mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Faana

    ONYO: Abood Bus waonye Madereva wako, Mwendokasi unaua abiria wasio na hatia

    Nipo kwenye Abood Bus T 818 DXJ linalotoka Dar - Morogoro, dakika chache zilizopita tumenusurika ajali kugongana uso kwa uso na lorry karibu na Imperial Sec School Chalinze kisa ni dereva wa Abood kuwa kwenye mwendo mkali na kuovertake lorry lenye namba T662 DEM sehemu isiyoruhusu wakati mbele...
  2. BARD AI

    DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea

    Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu iliyopata zabuni ya kuendesha mradi wa Mabasi hayo itaanza utaratibu huo Novemba 2022. Pia, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Usafirishaji wa DART, Fanuel Karugendo amesema wameipa miezi 6 kampuni hiyo kuingiza mabasi mapya na kwa kuanza...
  3. Replica

    Mabasi 750 ya mwendokasi kuanza kazi Mbagala Machi mwakani

    Mabasi 750 Yaendayo Haraka yanatarajiwa kuanza kufanya kazi katika barabara ya Mbagala jijini Dar es Salaam, Machi 2023. Mradi huo ambao ni awamu ya pili unatarajiwa kuanza na mabasi 750 kutokana na wingi wa watu katika eneo hilo. Mradi wa mwendokasi Mbagala utasaidia kusafirisha abiria...
  4. Msanii

    Ajali ya Mwendokasi, Dereva akimbia

    Kumetokea ajali inayohusisha basi la Mwendokasi na mtembea kwa miguu. Ajali imetokea ahsubuhi hii kwenye barabara ya Mwendokasi mbele ya Hoteli ya Kempiski Hyatt Zamani Kilimanjaro Hotel. Basi la Mwendokasi likitokea Posta ya Zamani, dereva wake hakujali kivuko cha watembea kwa miguu alimgonga...
  5. BigTall

    Huyu abiria wa Mwendokasi kanikera sana, Wabongo tutaacha lini hizi tabia za kueleza mambo binafsi kwenye "public"?

    Leo asubuhi wakati nimepanda mwendokasi kuna mwamba mmoja nimekutana naye siyo mara ya kwanza mimi kumkuta kwenye gari, nadhani kama sijakosa itakuwa mara ya pili au tatu. Sasa huyu mwamba alikuwa akipiga stori na mtu aliyekuwa amesimama naye karibu, nadhani wanafahamiana, sasa huyo jamaa...
  6. Nyendo

    Nairobi: Mradi wa Mabasi ya Mwendo kasi (BRT) umekwama kwa sababu ya ukosefu wa fedha

    Kukamilika kwa mradi wa wa BRT, Usafiri wa Haraka wa Mabasi Nairobi kunacheleshwa na kutosekana kwa ufhadhili. Mfumo wa BRT ulitazamiwa kutoa suluhisho la kudumu la msongamano wa magari katika jiji na viunga vyake, ahadi ya njia salama, bora na ya bei nafuu ya usafiri wa umma ambayo bado...
  7. Zainab j

    Tetesi: Nasikia kuna nyumba zinatakiwa kuvunjwa maeneo ya Mbuyuni Tegeta ili kupisha stendi ya Mwendokasi

    Wakuu Kuna dada ana mji wake na gesti maeneo ya karibu na mizani ya pale njia ya tegeta, Ananiambia kuanzia pale mbuyuni upande wa kulia yanapopaki maroli kwenye eneo la Rupia,na nyumba zote za upande hule kwendea Hadi kule upande wa chini karibu na hilipo mizani ya TANROAD, Kuna nyumba...
  8. M

    Tunaomba taarifa rasmi kama Wananchi wa Kunduchi tunatakiwa kupisha mradi wa Mwendokasi

    Dear Serikali, kuna tetesi kuwa wananchi wako wa Kunduchi Mbuyuni wanatakiwa kuondoka kupisha mradi wa Serikali wa mwendokasi. Tatizo wananchi hatujawekwa wazi kuhusu huo mradi. Taarifa zinakuja kienyeji. Mfano mimi jana ndo mjumbe ananipigia simu kunieleza kwamba watu wa kuthaminisha maeneo...
  9. Tajiri Kichwa

    Serikali yatangaza tenda ya ujenzi wa mwendokasi kutoka Maktaba ya Taifa Posta- Mwenge- Ubungo-Tegeta

    Nimeona katika gazeti Serikali inatafuta kampuni ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi pamoja na vituo vyake. Kutoka maktaba ya taifa to Mwenge/Ubungo 13.5 km utakuwa na vituo visivyopungua 20 Kutoka Mwenge to Tegeta Dawasa 15.63 km itakua na vituo visivyopungua 19. Ujenzi wa phase 4 katika...
  10. BARD AI

    Barabara za Mwendokasi zinadharaulika na wenye mamlaka wenyewe

    Matukio ya magari yasiyohusika kupita kwenye barabara ya mwendo wa haraka, yameibua hisia za kudharau utendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) na Sheria ya Usalama Barabarani. Uvunjifu wa sheria na taratibu zilizowekwa umeonekana kufanywa zaidi na magari ya vyombo vya usalama, magari...
  11. BARD AI

    DART: Magari pekee yanayoruhusiwa kutumia njia za Mwendokasi

  12. Mtemi mpambalioto

    Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  13. JanguKamaJangu

    Ajali: Mabasi mawili ya Mwendokasi yamegongana leo Septemba 13, 2022

    Kuna taarifa kuwa kumetokea ajali ya mabasi mawili ya Mwendo Kasi maeneo ya Mbezi kwa Yusuph, Dar es Salaam, leo Septemba 13, 2022. Kuna mwenye taarifa kamili kuhusu tukio hili?
  14. Artifact Collector

    Kigwangalla kushangaa UDART kushindwa kuendesha mwendokasi ni unafiki wa kiwango cha juu

    Udart kushindwa kuendesha mwendokasi sio suala la kushangaa ni unafki sana kushangaa kama wameshindwa. Kingwangala kama walivyo watanzania wengi anasumbuliwa na unafiki pale wanaposhangaa kuona udart wameshindwa mwendokasi. Yani unajenga barabara unamuita Mchina aje kuweka mabus abebe faida...
  15. J

    Naarifiwa wiki hii wanaopita kwenye barabara za Mwendokasi Kimenuka wanakamatwa na maafisa wa UDART, hawaangalii Jeshi, Polisi wala nani

    Kipindi cha mwendazake watu walikua na adabu hasa kufuata sheria bila shuruti ila kwa sasa Mama wanamchukulia poa, pale Jangwani barabara za Kasi wako MP kabisa inamaa Polisi nao wamweshindwa kazi. Tanzania ni nchi ambayo kufuata sheria hasa kwa viongozi ni kitendawili wakati Ulaya ndio takwa...
  16. MUTUYAMUNGU

    Waziri Bashungwa, mikoani hatuhitaji mabasi ya mwendokasi

    Matatizo yetu huku mikoani sio mabasi ya mwendokasi. Maliza kwanza changamoto za hayo mabasi japo Dar. Mengi ni mabovu, machache na hata spika hazifanyi kazi kuwaambia abiria kituo kinachofuata. Nenda Kimara ongea na wananchi wakupe changamoto za hayo mabasi kisha uzifanyie kazi. Huku mikoani...
  17. G-Funk

    Kwa jinsi mwendokasi unavyojengwa na flyover tutashuhudia mengi

    Ukiangalia tu kwa karibu jinsi ambavyo mwendokasi unajengwa na madaraja ya flover yajayo ikiwamo la kurasini na Vetah pale. Utagundua aidha mkandarasi amepewa standards za chini tofauti na aliyejenga phase ya kwanza ya Kimara Mwisho hadi posta pamoja na Morroco. Barabara zimeunganishwa na...
  18. emmarki

    Nauza mbegu za pilipili (mwendokasi)

    Nina mbegu za pilipili mwendokasi rangi ya njano OPV, siyo Hybrid. Zimechambuliwa vizuri na zinazaa vizuri sana Kilo moja ni shilingi elfu thelatini na nane 38,000/= Natuma popote kwa uaminifu mkubwa Piga/sms/whatsapp 0752042670 Karibu sana
  19. Head prefect

    Kero ya kusota vituo vya mwendokasi muda mrefu

    Wakuu Salaam. Sijui kama watu wengine wanakerwa na huu utaratibu. Kumekuwa na utaratibu abiria wanakaa sana vituo vya mwendokasi haswa Gerezani, Msimbazi B na Msimbazi A huku mabasi yamepaki Gerezani kule madereva wanapiga hadithi. Ni nini maana ya kuita Rapid Transfer ikiwa abiria anakaa...
  20. mwilawi

    Madalali wa pilipili mwendokasi

    Naomba kama kuna mtu anawafahamu madalali wa pilipili za mwendokasi kwa dar anijuze ili nifanye nao biashara kwa zao la pilipili mwendokasi aka Habanero
Back
Top Bottom