mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. fantastic philip

    Madereva wa kampuni ya mabasi ya Sauli wamshambulia abiria aliyeripoti kuhusu mwendokasi

    Dereva wa basi la Kampuni ya Saul T 485 DXE wamemshambulia abiria kisa kureport gari ikiwa na speed 115-120. Kutokana na story ya muhusika anasimulia kuwa alikua na App ya kusoma speed ya gari na kutuma kwenye group la wasafiri mojawapo. Baada ya muhusika kurecord tukio hilo kwenye group...
  2. menny terry

    Mradi wa barabara ya mwendokasi Kilwa Road

    Wakuu! Jana nimetembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa kipande hiki cha barabara kutokea mbagala hadi kariakoo! Hakika inapendeza sana. Asilimia kubwa imekamilika hivyo soon mradi huu utakuwa unaanza kazi! Lakini tofauti niliyoiona ni kuwa ile awamu ya kwanza ambayo ilijengwa Na strabag...
  3. Marumeso

    Kigamboni: Hivi Kwanini Mwendokasi Wanazikataa N-CARD?

    Hizi kadi za kielektroniki zililetwa kwa mbwembwe nyingi na ilielezwa zitatumika maeneo mengi ya kufanya malipo ikiwa pamoja na mwendokasi. Lakini cha ajabu leo hii kadi hizi zinatumika kwenye mpira wa ligi kuu na kule kwenye vivuko/pantoni za kuvukia kigamboni tu basi. na ukifika maeneo haya...
  4. mwilawi

    Msaada wa rangi kwenye tunda la pilipili mwendokasi

    Naomba msaada mimea yangu ya pilipili mwendokasi, matunda ambayo hayajaiva yanaonyesha hali ya rangi kama ubluu hivi (nimeambatanisha picha ) hilo ni kawaida au ni ukosefu wa nini. Natakiwa nifanyeje kwa hali hiyo. Mimi ndio nimeanzisha hiki kilimo. Niko Dodoma.
  5. John Haramba

    DART kuleta mabasi mapya 95 ya mwendokasi

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umesema mwaka huu utaongeza mabasi mengine mapya 95 ikiwa ni sehemu ya hatua za kupunguza msongamano wa abiria kwenye vituo vya mabasi hayo. Mtendaji Mkuu wa Wakala huo, Dk. Edwin Mhede alibainisha hayo jana wakati akifungua mafunzo kuhusu mipango ya...
  6. kimsboy

    Kamati ya Bunge yabaini Mwendokasi wanajiendesha kwa hasara

    Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara. Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni wengi hakuna muda unakuta mwendokasi haijajaa sasa hizo kauli za kwamba wanajiendesha kwa hasara...
  7. kimsboy

    Hivi unakubaliana na kauli kwamba Mwendokasi wanajiendesha kwa hasara?

    Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni wengi hakuna muda unakuta mwendokasi haijajaa sasa hizo kauli za kwamba wanajiendesha kwa hasara...
  8. Jidu La Mabambasi

    Bodaboda mkaidi aponea chupuchupu barabara ya mwendokasi, pikipiki yashika moto

    Wanakatazwa kila siku, si polisi na hata Wizara na UDART. Leo bodaboda mkaidi kaingia njia ya mwendokasi na kuishia kugongwa na kuburuzwa hadi pikipiki ikawaka moto.
  9. mgt software

    Bunge la S.Sitta (Mwendokasi) Mhimili Imara si Bunge la Ndugai (Dhaifu), tunda la udhaifu limeonjwa na UVCCM

    Wana JF. Giza Nene lenye bundi limemfunika bwana Jobo, kakutana na mabundi wasiokuwa na huruma. Haya yote ni matokeo ya kulazimisha kila kitu kiende kigizagiza kwa kukanyaga katiba. Mabundi furaha huwa wanategemea baada ya giza totolo watapata nini, kelele za atoke zilishamili sana bila...
  10. JAYJAY

    Nani Kairudisha CT Security, UDART (MwendoKasi)?

    Hii kampuni iliwahi kuhudumu kwenye mradi wa Mwendokasi kipindi fulani na baadae kupewa kazi hiyo Suma JKT. Sasa inaonekana kampuni hiyo imerudi tena ulingoni. 1. Je, nini kilifanya iondolewe mwanzo na sasa kurudishwa? 2. Ina maslahi gani na kampuni ya UDART? Au mmiliki/wamiliki wake ni nani...
  11. maroon7

    Mwendokasi imerudi kwenye mstari. Pongezi kwenu

    Wakuu tusiishie kutoa lawama mambo yanavyokuwa mabovu halafu yakiboreshwa tusitoe pongezi. Feedback ni muhimu iwe positive au negative. Kwa sasa kero nyingi sana za mwendokasi zimetatuliwa kiasi ambacho huwezi sikia malalamiko ukiwa kituoni kama zamani ambapo kituoni kila mtu alikua...
  12. kavulata

    Ujenzi wa barabara za mwendokasi una ufisadi ndani yake?

    Mipango yetu mibovu inatufilisi, natafakari kimoyomoyo kisha kwa sauti kuhusu ni nani anahusika katika kuliingiza taifa masikini kama la kwetu kwenye hasara hizi za kubomoa barabara mpya ambazo hazijachoka ili kupisha ujenzi wa barabara za magari yaendayo haraka, BRT. Barabara zetu...
  13. Rufiji dam

    Leo kwenye Mwendokasi, Mwanadada Askari Polisi ameuteka Moyo wangu. Sijui nitampata vipi?

    Leo nimepanda Mwendokasi ya Kivukoni Kimara muda wa saa 6. Nikawahi mbele kwa Dereva ni sehemu naamini ukikosa seat ni sehemu salama sana. Ndani ya gari nikawa nawaza shillingi ilivyoota matairi. Kufika Fire(faya) mtu aliyekuwa amekalia kiti akashuka nikajisemea acha nami nikae. Ile nageuka...
  14. J

    Dkt. Mhede amefanya nini mwendokasi tangu ateuliwe?

    Naomba kujuzwa wanabodi yule Dkt. Mhede aliyepelekwa kule Mwendokasi ameshafanya nini cha maana katika mradi ule? Maana nakumbuka kuna mtu alitumbuliwa pale.
  15. N

    IST zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari

    Habari wakuu, kama mada inavyosema kuna hizi gari za IST a.k.a baby walker zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari zozote, hadi huwa najiuliza kati ya dereva na gari ni nani aliyepagawa Kwa wale mnaofahamiana na madereva wa 'ist' tunaomba mtueleze ni watu wa aina...
  16. Analogia Malenga

    Watu wawili wamefariki dunia kwa ajali iliyohusisha basi la mwendokasi na pikipiki

    Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kuwa ajali hiyo imetokea jana Septemba 8, 2021 saa 3:20 usiku. Amesema ajali hiyo imetokea katika barabara ya mwendokasi eneo la Lumumba kwenye taa za kuongozea magari. Ameitaja pikipiki yenye namba za...
  17. U

    Taharuki Mbagala, wafanyakazi wa mwendokasi wakigoma

    Taharuki imetawala maeneo ya Mbagala-Zakhem, baada ya Polisi kupiga mabomu ya machozi kuwatuliza wafanyakazi zaidi ya 1,000 wanaotengeneza barabara ya mwendokasi kugoma wakishinikiza kulipwa stahiki zao. Tukio hilo lilitokea leo, Septemba 6,2021 baada ya Polisi kupiga mabomu hayo mara mbili...
  18. HARRISON ONE

    Wananchi na wasafiri wa Mbeya na ushabiki wa mwendokasi wa mabasi ya abiria

    Kuna tabia ya ushabiki wa mwendokasi wa mabasi hasa yaendayo Mbeya ambayo naona siku hadi siku inazidi kukua. Sasa sijui ni ushamba au nini. Kufukuzana huko mtakuja kufa kwa kwa ujinga. Mikoa mingi sasa ina kampuni kubwa za mabasi ya abiria lakini hawana ujinga huo kama wanaofanya mabasi ya...
  19. TheDreamer Thebeliever

    Mwendokasi kituo cha Gerezani waheshimuni wateja wenu wanaokwenda Mbezi

    Habari wadau..! Leo kwa mara ya kwanza nimepanda mwendokasi mchana yaani majira kama ya saa 8 na nilichokiona palee Gerezani kinatia huzuni kwa kweli jinsi abiria waendao Mbezi wanavyoteseka na jua kali la mchana kwenye foleni wakati stand ni kubwa. Hivi kweli watumishi wa stand hawajaliona...
  20. LICHADI

    Mabasi mapya 70 ya Mwendokasi yamehifadhiwa eneo la hatari sana

    Serikali inaleta gari 70 baada ya kuziingiza kwenye mzunguko watu wapate nafuu ya mateso wanayoyapata kwa sasa matokeo yake gari wameenda kuzimwaga pale Jangwani, hata kama ni swala la usajili na vibali serikali ikiamua lake haiwezi zidi wiki moja lakini mwezi unaenda kukata wameyabwaga pale...
Back
Top Bottom