Kiukweli kati ya viongozi ambao siwaamini wa kwanza ni Mhe Majaliwa, kwa nini nasema hivi...
Miezi miwili iliyopita alifanya ziara pale Mwendokasi akakuta hali ni mbaya magari yamekufa pesa zinaibiwa, watu wanabanana kwenye magari yaani alikuta hali mbaya ila cha kushangaza ni miezi miwili sasa...