wa mabasi yaendayo kwa haraka kwa kutumia mfumo wa posi ili kudhibiti upotevu wa mapato. Amesema kuwa...
  5. fantastic philip

    Wasafiri tuwe makini na wanatudhulumu uhai wetu

    SOMO KWA WASAFIRI (PART 1) 1/Ili ni somo kwa ajili ya kusaidia mamlaka husika au wadau mbalimbali kutambua haki zao. 2/Leo tutaanza na somo la kampuni husika za mabasi kwenda na muda, hapa lazima tuweke sawa kuna tofauti kubwa kati ya kwenda na muda na kwenda mwendo kasi. 3/Kuna wimbi kubwa...
  6. RRONDO

    Je, wameondoa vibao vya mwendokasi kuzidi?

    Je, ushawahi kupigwa tochi ambayo huielewi? Yaani umefuata vibao vyote vizuri kabisa lakini unafika mbele unaoneshwa picha kwenye 50kph zone imepita na 85kph au zaidi? Twende pamoja. Kawaida ukifika eneo linalokutaka uende mwendokasi fulani kuna kibao(50kph mfano) na ukimaliza eneo hilo kipo...
  7. I

    Madereva mwendokasi hebu jaribuni kuwa waungwana

    Tukiwa tunasubiri gari ya Kivukoni stendi ya Kimara terminal leo Ijumaa Mida hii saa 7:50. limekuja gari la Kivukoni Express likasimama sehemu ya mabasi ya gerezani badala ya sehemu yake ya kivukoni. Abiria tukakimbilia kutaka kupanda cha ajabu baada ya idadi ndogo ya watu kupanda na abiria...
  8. William Mshumbusi

    Kama Serikali inashindwa kuendeleza miradi midogo kabisa ya Mabasi ya mwendokasi. Je, hiyo treni na ndege wataweza kweli?

    Serikali haiwezi kufanya biashara. Hasa hizi za kwetu. Kama Waziri Mkuu anaona madudu kwenye mradi wa mwendokasi. Kama Serikali imeshindwa kufanya miradi ya reli ya Kati na TAZARA, vivuko, ndege na sasa Mabasi ya mwendokasi kujiendesha ni wakati wa kubadili mtazamo. Wajiondoe waruhusu sekta...
  9. J

    Waziri Mkuu: Mabasi mabovu ya mwendokasi ni bora Serikali iyauze kuliko kuyaacha yakiozea pale yard

    Waziri mkuu mh Majaliwa ameshauri mabasi mabovu ya mwendokasi ni bora yauzwe kuliko kuyaacha yakioza pale yard Waziri mkuu amesema hayo baada ya kushuhudia mabasi takriban 50 yakiwa yamelala kabisa kwa ubovu na yakizidi kuchakaa. Chanzo: ITV habari Ramadhan Kareem!
  10. Yoda

    Biashara ya mabasi ya mwendokasi (UDART) ikadhibiwe Sekta Binafsi kabla haijafia mikononi mwa Serikali na kuitia aibu kubwa

    Waziri mkuu wa JMT leo ametembelea biashara ya UDART katika eneo la Gerezani amekuta mfumo wa kutoa tiketi na kuhakiki wa kielektroniki hautumiki badala yake tiketi zinaprintiwa, zinawekwa pembeni, abiria akigaiwa tiketi hakuna uthibitisho kama ni ya serikali kweli au za wajanja nje ya Serikali...
  11. Replica

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada ya kutokea mgogoro kati ya supplier na alieununua. Meneja huyo amesema mfumo mpya unajengwa na...
  12. FRANCIS DA DON

    Ujenzi wa barabara ya mwendokasi, Magomeni - Karume waanza kwa fujo

    Naona barabara ya kuelekea Karume tokea Kigogo 2014 inayotokea magomeni imeshaanza kufumuliwa na kutanuliwa kwa fujo, tayari kwa kutandikwa mkeka wa BRT. Taarifa zimfikie CAG. Leo naweka picha kabisa.
  13. Nyankurungu2020

    Safari za Treni ya Mwendokasi kuanza Agosti mwaka huu, 2021

    Hayo yamesemwa na Waziri wa ujenzi na uchukuzi Leonard Chamriho. Ameyasema haya baada ya kamati ya kudumu ya bunge ya miundo mbinu kutembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa Sgr kipande cha Dodoma mpaka Dar es salaam. Hivyo amesema kuwa safari za Dar mpaka Morogoro zitaanza mwezi Agost baada ya...
  14. Hivi punde

    Hizi ndizo changamoto kuu mbili mradi wa treni ya mwendokasi Dar ~ Moro

    Serikali ina wazo zuri. Serikali imeamua kuleta maendeleo hasa miundombinu ya usafiri. Mradi wa treni ya mwendokasi Dar Moro ambayo itakuwa inasafiri kwa speed ya 160 km/hr ni idea nzuri sana.Tatizo la mradi huu ni :- 1. Umeme wa uhakika muda wote treni iwapo kazini (?) 2. Reli zetu haziko...
Back
Top Bottom