mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii

    Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

    Basi la Mwendokasi likiwa linatoka Kivukoni limeacha njia na kuparamia maduka na miundombinu mingine pembezoni mwa barabara ya Morogoro kwenye makutano ya Jamhuri St. Eneo hilo ni viambaza vya maduka, njia ya waenda kwa miguu na limekuwa linatumika na watu wasio na makazi kulala Ukiangalia...
  2. M

    Mwendokasi njia ya Kibaha wanachelewesha abiria

    Wito kwa DART kuboresha huduma ya Mabasi ya Kimara to Kibaha. Leo tarehe 20/3/2023 nimefika Kimara saa 2.30 asubuhi na abiria walikuwa wamejaa wa kwenda Kibaha lakini Dereva wa basi hakua na haraka ya kusogea abiria walipo ili gari iende Kibaha. Baada ya kusubiri kwa nusu saa na kwenda...
  3. Manyanza

    DOKEZO Wahusika! Huyu dereva wa basi la Mwendokasi T 557 DWR ni nani kwenye hii nchi?

    Wakuu! Jana asubuhi nilikuwa maeneo ya Kimara Temboni Upande wa kuelekea Mbezi huwa zinapaki Bajaji pamoja na Bodaboda kwa wingi, Kwa ndani kidogo kuna round about halafu kuna Mgahawa, nilienda kujipatia kifungua kinywa. Baada ya muda mfupi lilikuja basi la Mwendokasi lenye namba T 557 DWR...
  4. Moshi25

    Mwendokasi UDART mmefeli

    Samahani Leo nimeamka sio poa! Unafika kivukoni mabasi sita yamepaki mnasubiriwa mjazane dakika ishirini nzima mmekaa tu mmejaa hasira Kali eti mnasubiri bus na mnayaona yamepaki hatimae ghafla wanaachia basi moja la kimara wote mnakimbilia spidi kali kupanda kama wanyama pori manyumbu wengine...
  5. Mbunge Afrika Mashariki

    Prof. Lipumba kuunguruma February 11, viwanja vya Magomeni Morocco (stendi ya mwendokasi)

    PROF.LIPUMBA Kuunguruma February 11, viwanja vya Magomeni Morocco(stendi ya mwendokasi) CUF- Chama cha wananchi wilaya ya Kinondini Mkutano mkuu wa hadhara Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia Prof. Lipumba. Usipange kukosa njoo tuisimamishe Kinondoni...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Ipi ni akili nzuri: Kutumia trilioni 7 kusambaza maji safi kila nyumba nchi yote au kuweka treni ya mwendokasi Dar mpaka Mwanza?

    Habari! Siijui bajeti ya SGR kiundani ila najua tu kuwa ni zaidi ya trilioni 7 zitatumika kama itaanzia Dar mpaka Mwanza ikipitia Morogoro na Dodoma. Shilingi trilioni 7 ukiziweka kwenye miundombinu ya maji zinaweza kufanya kila kaya nchi yote kupata maji safi na salama na chenji inarudi. Je...
  7. Pdidy

    Mwendokasi wakipandisha nauli, basi nyingine ziruhusiwe kuongeza nauli

    Umoja wa mabasi muda wa kuwa kitu kimoja sasa Hivi karibuni tulitangaziwa ongezeko la nauli za mwendokasi. Sijui zinaanza lini Kama wameruhusiwa na mamlaka husika na nyie mabasi ya kawaida mpandshe Wote mnatumia mafuta aina moja vyema kukawa na usaws kwenye swala la nauli na matumizi ya...
  8. ThisisDenis

    Nauli mpya za Mwendokasi

    Mungu akipenda, tutaoiona kesho huenda hizi zikawa nauli mpya.
  9. BARD AI

    Nauli mpya za Mwendokasi, Teksi Mtandao hizi hapa

    Nauli mpya za mabasi ya mwendo wa haraka zitaanza kutumika kuanzia Jumatatu Januari 16, 2023 lakini nauli ya wanafunzi itabaki ileile ya Sh200. Hatua hiyo inakuja baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kuridhia maombi yaliyowasilishwa katika mkutano uliofanyika Januari 3, 2023...
  10. hp4510

    Mamlaka ziinglie kati Uendeshwaji wa Mradi wa (BRT) Mabasi Mwendokasi

    Ukiangalia the way huu mradi unavyoenda hasa kwenye kutoa huduma utagundua kuwa waafrica bila kusimamiwa na wazungu ni ngumu sana kujisimamia wenyewe. Nimetoka hapo kituo cha kivukoni now, abiria ni wengi sana, folen imezunguka kama mara tatu au 4. Ila cha ajabu hakuna magari yanayopakia, na...
  11. BigTall

    Kabla ya kupandisha nauli ya Mwendokasi, DART zingatieni uchafu na huduma mbovu vituo vya Mwendokasi

    Mkiwa mbioni kupandisha nauli,uchafu umekithiri vituoni kwenu hapo ni Kimara na huduma imezorota madirishani kwa cashiers kila muda kujifanya hawana change #badilikeni
  12. R

    Hivi mabasi ya mwendokasi yana mwenyewe? Au yanajifia kama daladala za UDA?

    Nimefika Dar es salaam nikafanikiwa kupanda magari ya mwendokasi nikajiuliza viongozi wenye dhamana wameisha DSM? Mabasi yamechoka, yanajaza abiria hadi milango haifungi, yapo machache na hakuna msimamizi serious unayemwona mwenye lengo la kuyatunza yadumu. Kwa namna mabasi haya yanavyoendeshwa...
  13. maroon7

    Kuna tatizo uongozi wa mwendokasi (BRT)

    Wakuu tunaomba mjitahidi kutoa huduma inayoeleweka. Sijui ni nani anaepanga route za magari maana imagine mtu unakaa kituoni lisaa lizima gari zinapita chache mno na zimejaa hakuna hata pa kusimama. Mtu unaamua uende hadi terminal ya kivukoni au gerezani unakuta hali ndio haifai. Jitahidi...
  14. BARD AI

    LATRA yapandisha nauli za Mabasi ya Mwendokasi, Teksi na Pikipiki za mtandaoni

    Kuanzia Januari 16, 2023 Nauli ya Mabasi ya Mwendokasi itakuwa Tsh. 750 kutoka 600, njia ya mlisho (Feeder Route) ni Tsh. 500, njia ya mlisho na njia kuu (Feeder & Truck Route) Tsh. 900 njia ya Kimara - Kibaha ni Tsh. 700 badala ya pendekezo la DART la Tsh. 1,200. Teksi Mtandao za abiria Tsh...
  15. 2019

    Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

    Kwanza kuna tofauti kati ya mwendokasi ya Gerezani na maeneo mengine ya Morogoro rd ba na Gerezani na Mbagala. Mbagala kuna gari nyingi sana, afu pia njia kuu Kilwa rd ndio inayotumia kwa daladala kupakia abiria. Mfumo huu ni mbaya sana kwani unasababisha foleni kwa sababu njia ya kupita vyombo...
  16. wilcoxon

    Treni ya kisasa ya Dkt. Mwakyembe na Dkt. Robert Shumake kwa mkoa wa Dar es Salaam iliishia wapi?

    Ni zaidi ya miaka nane sasa imepita toka Dr. Mwakyembe autangazie umma juu ya mradi wa treni ya kisasa kwa mkoa wa Dar es Salaam lakini mpaka leo hakuna taarifa yoyote kuhusu huu mradi ulifikia wapi. Pia Mwakyembe alisisitiza kuwa huyu baba alikuwa tayari kuleta hizo treni hata kesho yake tu.
  17. FRANCIS DA DON

    Mradi wa Mwendokasi Gongolamboto - City centre waanza kwa kishindo

    Awamu zote zikikamilika tutapiga hatua kubwa kwenye usafiri wa Umma. Big Jakaya Kikwete.
  18. msauzinho

    Tabia zisizofaa kwenye Mwendokasi

    Habari wana jukwaa, Leo nimeshuhudia jambo la ajabu katika mwendokasi. Nikiwa natoka Kkoo mida ya mchana mwendokasi imejaa kuna jamaa mbele yangu alikuwa kasimama nyuma ya bi dada mmoja aliyevaa dela/kijola. Kadri safari ilivyoenda jamaa naona anazidi kumbananisha mwanamke ila cha ajabu bi...
  19. Enkaly

    Ujenzi wa stendi ya mwendokasi Gongo la Mboto

    Husika na mada tajwa hapo juu, Kimsingi eneo linalosemekana limeandaliwa kwa ajili ya stend ya mabasi ya mwendo kasi kwa maeneo ya gongolamboto, sidhani kama lipo mahali sahihi. Wahusika waliangalie hili jambo kwa umakini kusiwe na upigaji wa kipekee kwa maana kule Pugu stesheni , stend...
  20. BARD AI

    Mabasi ya Mwendokasi kufika hadi Chamazi

    Wakati mkandarasi mradi awamu ya tatu ya mabasi yaendayo haraka ’mwendokasi’ barabara ya Gongo la Mboto akiwa tayari ameanza kazi, miundombinu ya mradi huo inatarajiwa kufika hadi Chamazi. Hayo yamesemwa leo Jumanne Novemba 15,2022 jijini humo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo...
Back
Top Bottom